Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

Tanzania inataka au ndivyo walivyokubaliana mbona una akili za kijinga Sana we jamaa..Hivi huwa unafuatilia habari kweli au huwa unasubiri kusimuliwa.
Haka katoto sijui kamekula maharage sijui ya wapi aisee,kanapuyanga tu utafikiri hakana kichwa
 
Kupitia hoja zako.

1. Tanzania inatambua ni janga la kimataifa ndio maana kupitia serikali imetangaza hatua mbali mbali za kukabiliana nalo kama zilivyofanya nchi zingine na kwa njia tofauti katika kuwalinda wananchi wake km baadhi ya nchi zilivyofanya. Lakni pia TANZANIA INATAMBUA NDANI YA JANGA HILI KUNA VITA VINGINE NDANI YAKE VINAPIGWA KUPITIA HILI HILI JANGA kama ulivyotaja na sio kitu kibaya kwani kila mtu ana ubongo wake na kila serikali ina mamlaka yake katika kufanya maamuzi na kuchanganua yanayo endelea.

2. Tanzania haijawahi kusema kama kuna Dawa ya Corona hoja hizi ni wewe ndio umeamini hivyo, hizo nyungu na vitu vya asili ni vitu vilivyotangazwa ikiwa ni moja ya hatua za mtu kufanya ili kuweza kujiepusha au kufubaza corona km utakua nayo kutokana na dalili zake na magonjwa yanayoambatana baada ya mtu kuambizwa vitu hivyo vinasaidia mtu kumaliza hizo dalili. Kwanza kati ya vilivyopigiwa upatu, vingi vimetoka huko huko kuliko anzia.

Kuhusu protokali unayosema, nchi zote za EAC zimefunga mipaka huku Tanzania ikiwa katikati.. ifunge isifunge hao raia wake wataenda wapi kwenda nje ya nchi wakati nchi hizo zimefunga mipaka yake?

Na ukumbuke nchi hizo hizo zilitangaza kufunga mipaka isipokua malori ya mizigo na bidhaa na nchi zote hizo zinategemea vitu hivyo kutoka Tz. Tanzania imekubali kupeleka malori hayo na bidhaa hizo ni zao nchi hizo.

Tanzania ilizuia wananchi kusafiri nje ya nchi kwa kufunga Airport zake zote.. vivo hivyo nchi jirani zilifunga pia.

Sasa kama wao walitaka malori yawe yanaenda walita yajiendeshe..? Na kama hawakutaka dereva wetu wasiende wana corona kwann wasingekuwa wanaleta malori yao na madereva wao..?

Nchi hizo zimefunga mipaka na kufungia watu ndani lkn kila kukicha ni wao wao wanaotangaza kuwa na wagonjwa kila kukicha japo wamewafungia watu, hio corona inasambaaje sasa kama watu wako ndani?

Hakuna sababu ya Tz kulaumiwa nchi hizo zina wivu tu na Tz.

Mkuu nitakurejea kwa kina kujibu hoja zako zote.

Ngoja nimalizane na hawa ma poyoyo kwanza.
 
U have very low reasoning ability

By this *only* and you think you have a very high reasoning capacity?

You should be very sorry of yourself. If you not, be fair to yourself to enlist yourself with Facebook or Instagram without delay. You could rightly fit there.

Believe me, I promise.
 
Una vyeti fake mkuu? Huoni wenzio wenye vyeti kuwa hawana Corona vinapigwa chini? Wewe unadhani elimu ni makaratasi?

Kama ilivyokuwa kwa Corona ipo tofauti kubwa ya kuwa na cheti na kuwa umeelimika.

Kama hujui vyeti ni makaratasi tu, kuelimika ndiyo ngoma.
Kwa hiyo ww una kipimo cha elimu.Ndio tabu ya kuanzisha thread alafu unamajibu yako.Wewe kwa kifupi huja elimika na hata kama umeelimika hujastarabika ndio maana una dharau.

Vyeti vya Corona vinatolewa na wizara ya afya baada ya kupimwa,vya elimu wizara ya elimu ambavyo vitu viwili tofauti na ninacho cha Cisco kinatolewa na US ina maana US nao vyeti vyao fake?

Kwa hiyo kuielewa Corona hutakiwi kuwa na elimu?

Tatizo una hoja za kutetea thread yako unapayuka payuka.
 
Kwa hiyo ww una kipimo cha elimu.Ndio tabu ya kuanzisha thread alafu unamajibu yako.Wewe kwa kifupi huja elimika na hata kama umeelimika hujastarabika ndio maana una dharau.

Vyeti vya Corona vinatolewa na wizara ya afya,vya elimu wizara ya elimu na ninacho cha Cisco kinatolewa na US ina maana US nao vyeti vyao fake?

Kwa kuielewa Corona hutakiwi kuwa na elimu?

Kumbe una na cheti cha mabeberu mkuu?

Ndiyo maana.

Utakuwa unatumiwa na mabeberu wewe. Si bure. Maslahi yetu kama taifa vigumu kuyaelewa wewe.

Ndiyo maana JPM alimpongeza balozi wa Kenya na almanusura kumpa hata mke wa pili kama angekuwa mwislam mwenzangu.
 
Google Cisco ndio utajua ni kitu gani hakihusiani na upuuzi wako wa kiasasa na Corona.Nakuonea huruma una kiwiliwili kichwa hujui umeweka wapi upo upo endelea kupiga ramli na kufanya siasa.

Ila hapa no lockdown,kufunga mipaka tutafunga kama ukitufungia.
 
