Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

Dr Fauci anadai milipuko ya korona inaweza ikaendelea au usiondoke kabisa, nafikiri ukishaambukiza asilimia kubwa ya watu watajenga kinga jumuishi (population immunity) na hivyo ugonjwa kupotea..
 
"They steal" elections, they're not elected......
...bigger difference.

Kuiba ni tatizo ila kukubali kuibiwa ndio tatizo kubwa la watanzania. Kila mtu anahisi hayamuhusu
Kenya mbona waliunda Serikali ya mpito? Sudan walimtoa dikteta Ila Tanzania kipindi cha uchaguzi kauli mbiu ni " kuna maisha baada ya uchaguzi" kila mtu anajifungia kwake wengine hata kura hawapigi... maisha mliokua mnasema yanaendelea baada ya uchaguzi ndio haya sasa ya kufa kwa Corona.
 
Hivi mshawahi kufikiria labda Corona ilikuja ili Ligi ya uingereza ifutwe liver wasichukue ubingwa [emoji848]

Sent From Galaxy S9

Acha uchawi wewe ubingwa tutachukua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua watu wengi wanaweza kuona hizo stats, predictions za dunia ya kwanza na kudhani kuwa zita apply hata huku mashenzini wakati kuna factors kibao hazijawekwa kwenye consideration.
Huku ambapo watu wanajifukiza na kupiga nyungu , mwezi wa sita ndio kwanza ngoma itakuwa imeamza kupata moto
 
Mungu atuepushe tu,tulikuwa na nafasi nzuri ya kutokuwa na athari kiasi hiki
Tatizo supreme leader achukulii serious.

We mpaka sasa vilabu vya pombe,kumbi za starehe n.k,ziko wazi na raia wana enjoy kama hakuna corona.

Ni msibani tu ndio wako serious. Only 10 pipoo ndio wanatakikana kwenye mazishi.

It will take time sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchawi wewe ubingwa tutachukua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Ufaransa ngoma tayari imefutwa...bado ligi maarufu (epl) tunaisubiri...ila ligi bora (La liga) tayari kila mchezaji ametakiwa aanze kipasha soon, ngoma ianze 😀😀😀 Aise tumemmiss sana mwenye mpira wake
 
Back
Top Bottom