Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hao ni wazungu wazamani kabla modern civilization haijasambaa maeneo mengi ya dunia.🤣🤣Kabisa. Ndio maana neno "witchcraft" limetokana na Kinyamwezi 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wazungu wazamani kabla modern civilization haijasambaa maeneo mengi ya dunia.🤣🤣Kabisa. Ndio maana neno "witchcraft" limetokana na Kinyamwezi 🤣
Kwahiyo bado mwezi 1 na siku 15,ngoja niwe nafuatilia halafu ikifika hiyo tarehe ntakuwa na cha kuchangia...View attachment 1434956
Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.
Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.
Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea kuchukua hatua muafaka kujikinga, ugonjwa huu, COVID19, utakoma mwezi wa sita 2020.
Wanasayansi wetu Tanzania mpo?
Ref:Data-Driven Prediction of COVID-19 Pandemic End Dates
Vigezo na masharti kuzingatiwa!Kwahiyo bado mwezi 1 na siku 15,ngoja niwe nafuatilia halafu ikifika hiyo tarehe ntakuwa na cha kuchangia...