Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1588187830129.jpeg

Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.

Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.

Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea kuchukua hatua muafaka kujikinga, ugonjwa huu, COVID19, utakoma mwezi wa sita 2020.

Wanasayansi wetu Tanzania mpo?
Ref:Data-Driven Prediction of COVID-19 Pandemic End Dates
 
View attachment 1434956

Kwa hatua za Magu tutafika hata mwakani.
Hivi JK ulimtoa wapi huyu?
 
Kumbe ni mpaka hatua za kujikinga zichukuliwe!!! 😀 na tusipochukua kama hv no kukaa ndani ndo prediction inasemaje?
 
Kitu bill get hakujua ni kuwa ameua soko lake la dawa za HIV maana huu ugonjwa ukikukuta uko na huyo mjomba na yeye akiingia labda mungu aweke mkono wake hapo
You never know... Pengine lengo lao ni kuiondoa HIV... Japo ni ngumu...!!

BTW ni fikra ambazo ni ngumu kuwepo
 
Labda huko kwao maana ugonjwa umefika kileleni kabisa,kwa africa yetu kuna hatari sana,Mungu atusaidie tu
 
Mkaldayo unatema yai tuu. Naskia chuga kunatisha
We Mgerasi niaje? Umepigwa 'laifu bani' au mbona ID mpya?

Huku Chuga siwezi ku confirm hali kama ni mbaya ila watu kweli wana hofu sana maana kila kifo sasa watu wanaanya bamsi kinyama utadhani watu walikuaga hawadanji kabla ya corona.

Ila hiyo ID umechagua maana yake unaijua?
 
Back
Top Bottom