Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ukipita amana kuna harufu kali ya uvundoHali ni mbaya mbaya kweli kweli bora ugonjwa uishe
Kwa hatua za Magu tutafika hata mwakani.View attachment 1434956
Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.
Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.
Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea kuchukua hatua muafaka kujikinga, ugonjwa huu, COVID19, utakoma mwezi wa sita 2020.
Wanasayansi wetu Tanzania mpo?
Ref:Data-Driven Prediction of COVID-19 Pandemic End Dates
Daah roho za Watanzania zinayoyoma kwa ajili ya mtu mmojaUkipita amana kuna harufu kali ya uvundo
You never know... Pengine lengo lao ni kuiondoa HIV... Japo ni ngumu...!!Kitu bill get hakujua ni kuwa ameua soko lake la dawa za HIV maana huu ugonjwa ukikukuta uko na huyo mjomba na yeye akiingia labda mungu aweke mkono wake hapo
Good questionWhat's the relevance of those predictions to third world countries?
Unajua watu wengi wanaweza kuona hizo stats, predictions za dunia ya kwanza na kudhani kuwa zita apply hata huku mashenzini wakati kuna factors kibao hazijawekwa kwenye consideration.Good question
Uku bado tutatarika nao mpaka mwakani.Labda huko kwao maana ugonjwa umefika kileleni kabisa,kwa africa yetu kuna hatari sana,Mungu atusaidie tu
Mkaldayo unatema yai tuu. Naskia chuga kunatishaWhat's the relevance of those predictions to third world countries?
Mungu atuepushe tu,tulikuwa na nafasi nzuri ya kutokuwa na athari kiasi hiki
We Mgerasi niaje? Umepigwa 'laifu bani' au mbona ID mpya?Mkaldayo unatema yai tuu. Naskia chuga kunatisha