Unachojadili wewe kumbe siyo uzi huu. Angalia title na content ya uzi kujiridhisha kuwa huu ndiyo uzi unaochangia.

Kama siyo uzi huu Mkuu jisikie huru kuanzisha uzi wako wenye mada hiyo anayotaka wewe tuchangie. Usipotuzawadia *ignore* tutachangia tu mkuu..
Huna hoja yeyote humu zaidi ya kutaka tu Tz ionekane imekosea,unaanza kujizungusha masuala ya Who huko.

Tatizo taarifa za habari hufuatilii hujui hasa kuna kero gani na ndio maana unaongea humu vitu ambavyo havipo kabisa.

We endelea kufungua nyuzi mzee baba maana inaonesha bado una ushamba wa JF.
 
Hii kelele itaisha lini? Mbona wakuu wa mikoa ya Tanzania inayopakana na Kenya walifunga mipaka kiustaarabu tu ili kuwalinda majirani tusiwaambukize huo ugonjwa mkaomba majadiliano? Kama hamkuafikiana si mfunge tu. kisotoke wala kuingia kitu kutoka hiyo nchi jirani hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
imagine😂😂😂
 
Mkuu hawa jirani zetu nao ni watu:

1. Wana wasiwasi na vyeti vyetu kwa kuwa wameona watu wetu wana vyeti kuwa hawana Corona wakati wana Corona. Hivyo vyeti vyetu hawavitambui tena. Bila shaka ndiyo maana wanaona bora kila mtu apime wageni wake kwa sababu zilizoorodheshwa kwenye uzi.

2. Kuna mapendekezo ya maabara ya pamoja. Haya unayakataa kuwa eti foleni. Utaratibu wa kuepuka foleni si utawekwa mkuu? Pia hili si litawahusu wageni wote wa pande zote mbili?

Kama haya hayawezekani option inavyotakiwa ni kuwa mpaka ufungwe.

Sasa hii bottom line yako inatokea wapi mkuu wakati mpaka utakuwa umefungwa?

"Bottom line: Kuruhusu madereva wa Kenya (au nchi nyingine) wapite kuja kwetu wakati wao hawaruhusu watu wetu kwenda kwao ni dharau kubwa na haipaswi kuungwa mkono na Mtanzania yoyote anayejielewa. Kama wao wanaamini sisi sio salama kwa nchi zao wafunge mipaka yao, na wafuate utaratibu wetu tukitaka baadhi ya watu wao wavuke mipaka yetu kwa manufaa ya nchi."

Hiyo bottom line inazungumzia yanayoendelea wakati huu, hasa kwa mipaka yetu na Kenya. Wao wanataka vyeti vyao vya Corona vitambuliwe Tanzania, na turuhusu raia wao waingie kwetu, lakini wao hawatambui vyeti vinavyotoka kwetu wanataka wapime raia wetu tena eti tu kwa sababu hatujaweka lockdown au curfew. Huo ni upuuzi, haukubaliki, na shida zao wenyewe. Na hawajazuiwa kufunga mipaka yao kama wakiona tunawaathiri sana, na sisi tutafanyi kile ambacho kina manufaa kwa nchi yetu. Ni bahati mbaya sana kuona 'Watanzania' kama wewe ambao, eidha kwa kutikujua au kwa makusudi, wana Kenya ifanye unachotaka huko mipakani na Tanzania isifanye lolote.

Hayo mapendekezo mengine hayana tija yoyote. Kuwa na maabara ya pamoja sio 'feasible' kama nilivyokuekeza mapema, na hata sidhani kama kuna mapendekezo 'rasmi' ya kufanya hivyo. Kama yapo hebu weka hapa tuyasome -- maana kwangu naona hili haliwezekani kibiashara. Unajua watu wangapi wanapita kwenye mpaka mmoja kwa siku? Mtu akipimwa leo majibu anapata baada ya muda gani? Hiyo maabara itakuwa wapi? Itasimamiwaje katika hali hii ya kutokuaminiana? Wewe huoni kwamba hili ni gumu kutekelezeka?
 
Mkuu kwanza nikushukuru kwa kunivumilia kumalizana na walio mapoyoyo zaidi na kuwa kirimu stahiki zao hata ikibidi kale ka bakshishi ka kuwa puuza (kongole kwenu mods) wale wanaostahili sawa sawa na matendo yao.

Kukurejea sasa kwenye bandiko lako refu, tafadhali tambua kikamilifu yafuatayo katika uzi wangu:

IMG_20200607_082834_506.jpg

Yote yaliyoko hapo juu ni kweli na kweli tupu, labda unionyeshe wewe neno lipi au sentensi ipi isiyo sahihi.

Kumbuka hakuna hata mchangiaji mmoja poyoyo au vinginevyo, ameweza kukanusha au kuhitaji kurekebishwa lolote katika hayo.

Tukienda hivi panapo nia njema tutaelewana tu ambapo tutaweza kupiga hatua mbele kiungwana tu. Ikizingatiwa kuwa hoja hujibiwa kwa hoja. Na sisi sote tu watanzania na hayupo aliye mtanzania zaidi kuliko mwingine.

IMG_20200607_083557_802.jpg

Hii ni sehemu ya pili ya hoja ambayo pia nayo ni kweli na ni kweli tupu.

Kama ilivyo kwa ile ya kwanza, hii nayo hakuna hata mchangiaji mmoja poyoyo au vinginevyo aliyeweza kuikanusha popote au hata kuhitaji marekebisho yoyote.

