Baba hivi wewe binafsi ushawahi kukutana na mtu hata mmoja mwenye corona? Au umeshaona vifo vingapi vilivyosababishwa na Corona?
Acha porojo mzee . Acha kulazimisha mambo. Corona imepungua sana. Na hizi tiba za asili zinasaidia sana.
Ugonjwa hauna dawa. Mtu aki jaribu kujifukizwa eti anatukanwa mshamba, yani mimi hata sielewi.
Sauzi ukikutwa na Corona, unapewa panado na barua ya kuonesha kwamba baada ya wiki mbili utakuwa ushapona. Watajuaje kama umepona wakati hujapimwa? ? Huu ugonjwa ni ujinga tu.
Wajanja ni sisi tu waTANZANIA. Wengine wote imekula kwao .
Na Watanzania wenzagu mnaosema watu wanakufa kwa wingi, muache ujinga. Hao watu wako wapi? Makaburi yao yako wapi?