Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?Fact ni pale pale
GDP yao imetuzunguka mara mbili
Hatujui kujenga GDP,wao wanajua,wanajua kuzalisha
Sisi hatujui,on top of that eti tunaringa ku-export eti “kuikomoa” Kenya,thats nonsense aisee!
Utajengaje GDP bila ku export na kuzalisha kwa msuli?
Tutazidi kufeli tusipogeuka real cut throat capitalists kama Kenyans and beyond
We will never learn
magu huwa hajibu kwa mdomo watu kama uhuru.Magufuli is coward haezifanya kitu.
safi sana imebidi mzee! Ubaguzi unaoendelea upande wa pili inabidi ujibiwe hivi!Ushabiki sio mzuri juu ya hili janga
View attachment 1452457
Kumekucha . Kolona imezua mtafaruku.Ushabiki sio mzuri juu ya hili janga
View attachment 1452457
which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?
Kenya imepewa mkopo kutokana na humanitarian needs juu ya Janga la sivyo wasingepewa! Make use of the media to know what's going on! Usibishe kifalafala! Thes risk of debt distress status is high!Sasa Government Debt inajumlishwa kwenye country’s GDP of a particular year?
Kenya anakopa kutokana na uhimilivu wa uchumi wake
TZ for the last 5 years hata mikopo haipati tena na unajua who is a reason here!
Kukopa haimaanishi nchi haijaendelea Geza...mikopo ni part ya nchi zinavyoendeshwa. Nchi kama US na nchi zingine hivi maajuzi zimeannounce economic stimulus kuokoa uchumi wao kutokana na janga la corona, hivi unadhani hizi pesa zinatoka wapi? Utasema sasa Tanzania imeendelea kuiliko US kwa kua nyinyi hamkopi?which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?
Kenya imepewa mkopo kutokana humanitarian needs juu ya Janga la sivyo wasingepewa! Make use of the media to know what's going on!
Tanzania haijaomba! Kila nchi ina economic policies zake! JPM alisema badala ya kupewa loan tusamehewe kulipa deni lilipo kwa sasa mpaka baadae!Here is the kicker,.....
Kwanini Kenya apewe Tanzania asipewe maana kote kuna wanadamu wenye shida ile ile?
Mkwamishaji unamjua...he is useless!
Huombi ndo upewe....imf inaavail mkopo kwa nchi yako kisha wewe ndo unaamua kama utatap in au utaachana naoTanzania haijaomba! Kila nchi ina economic policies zake! JPM alisema badala ya kupewa loan tusamehewe kulipa deni lilipo kwa sasa mpaka baadae!
Huombi ndo upewe....imf inaavail mkopo kwa nchi yako kisha wewe ndo unaamua kama utatap in au utaachana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumjua witch ka wewe sio witch.Is that all you have to say witch?
hamna financial institution inakupa fedha bila official application tena loan/credit! plse acha ubishi wa kitoto!
Mkuu, sijawasikia serikali ya Kenya ikisema itawapima watanzania tu maana wao ndo wenye corona. Tuache kutafuta ugomvi usiokuwepo. Corona imeleta panik duniani na kila nchi inapigana nayo kivyake. Umesahau ni juzi tu raisi wetu wa Tz alikuwa anazungumza na Kenyata live kwa simu na ushirikiano upo vizuri tu?Kama wanapigana na corona ni jambo jema, lakini corona haiingizwi na madereva wa tz, kama mnabisha muulizenu m7 na Kagame hali ikoke baada ya matamko ya kipimbi.
Umeona eeehhhh....Karibu jamhuri ya watu wa chato
Wao wajenge GDP, sisi tutazalisha chakula, wao wajenge GDP sisi tutahakikisha watanzania wanapata maji safi na salama, wao wajenge GDP sisi tunajenga Hospitals na kununua dawa za kutosha, wao wajenge GDP sisi tunajenga SGR ya UMEME, wao wajenge GDP sisi tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa uhakika na wa bei nafuu, wao wajenge GDP sisi tunajenga BRT. Hahahaha.Fact ni pale pale
GDP yao imetuzunguka mara mbili
Hatujui kujenga GDP,wao wanajua,wanajua kuzalisha
Sisi hatujui,on top of that eti tunaringa ku-export eti “kuikomoa” Kenya,thats nonsense aisee!
Utajengaje GDP bila ku export na kuzalisha kwa msuli?
Tutazidi kufeli tusipogeuka real cut throat capitalists kama Kenyans and beyond
We will never learn
Watanzania watu maajabu sana.. Chakula kinachotoka Tanzania hapa Kenya huletwa kuuzwa Nairobi... Tanzania wakifunga mpaka bei ya bidhaa zingine itapanda kwa sababu ya low supply.. Lakini baada ya miezi kama 6 hivi wakulima wataongeza production. Saa hizi hata chakula cha Tanzania kinachangia kuharibika soko.. Mkifunga mpaka itakuwa furaha kwa wakulima wetu... Tena huku mikoani Kenya hakuna chakula cha TZ kinauzwa huko