Kumbuka Apr 29 ndipo rasmi tulitangaziwa kwa mara ya kwanza habari ile njema kabisa ya kuwa ugonjwa ulikuwa umepungua mno na kuwa tulikuwa tumeshashinda hii vita. Tokea hapo yaliendelea matangazo ya wagonjwa kuendelea kupungua mahospitalini hadi kubakia 4 wiki kadhaa nyuma zilizopita.

Kwa mwendelezo ule wa kupungua kwa wagonjwa, kwa hakika tokea wale 4 wa mwisho hadi leo watakuwa wamekwisha wote. Hii ndiyo tafsiri halisi na ya vitendo ya kuchanganya na za kwako kwenye akili ya kuambiwa.

Wapi penye tatizo mkuu tupanyooshe au tupaboresha? Labda wewe mkuu yawezekana kuwa una taarifa tofauti au zaidi ya hizi ambazo kila mmoja wetu anazijua?

IMG_20200607_084817_596.jpg

Yote hapo juu tena, nayo ni kweli na kweli tupu. Labda unionyeshe pia wewe wapi penye ila, panapohitaji marekebisho au pasipokuwa kweli. Kumbuka hapa pia hakuna mmoja poyoyo au vinginevyo aliyekuwa na tatizo napo.

Hoja hujibiwa kwa hoja huo ndiyo utaratibu binadamu wastarabu waliojiwekea na kuwaachia mengine, manyani na jamii zao kuuwana, kuparurana kwa makucha, au hata kurushiana matusi yasiyo mithilika, ati kisa kushindwana kwa hoja?

Hayo yote kwisha kuwekwa hapo tokea kwenye mada, niruhusu sasa niweke pia hoja ya mchangiaji mmoja kukuonyesha kuwa hakupo tatizo katika nukuu zote tatu zinazojenga msingi wa hoja na uzi wangu zilizopo hapo juu. Hii ni katika kukuonyesha hoja zote hizo ni kweli na kweli tupu na kuwa halipo tatizo popote pale.

Hii ni comment #39 kwenye uzi huu, kongole kwake mchangiaji yule:

IMG_20200607_091110_185.jpg

Ukipenda fuatilia pia majibu yangu kwake kujiridhisha.

Kwisha kuweka utangulizi huu, ni wazi kuwa katika dunia yenye takribani nchi 195, nchi moja peke yake ambayo ni Tanzania ndiyo yenye msimamo ulio tofauti kuhusiana na huu ugonjwa. Labda unionyeshe wewe mkuu nchi nyingine yoyote ile duniani inayopambana na huu ugonjwa kana kwamba ni suala lake la ndani la kiusalama yaani "internal state security issue" na wala siyo janga la ugonjwa tu yaani "a pandemic which is a public health issue!"

Ni kweli kuwa tuna maslahi tofauti sisi kama nchi na nchi zote katika dunia yote hii. Kila mtu sasa amekuwa ni adui yetu. Hakuna tunayemwamini. Labda unionyeshe wewe mkuu nani tunayemwamini katika hali ya sasa?

Imegeuka kuwa sisi dhidi yao. Tutakuwa vipi na maingiliano au mashirikiano yaliyo salama na wengine bila ya kuwa na migongano katika hali kama hii? Katu Haiwezekani!

Kumbuka:

1. Museveni alisema "I have had long telephone conversations with the presidents Kagame, Magufuli and Kenyatta in relation to cross border businesses within the current challenges. Of all we had a good understanding but president Magufuli."

2. Mkutano wa wakuu wa EAC uliofuatia kwa video, ulihudhuriwa na Museveni, Kagame, Kenyatta na Kiir. Magufuli hakuhudhuria kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni kutokana na msimamo wake aliochukua kuhusiana na huu ugonjwa.

3. Mkutano wa video wa nchi za SADC kuhusiana na Corona, Magufuli hakuhudhuria japo yeye ndiye alipaswa kuwa mwenyekiti. Sababu zikiwa alikuwa hataki kuitisha huo mkutano ambapo rais wa Afrika kusini alilazimika kuchukua hatua hiyo.

4. Achilia mbali taarifa za kuwa amekuwa hapokei simu tokea kwa marais wenziwe katika ukanda (region) kujadili mambo ya Corona.

5. Nk, Nk.

"Tutamlaumu sana dobi mkuu, ila kaniki ni rangi yake."

IMG_20200606_184728_309.jpg

Chimbuko la mizozo hii ni kutokana na kuwa sisi kama nchi tuna mtizamo wetu ulio tofauti na wote. Kuwa mtizamo huo ni sahihi au si sahihi siyo lengo la mada wala uzi huu.

Uzi huu ulikuwa na nia ya kutambua sababu za mizozo na nani wa kulaumiwa peke yake.

Nothing more nothing less!

Ni hayo tu mkuu.

Kupitia hoja zako.

1. Tanzania inatambua ni janga la kimataifa ndio maana kupitia serikali imetangaza hatua mbali mbali za kukabiliana nalo kama zilivyofanya nchi zingine na kwa njia tofauti katika kuwalinda wananchi wake km baadhi ya nchi zilivyofanya. Lakni pia TANZANIA INATAMBUA NDANI YA JANGA HILI KUNA VITA VINGINE NDANI YAKE VINAPIGWA KUPITIA HILI HILI JANGA kama ulivyotaja na sio kitu kibaya kwani kila mtu ana ubongo wake na kila serikali ina mamlaka yake katika kufanya maamuzi na kuchanganua yanayo endelea.

2. Tanzania haijawahi kusema kama kuna Dawa ya Corona hoja hizi ni wewe ndio umeamini hivyo, hizo nyungu na vitu vya asili ni vitu vilivyotangazwa ikiwa ni moja ya hatua za mtu kufanya ili kuweza kujiepusha au kufubaza corona km utakua nayo kutokana na dalili zake na magonjwa yanayoambatana baada ya mtu kuambizwa vitu hivyo vinasaidia mtu kumaliza hizo dalili. Kwanza kati ya vilivyopigiwa upatu, vingi vimetoka huko huko kuliko anzia.

Kuhusu protokali unayosema, nchi zote za EAC zimefunga mipaka huku Tanzania ikiwa katikati.. ifunge isifunge hao raia wake wataenda wapi kwenda nje ya nchi wakati nchi hizo zimefunga mipaka yake?

Na ukumbuke nchi hizo hizo zilitangaza kufunga mipaka isipokua malori ya mizigo na bidhaa na nchi zote hizo zinategemea vitu hivyo kutoka Tz. Tanzania imekubali kupeleka malori hayo na bidhaa hizo ni zao nchi hizo.

Tanzania ilizuia wananchi kusafiri nje ya nchi kwa kufunga Airport zake zote.. vivo hivyo nchi jirani zilifunga pia.

Sasa kama wao walitaka malori yawe yanaenda walita yajiendeshe..? Na kama hawakutaka dereva wetu wasiende wana corona kwann wasingekuwa wanaleta malori yao na madereva wao..?

Nchi hizo zimefunga mipaka na kufungia watu ndani lkn kila kukicha ni wao wao wanaotangaza kuwa na wagonjwa kila kukicha japo wamewafungia watu, hio corona inasambaaje sasa kama watu wako ndani?

Hakuna sababu ya Tz kulaumiwa nchi hizo zina wivu tu na Tz.
 
Nitakusubiri

Kama nilivyo kuahidi hatimaye nimemaliza kuyaweka yote katika hali inayopaswa.

Hakukuwepo na namna hiyo ndiyo summary ya summary. Kwako mkuu. Ustaarabu kitu cha bure.
 
Mkuu kwanza nikushukuru kwa kunivumilia kumalizana na walio mapoyoyo zaidi na kuwa kirimu stahiki zao hata ikibidi kale ka bakshishi ka kuwa puuza (kongole kwenu mods) wale wanaostahili sawa sawa na matendo yao.

Kukurejea sasa kwenye bandiko lako refu, tafadhali tambua kikamilifu yafuatayo katika uzi wangu:

View attachment 1470628

Yote yaliyoko hapo juu ni kweli na kweli tupu, labda unionyeshe wewe neno lipi au sentensi ipi isiyo sahihi.

Kumbuka hakuna hata mchangiaji mmoja poyoyo au vinginevyo, ameweza kukanusha au kuhitaji kurekebishwa lolote katika hayo.

Tukienda hivi panapo nia njema tutaelewana tu ambapo tutaweza kupiga hatua mbele kiungwana tu. Ikizingatiwa kuwa hoja hujibiwa kwa hoja. Na sisi sote tu watanzania na hayupo aliye mtanzania zaidi kuliko mwingine.

View attachment 1470629

Hii ni sehemu ya pili ya hoja ambayo pia nayo ni kweli na ni kweli tupu.

Kama ilivyo kwa ile ya kwanza, hii nayo hakuna hata mchangiaji mmoja poyoyo au vinginevyo aliyeweza kuikanusha popote au hata kuhitaji marekebisho yoyote.

Kumbuka Apr 29 ndipo rasmi tulitangaziwa kwa mara ya kwanza habari ile njema kabisa ya kuwa ugonjwa ulikuwa umepungua mno na kuwa tulikuwa tumeshashinda hii vita. Tokea hapo yaliendelea matangazo ya wagonjwa kuendelea kupungua mahospitalini hadi kubakia 4 wiki kadhaa nyuma zilizopita.

Kwa mwendelezo ule wa kupungua kwa wagonjwa, kwa hakika tokea wale 4 wa mwisho hadi leo watakuwa wamekwisha wote. Hii ndiyo tafsiri halisi na ya vitendo ya kuchanganya na za kwako kwenye akili ya kuambiwa.

Wapi penye tatizo mkuu tupanyooshe au tupaboresha? Labda wewe mkuu yawezekana kuwa una taarifa tofauti au zaidi ya hizi ambazo kila mmoja wetu anazijua?

View attachment 1470638

Yote hapo juu tena, nayo ni kweli na kweli tupu. Labda unionyeshe pia wewe wapi penye ila, panapohitaji marekebisho au pasipokuwa kweli. Kumbuka hapa pia hakuna mmoja poyoyo au vinginevyo aliyekuwa na tatizo napo.

Hoja hujibiwa kwa hoja huo ndiyo utaratibu binadamu wastarabu waliojiwekea na kuwaachia mengine, manyani na jamii zao kuuwana, kuparurana kwa makucha, au hata kurushiana matusi yasiyo mithilika, ati kisa kushindwana kwa hoja?

Hayo yote kwisha kuwekwa hapo tokea kwenye mada, niruhusu sasa niweke pia hoja ya mchangiaji mmoja kukuonyesha kuwa hakupo tatizo katika nukuu zote tatu zinazojenga msingi wa hoja na uzi wangu zilizopo hapo juu. Hii ni katika kukuonyesha hoja zote hizo ni kweli na kweli tupu na kuwa halipo tatizo popote pale.

Hii ni comment #39 kwenye uzi huu, kongole kwake mchangiaji yule:

View attachment 1470655

Ukipenda fuatilia pia majibu yangu kwake kujiridhisha.

Kwisha kuweka utangulizi huu, ni wazi kuwa katika dunia yenye takribani nchi 195, nchi moja peke yake ambayo ni Tanzania ndiyo yenye msimamo ulio tofauti kuhusiana na huu ugonjwa. Labda unionyeshe wewe mkuu nchi nyingine yoyote ile duniani inayopambana na huu ugonjwa kana kwamba ni suala lake la ndani la kiusalama yaani "internal state security issue" na wala siyo janga la ugonjwa tu yaani "a pandemic which is a public health issue?"

Ni kweli kuwa tuna maslahi tofauti sisi kama nchi na nchi zote katika dunia yote hii. Kila mtu sasa amekuwa ni adui yetu. Hakuna tunayemwamini. Labda unionyeshe wewe mkuu nani tunayemwamini katika hali ya sasa?

Imegeuka kuwa sisi dhidi yao. Tutakuwa vipi na maingiliano au mashirikiano yaliyo salama na wengine bila ya kuwa na migongano katika hali kama hii? Katu Haiwezekani!

Kumbuka:

1. Museveni alisema "I have had long telephone conversations with the presidents Kagame, Magufuli and Kenyatta in relation to cross border businesses within the current challenges. Of all we had a good understanding but president Magufuli."

2. Mkutano wa wakuu wa EAC uliofuatia kwa video, ulihudhuriwa na Museveni, Kagame, Kenyatta na Kiir. Magufuli hakuhudhuria kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni kutokana na msimamo wake aliochukua kuhusiana na huu ugonjwa.

3. Mkutano wa video wa nchi za SADC kuhusiana na Corona, Magufuli hakuhudhuria japo yeye ndiye alipaswa kuwa mwenyekiti. Sababu zikiwa alikuwa hataki kuitisha huo mkutano ambapo rais wa Afrika kusini alilazimika kuchukua hatua hiyo.

4. Achilia mbali taarifa za kuwa amekuwa hapokei simu tokea kwa marais wenziwe katika ukanda (region) kujadili mambo ya Corona.

5. Nk, Nk.

"Tutamlaumu sana dobi mkuu, ila kaniki ni rangi yake."

View attachment 1470664

Chimbuko la mizozo hii ni kutokana na kuwa sisi kama nchi tuna mtizamo wetu ulio tofauti na wote. Kuwa mtizamo huo ni sahihi au si sahihi siyo lengo la mada wala uzi huu.

Uzi huu ulikuwa na nia ya kutambua sababu za mizozo na nani wa kulaumiwa peke yake.

Nothing more nothing less!

Ni hayo tu mkuu.

Katika hoja zako ulizotoa mimi nimezielewa kuwa umetoa maoni yako kwa uelewa wako na sio kwamba ndio ilivyo bali ni kwa wewe ulivyoona ndio maana hata wewe hujapinga hoja zangu kwani ndivyo ilivyo na kwa uelewa wangu na uhalisia na niangalia hili kwa uhalisia wa mazingira yangu na kuvaa viatu vya serikali.

Hoja ya kwanza naijibu hivi.

Rais Magufuli alisema mapema tena mapema sana, kuwa huu ugonjwa tunaweza kuishi nao muda mrefu, na cha kufanya ni kutoa hofu kwani hofu ni mbaya zaidi. Kwahyo tusiogope tuendelee kupiga kazi huu ugonjwa utakuja na utaondoka lakini uchumi wetu ni cha umuhimu zaidi.

Hoja ya pili.

Tanzania kama Nchi inayojitegemea iliamua kufanya yale ambayo wanaona yanafaa huku yakipita katika maelekezo ya WHO na wataalamu.

“Kama tanzania haikufuata masharti au njia walizotumia sio sahihi, nipe madhara yalitokea katika hilo ukilinganisha na nchi unazo dhan wamewafuata WHO?”

Tanzania kama nchi zingine tu iliamua kulinda wananchi wake na pia kulinda uchumi wa watu wake pasi na kufungia ndani au kuchukua masharti magumu ambayo yangeathiri mtu mmoja mmoja, ambapo kupitia hio Tanzania iliamua kupambana na corona kwa kutumia kitu kinaitwa Herd Immunity ambayo hata Sweeden walitumia.

1. Magufuli hakuwa sawa na mipango ya Wakuu wengine wa EAC alichoongea na Musseveni inawezekana ilikua ni kuhusu kukabiliana na uhaba wa sukari. Na katika hayo maongezi yao mpaka leo umeona kuna shida ya mpakani baina ya hizi nchi?

2. Mkutano huo wa wakuu wa EAC kama walivyosema ulikua unahusu Northern Coridor, je walitoka kupinga hilo? Kaka changanua haya mambo kuna siasa kubwa sana na propaganda ndani ya hii jumuhiya, fuatilia utaelewa.

3. Katibu mkuu wa SADC alizungumzia hili la Mkutano wa SADC kupitia Azam kuwa ule mkutano haukuitishwa na SADC bali ni Rais wa Afrika Kusini alizungumza na nchi zilizomzunguka na si kuwa ulikua mkutano wa Jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika.

Lazima tukubali kutokukubaliana kaka, Tanzania imeamua kuwaza nje ya fikra za kawaida kuangalia ndani ya ugonjwa huu kuna mengi ya kupambana nayo na sio ugonjwa pekee.

Kama yote waliyofanya ni mabaya yapo kinyume na dunia ni madhara gani yametokea, au hao WHO wazungumzia nini kuhusu Tanzania kwa njia walizotumia kupambana na Ugonjwa huu wa dunia?
 
Mkuu sisi tunachoongelea ni ukweli tu, hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani:

View attachment 1470087

Mwenzio hataki mtu mwenye Corona kuingia kwake. Kwa nini kama nia ni njema haki hiyo ya kumpima mwingiaji kwake asiwe nayo yeye?

Kwa nini unang'ang'ania kuwapimia wewe?

Hata aibu hakuna?

Inaonekana ni raha yako Tanzania ikipatwa na mabaya kwa kufikiri hayo mabaya yanamuathiri magufuli tu.
 
Corona ipo na itaendelea kuwepo mpaka hapo chanjo itakapopatikana, corona haina tofauti na malaria, ukimwi nk. corona tunayo na tunatembea nayo wanaokufa ni wale wenye magonjwa mengine na ndio maana katika wagonjwa 2000 wanakufa 50 waliosalia wanapona nakurudi kwenye shughuli zao kama kawaida. Kwa ufupi RAIS wetu JPM yuko sahihi sana, corona ipo na itaendelea kuwepo mpaka chanjo ipatikane ndipo itaisha.Nchi zilizojifungia zilikuwa na wagonjwa 20 lkn leo hii wana wagonjwa laki 2 wanafungulia huduma, kaa utafakari.
 
Katika hoja zako ulizotoa mimi nimezielewa kuwa umetoa maoni yako kwa uelewa wako na sio kwamba ndio ilivyo bali ni kwa wewe ulivyoona ndio maana hata wewe hujapinga hoja zangu kwani ndivyo ilivyo na kwa uelewa wangu na uhalisia na niangalia hili kwa uhalisia wa mazingira yangu na kuvaa viatu vya serikali.

Hoja ya kwanza naijibu hivi.

Rais Magufuli alisema mapema tena mapema sana, kuwa huu ugonjwa tunaweza kuishi nao muda mrefu, na cha kufanya ni kutoa hofu kwani hofu ni mbaya zaidi. Kwahyo tusiogope tuendelee kupiga kazi huu ugonjwa utakuja na utaondoka lakini uchumi wetu ni cha umuhimu zaidi.

Hoja ya pili.

Tanzania kama Nchi inayojitegemea iliamua kufanya yale ambayo wanaona yanafaa huku yakipita katika maelekezo ya WHO na wataalamu.

“Kama tanzania haikufuata masharti au njia walizotumia sio sahihi, nipe madhara yalitokea katika hilo ukilinganisha na nchi unazo dhan wamewafuata WHO?”

Tanzania kama nchi zingine tu iliamua kulinda wananchi wake na pia kulinda uchumi wa watu wake pasi na kufungia ndani au kuchukua masharti magumu ambayo yangeathiri mtu mmoja mmoja, ambapo kupitia hio Tanzania iliamua kupambana na corona kwa kutumia kitu kinaitwa Herd Immunity ambayo hata Sweeden walitumia.

1. Magufuli hakuwa sawa na mipango ya Wakuu wengine wa EAC alichoongea na Musseveni inawezekana ilikua ni kuhusu kukabiliana na uhaba wa sukari. Na katika hayo maongezi yao mpaka leo umeona kuna shida ya mpakani baina ya hizi nchi?

2. Mkutano huo wa wakuu wa EAC kama walivyosema ulikua unahusu Northern Coridor, je walitoka kupinga hilo? Kaka changanua haya mambo kuna siasa kubwa sana na propaganda ndani ya hii jumuhiya, fuatilia utaelewa.

3. Katibu mkuu wa SADC alizungumzia hili la Mkutano wa SADC kupitia Azam kuwa ule mkutano haukuitishwa na SADC bali ni Rais wa Afrika Kusini alizungumza na nchi zilizomzunguka na si kuwa ulikua mkutano wa Jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika.

Lazima tukubali kutokukubaliana kaka, Tanzania imeamua kuwaza nje ya fikra za kawaida kuangalia ndani ya ugonjwa huu kuna mengi ya kupambana nayo na sio ugonjwa pekee.

Kama yote waliyofanya ni mabaya yapo kinyume na dunia ni madhara gani yametokea, au hao WHO wazungumzia nini kuhusu Tanzania kwa njia walizotumia kupambana na Ugonjwa huu wa dunia?

Mkuu kutofautiana au kutotofautiana mitizamo ni jambo la afya tu. Huo ndiyo utanzania ambao muasisi wa taifa hili kuu alipenda kuliona likiuchukua.

Kama ni nia ya kuliangalia suala hili vilivyo, ni muhimu kuhakikisha taarifa zinaendelea kuwa ni sahihi na katika mtiririko muafaka tunaposonga mbele. Vinginevyo itakuwa haina maana sana kupoteza muda bure, "kama wazalendo lakini."

1. Muhimu kutambua kuwa mjadala huu chimbuko lake ni mada katika uzi huu ambao unatambua kuwa kuna migogoro mipakani kote iliko Tanzania na majirani zake. Zaidi sana kutambua wazi wazi kuwa pana wa kulaumiwa katika hili ambaye ametajwa kwa jina.

Yote hayo kama ilivyo kwenye mada zingine, mimi kama mtoa mada, yaliyopo kwenye uzi huu hayo ni maoni yangu yenye kutokana na sababu nilizoorodhesha bayana kwenye uzi. Mimi kama mtanzania huru tu.

2. Lengo la uzi nililiweka wazi pale kwenye aya ya kwanza tu liweze kuonekana wazi wazi:

IMG_20200606_152938_968.jpg

3. Kwenye kukujibu hoja zako za jana, nilikuomba kunipa muda ili nikuletee bandiko stahiki lenye kuhakikisha tunakaa vilivyo kwenye mada tuliyo nayo mkononi. Kwa hapo nilikuletea bandiko la leo lenye nukuu 4 peke yake. Nukuu 3 za mwanzo moja kwa moja tokea kwenye mada na nukuu ya 4 ikiwa comment #39 tokea kwa mchangiaji.

Lengo hapo kukuitisha kistaarabu tu kujikita vilivyo kwenye mada ili tuweze ku focus vilivyo kwenye uzi panapo nia njema, ili kuziona mbivu na mbichi ziko wapi. Hata kama zina ukakasi au ni chungu kuliko shubiri.

Nguvu ya hoja iweze kutamalaki dhidi ya hoja ya nguvu au yenye kejeli au matusi. "Baba wa taifa na upumzike kwa amani huko uliko."

4. Kama ilivyokuwa kwa wachangiaji wote na mapoyoyo wakiwamo, hukuonyesha popote kuwa pana nukuu ambayo si kweli, wapi pangehitaji maboresho wala wapi penye tatizo lolote. Hii ni pamoja na kukuitisha kufanya hivyo katika kila nukuu moja moja kwa zote 4, kivyake vyake.

5. Nimeonyesha wazi kuwa katika nchi zote takribani 195 nchini. Ni sisi tu ambao tumechukua mtizamo tulio nao wa tofauti kabisa kuhusiana na WHO. Hujakanusha hili wala kuonyesha nchi moja tu iliyochukua msimamo kama wetu. Ya kuwa huu ugonjwa ni "state security issue" na kuwa eti siyo "a pandemic which is a public health issue."

Hii ni pamoja na kukuitisha kutoa angalau jina la nchi moja tu duniani achilia mbali kutokea Africa iliyochukua msimamo kama huu.

6. Nimeainisha waziwazi kuwa kwa msimamo wetu wa kipeke yetu, hayupo tena tunayemwamini (jambo la kheri tu). Imekuwa ni sisi dhidi yao wote. Nimekuitisha kukanusha hili au kunipa nchi moja ambayo hapa tulipo tuna imani nayo hilo nalo bila mafanikio.

Washirika wetu ni nani katika hii vita tunayopigwa dhidi ya usalama wetu? Maadui wetu nao kwenye hii vita katika hawa 194 wanaobaki ni nani? Majibu pia hamna.

Mkuu hatuwezi kuwa tunaota ndoto za mchana za kina Mwam**sa na kina Kibwetere? Tukajikuta tunadai ni milima tokea kwenye vichuguu?

7. Haya mengine uliyoyanukuu ya akina Museveni, mikutano ya EAC, SADC na rejea za kutopokelewa simu haya yapo nje ya huu uzi zaidi ya kuwa yaliwekwa kukuonyesha u nje wetu katika protocols hizi kunakotupa leo migogoro.

Kama ni nia ya kujadili hizo, mbona taarifa za hizo zipo nyingi mno achilia mbali nyuzi zinazojitegemea peke yake peke yake kwa kila hoja?

Itoshe kusema hapa kuwa, hatuwezi kujadili mambo yote kwenye uzi mmoja. Haya ya #7 hapa si mahali pake kwa sasa. Ila kama ni lazima tuzirejee hizo moja moja kwa mapana na marefu yake tunaweza kuanzisha uzi mwingine tukadadavua vilivyo pia. Hii ya upotoshaji na nadharia za juu juu JF si mahali pake.

Au unaona je mkuu?
 
Inaonekana ni raha yako Tanzania ikipatwa na mabaya kwa kufikiri hayo mabaya yanamuathiri magufuli tu.

Wewe endelea kulala.

Utakuwa unaota ndoto za mchana.

Uliyoyaandika unayanukuu tokea wapi poyoyo wewe?
 
Kila kitu mnataka kitangazwe na marekani ndo kinakuwa ni sahihi. Kujifukiza, tangawizi, limao vingetangazwa na marekani mngetetea kweli.
 
Mkuu kutofautiana au kutotofautiana mitizamo ni jambo la afya tu. Huo ndiyo utanzania ambao muasisi wa taifa hili kuu alipenda kuliona likiuchukua.

Kama ni nia ya kuliangalia suala hili vilivyo, ni muhimu kuhakikisha taarifa zinaendelea kuwa ni sahihi na katika mtiririko muafaka tunaposonga mbele. Vinginevyo itakuwa haina maana sana kupoteza muda bure, kama wazalendo lakini.

1. Muhimu kutambua kuwa mjadala huu chimbuko lake ni mada katika uzi huu ambao unatambua kuna kuna migogoro mipakani kote iliko Tanzania na majirani zake. Zaidi kutambua wazi wazi kuwa pana wa kulaumiwa katika hili ambaye ametajwa kwa jina.

Yote hayo kama ilivyo kwenye mada zingine, mimi kama mtoa mada hayo ni maoni yangu yenye kutokana na sababu nilizoorodhesha bayana kwenye uzi.

2. Lengo la uzi nililiweka pale kwenye aya ya kwanza tu liweze kuonekana wazi wazi:

View attachment 1470936

3. Kwenye kukujibu hoja zako za jana, nilikuomba kunipa muda ili nikuletee bandiko stahiki lenye kuhakikisha tunakaa vilivyo kwenye mada tuliyo nayo mkononi. Kwa hapo nilikuletea bandiko la leo lenye nukuu 4 peke yake. Nukuu 3 za mwanzo moja kwa moja tokea kwenye mada na nukuu ya 4 ikiwa comment #39 tokea kwa mchangiaji.

Lengo hapo kukuitisha kistaarabu kujikita vilivyo kwenye mada ili tuweze ku focus vilivyo kwenye uzi panapo nia njema, ili kuziona mbivu na mbichi ziko wapi hata kama zina ukakasi au ni chungu kuliko shubiri. Nguvu ya hoja iwezekanavyo kutamalaki dhidi ya hoja ya nguvu au yenye kejeli au matusi.

"Baba wa taifa upumzike kwa amani huko uliko."

4. Kama ilivyokuwa kwa wachangiaji wote na mapoyoyo wote, hukuonyesha popote kuwa pana nukuu ambayo si kweli, wapi pangehitaji maboresho wala wapi penye tatizo lolote. Hii ni pamoja na kukuitisha kufanya hivyo katika kila nukuu moja moja kwa zote 4, kivyake vyake.

5. Nimeonyesha wazi kuwa katika nchi zote takribani 195 nchini. Ni sisi tu ambao tumechukua mtizamo tulio nao wa tofauti kabisa kuhusiana na WHO. Hujakanusha hili wala kuonyesha nchi moja tu iliyochukua msimamo kama wetu. Ya kuwa huu ugonjwa ni "state security issue" na kuwa eti siyo "a pandemic which is a public health issue." Kama ilivyochukuliwa kwingine.

Hii ni pamoja na kukuitisha kutoa angalau jina la nchi moja tu duniani achilia mbali kutokea Africa iliyochukua msimamo kama huu.

6. Nimeainisha waziwazi kuwa kwa msimamo wetu wa kipeke yetu, hayupo tena tunayemwamini (jambo la kheri tu). Imekuwa ni sisi dhidi yao wote. Nimekuitisha kukanusha hili au kunipa nchi moja ambayo hapa tulipo tuna imani nayo hilo nalo bila mafanikio.

Washirika wetu ni nani katika hii vita tunayopigwa dhidi ya usalama wetu? Maadui wetu nao kwenye hii vita katika hawa 194 wanaobaki ni nani? Majibu pia hamna.

Mkuu hatuwezi kuwa tunaota ndoto za mchana za kina Mwam**sa na kina Kibwetere? Tukajikuta tunadai ni milima tokea kwenye vichuguu?

7. Haya mengine uliyoyanukuu ya akina Museveni, mikutano ya EAC, SADC na rejea za kutopokelewa simu haya yapo nje ya huu uzi zaidi ya kuwa yaliwekwa kukuonyesha u nje wetu katika protocols.hizi kunakotupa leo migogoro.

Kama ni nia ya kujadili hizo, mbona taarifa za hizo zipo nyingi mno achilia mbali nyuzi zinazojitegemea peke yake peke yake kwa kila hoja?

Itoshe kusema hapa kuwa, hatuwezi kujadili mambo yote kwenye uzi mmoja. Haya ya #7 hapa si mahali pake kwa sasa. Ila kama ni lazima tuzirejee hizo moja moja kwa mapana na marefu yake tunaweza kuanzisha uzi mwingine tukadadavua vilivyo pia. Hii ya upotoshaji na madhara za juu juu JF si mahali pake.

Au unaona je mkuu?

Haiwezekani kukawepo na mfano wa nchi inayofanya kama sisi, hii ni kuonesha ni jinsi hani kila nchi inafanya mambo yake

Mfano Brazil hawakuweka mazuio kama zingine za Ulaya au Afrika

Narudia kuitaja Sweeden mara ya 3 haikuweka watu wake ndani wao waliamua kutumia Herd immunity kupambana na Covid. Canada pia haikufungia watu ndani na kama sijakosea pia katika nchi za kiskandinavia hazikufungia, ila sio kweli kwamba nchi sote zinaweza kutumia Mode sawa. Ndio maana hata Kenya wao wameweka zuio la watu kutotoka usiku tu na sio Total lockdown kama ya Rwanda na Uganda.

Kwa hivyo basi ni kwambie SIO KWELI KWAMBA TZ NDIYO CHANZO CHA MIGOGORO MIPAKANI, maana katika jibu langu la kwanza nilikujibu bila kutumia maneno hayo ya kukanusha hoja zako.

Nchi jirani zimeamua kutukomoa Tanzania kwa kujikuta wao ni wahukumu wa njia Tanzania inazotumia na kujiona wao wako sahihi kwa kukomoa kuzia madereva wetu wasipite, na ndio maana tulipojibu mapigo ni wao ndio walitetemeka.

Wakenya, wanyarwanda wao wanajiona wako sahihi na nakwambia tena kama hukusoma, Nchi hizi zimechukua mikopo kukabiliana na Covid na masharti yake ni magumu sana ikiwemo kutoa taaribu kila wakati, kitendo cha Tanzania kutochukua mikopo hio na maisha kuendelea kimewakasirisha hawa majirani ndio maana wanatumia hisia kali dhidi yetu.

Ukubali ukatae kuna mengi yapo nyuma ya kinachoendelea mipakani ambacho watu wa pale wanaelewa.

SIYO KWELI TANZANIA NI CHANZO CHA MIGOGORO, ni Nchi hizo jirani kutopendezwa na mbinu Tanzania imetumia kukabiliana na hili janga to which is hakuna madhara makubwa kushinda nchi hizo zilizoamua kuchukua hatua universal bro.
Kenya ni wachokozi, Rwanda ni wachokozi, Zambia ni wachokozi, Uganda ni wachokozi bitia historia utaona.
 
Nimeelewa mimi au tumeelewana?

Nini kimebadilika katika hoja zangu?

Hoja ipi ambayo hukukubaliana nami?

Kawaambie mabwana zako tayari DC kashafunga mpaka. Sawa ondieki?

Kenyans are loosers for the second time..and they will continue to be loosers.
 
Back
Top Bottom