Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Mwezi wa 6 itaslow down,then august hapo mchakamchaka km kawaida
 
Ujerumani ngoma tayari imefutwa...bado ligi maarufu (epl) tunaisubiri...ila ligi bora (La liga) tayari kila mchezaji ametakiwa apige zoezi soon, ngoma ianze 😀😀😀 Aise tumemmiss sana mwenye mpira wake
Ujerumani ligi imefutwa lini? Wakat iko mbion kuanza mwezi ujao. Iliyofutwa ni ya France

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu wengi wanaweza kuona hizo stats, predictions za dunia ya kwanza na kudhani kuwa zita apply hata huku mashenzini wakati kuna factors kibao hazijawekwa kwenye consideration.
Predictions huwa zinatokana na reliable data.
Hapa kwetu kurelease data ni kosa la jinai.
Pili, predictions hutokana na assumptions kwamba hatua stahiki kutokana na policy za afya zimechukuliwa, kwa mfano lockdown au mandatory self isolation.
Hapa kwetu tumeambiwa tupige kazi.
Sasa unaweza mwenyewe ukaona jinsi gonjwa tunavyoweza kuendelea kuwa nalo kwa muda mrefu.
 
Hii ngoma tunayo hadi mwakani, chanjo ndio itatuokoa tu
Usiwaamini sana walikuwa wametabiri ligi za Ulaya zitaendelea mwezi April, leo hii zinafutwa
Ufaransa hakuna soka tena hadi Septemba
Acha kutisha watu..kweni we umepata ugonjwa?mbona hujakufa?na yamkini hakuna hata ndugu yako wala rafiki mwenye kesi hiyo nyumbani afu unatisha tisha watu hapa.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Tatizo supreme leader achukulii serious.

We mpaka sasa vilabu vya pombe,kumbi za starehe n.k,ziko wazi na raia wana enjoy kama hakuna corona.

Ni msibani tu ndio wako serious. Only 10 pipoo ndio wanatakikana kwenye mazishi.

It will take time sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti anakusanya kodi,yaani nonsense kabisa
 
Acha kutisha watu..kweni we umepata ugonjwa?mbona hujakufa?na yamkini hakuna hata ndugu yako wala rafiki mwenye kesi hiyo nyumbani afu unatisha tisha watu hapa.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu naona unauliza na kujijibu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1434956
Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.

Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.

Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea kuchukua hatua muafaka kujikinga, ugonjwa huu, COVID19, utakoma mwezi wa sita 2020.

Wanasayansi wetu Tanzania mpo?
Ref:Data-Driven Prediction of COVID-19 Pandemic End Dates
Nafikiri itasumbua hadi mwakani hasa tz.
 
What's the relevance of those predictions to third world countries?

No Any Correlation Even to the developed countries because predictions never get 100% correct, The accuracies of this prediction depends much on data provided as long as the data provided from developing countries have been altered from correct data then prediction can never fit the reality
 
Kwa wazungu Corona itaisha fasta ila kwa Afrika ni big no!
Inaishaje fasta wakati tayari kwao ina zaidi ya miezi miwili? Hakuna siasa wala ubaguzi hapa, huu ni ugonjwa ambao haujalishi level yako ya usafi wala technology. Corona bado ipo, maambukizi ndio yatashuka lakini itabidi tutafute njia za kuishi nayo huku tukifanya kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom