Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:

IMG_20210327_115707_512.jpg


Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.

Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.

Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa.

Bila shaka huyu ndiye Joshua atakaye tufikisha Canaan hatimaye.

Eeh mola wetu ukazisikie Dua zetu.
 
Mkuu usijibizane na hili zwazwa lina ugonjwa wa kuiwaza Corona masaa 24. Alisikitika wiki nzima story zilipokuwa ni msiba wa JPM tu. Sasa hivi karudi tena na Corona yake.

Na wewe si umetajwa kwenye ile list yenu:

IMG_20210218_174254_207.jpg


ya IDs zitakazopea?

Hivi mko kwenye kufarijiana eeh.

Mko vizuri sana!
 
Vibaraka wa wazungu mpo wengi sana

Hivi wewe hauoni kama hiyo chanjo hapo ni usanii

Naamini hapo hao madaktali wao wamesha pata chanjo tayari sasa mbona bado wamevaa barakoa

Wewe nenda ukanunue hiyo chanjo uchanje kisha utafute barakoa huvae kuzui corona

Hiyo barakoa inazuia pua na mdomo tu vipi kuhusu macho na masikio

Huo ni upuuzi mtupu na ndio maana JPM alikua hautaki huo upuuzi

R.I.P JPM
Screenshot_20210327-124009.jpg
 
Kwamba ni wapuuzi hawa:

View attachment 1735663

Alikuwapo mpiga tantalila kuliko huyu?

View attachment 1735661

Uko vizuri komaa hapo hapo.
Unaonekana huna kazi unashinda unaokoteza upumbavu wowote kuhusu Corona, mbona huleti taarifa za nchi kibao za ulaya kusitisha chanjo ya Corona jinsi usivyo na akili!???... Nakuhakikishia story za Corona ndo zimeshaenda na upepo, jiandae kukosa story za kuleta kuhusu Corona. Utajikuta unagongewa mpaka mke kisa kuiwaza CORONA.
 
Back
Top Bottom