Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Heheheheheeee hii covid imekuja patamu kweli kweli, mwenye msuli tutamuona tu, mana hii ngoma inawezekana tukawa nayo mwaka wote huu ss tutaona tu nani ni middle Income na nani ni ldc, hapa hakuna huruma ya Google kitu uhalisia [emoji3][emoji3][emoji3]
Fisi daima hufuatilia binadamu kwa nyuma akidhani atadondosha mkono
Lugha ya Taifa ipi?
Kiswahili?
Nani kakwambia Kiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzania?
Nyerere kakurupuka kaenda kuchukua lugha halali ya Waswahili kaja wadanganyeni ni lugha yenu?
Wewe ndio unajua Kiswahili sana?Weka tokeo lako la O’Level hapa tuone na mimi niweke langu hapa tuone nani alipata A!
Mlevi nyanya yako mzaa mama yako!
Huyo uliyomkoti ni mtanzania, labda haujawahi kukutana naye kwenye nyuzi mbalimbali.Hivi Taifa la waswahili wanapatikana wapi vile Kwenye ramani ya duniani? Hahahaha munajitaiidi kupindisha ukweli lakini ndio hivyo aliepewa kapewa tu ona wasomiwako hao waliokuzidi elimu hata mtoto wa chekechea wa Tanzania hawamfikii
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kingine ni kwamba: Lugha ya Kiswahili si mali ya m-Tanzania pekee. Kama ulikuwa unasoma historia, lugha ya Kiswahili ni lugha iliyokuwa inazungumzwa ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Inapozungumziwa pwani ya Afrika mashariki haiko Tz pekee. Umejaribu kujiuliza kwa nini Wasomalia wanazungumza Kiswahili vilevile? Tumetofautiana kwenye la haja!Hivi Taifa la waswahili wanapatikana wapi vile Kwenye ramani ya duniani? Hahahaha munajitaiidi kupindisha ukweli lakini ndio hivyo aliepewa kapewa tu ona wasomiwako hao waliokuzidi elimu hata mtoto wa chekechea wa Tanzania hawamfikii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye ss kitu gn kinachowafanya wasifanye, af unazungumzia wakenya wanachukua hatua ni hatua gn wanazochukua unazotaka kutuaminisha hapa? Wanafanya target testing ambayo pia tunafanya, wanafanya quarantine ambayo pia tunafanya kasoro lockdown ambayo cc tumeikataa, ss unataka kuwaona wao ni bora kwa lipi? Km vifo kwao vimetokea na kwetu vimetokea, idadi ya wenye corona hakuna tofauti kubwa so unataka kumaanisha nini? Lockdown tumekataa since day one na hata mataifa ambayo nyie mmekuwa mkiyaona yapo sahihi kwa kila jambo nayo yameanza kuikataa lockdown, kuhusu kufunga mipaka wafunge tu kwn shida iko wapi, wao wafunge af tuone km corona itaisha, lkn kwny suala la kuwapatia chakula huo ndiyo ukweli na huwezi kupinga kwamba tunawalisha ila hawajalazimishwa kununua sehemu nyingine but hatutaacha kujisifu kwmb tunawalisha eti tuogope maneno ya kanga km hayo uliyotoa ww never.Huyo uliyomkoti ni mtanzania, labda haujawahi kukutana naye kwenye nyuzi mbalimbali.
Anachozungumzia jamaa nakubaliana nacho, tuache fikra za ajabu na tuwe wa kweli. Kwa kufanya hivyo tutaisadia nchi yetu. Walichokifanya Kenya si kuikomoa Tz! Walichokifanya Kenya ni njia mojawapo ya kudhibiti covid-19 nchini mwao. Haiwezekani wao watumie gharama na maamuzi mengine waliyoyachukua yana waathiri raia wao lengo likiwa ni kupambana kwa kutokomeza hili janga. Halafu Tz tume relax kana kwamba hakuna kinachoendelea. Halafu tunataka kuingia nchini mwao kama kawaida? Hapana! Nyakati inayoikumba dunia kwa sasa ni tofauti na nyakati zilizopita. Tusiwafanyie uhuni majirani zetu. Si utu na si ubinadamu.
Hata kama ikisemwa tunawalisha lakini kumbuka wanao uwezo wa kutafuta soko mahala pengine. Dunia imebadilika sana! Hii ni miaka ya 2000+, tuache fikra za miaka ya 1980 huko. Wanao uwezo wa kujipanga na kufanya maamuzi magumu.
Narudia kuwashauri jamani. Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuandika. unaweza aibika bure.Mkuu
Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona.
Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona
2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..
Solution ni simple. Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.Halafu kingine ni kwamba: Lugha ya Kiswahili si mali ya m-Tanzania pekee. Kama ulikuwa unasoma historia, lugha ya Kiswahili ni lugha iliyokuwa inazungumzwa ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Inapozungumziwa pwani ya Afrika mashariki haiko Tz pekee. Umejaribu kujiuliza kwa nini Wasomalia wanazungumza Kiswahili vilevile? Tumetofautiana kwenye la haja!
Ila wenzetu walikisahau, sisi tulikienzi, lakini haimaanishi kwamba ni lugha ya kwetu pekee! Bali ni lugha iliyofanywa rasmi kwa Tanzania.
Lete huo ushahidi wako unaoonyesha kwamba kuanzia 2014 hadi 2017 kwamba Kenya imeuza bidhaa nyingi kuliko Tanzania, ikiwezekana tumia data za "Central Bank of Kenya".Mkuu
Unaongelea makala aliyoandika mpumbavu biased kama mimi na wewe?
Buahahahaaaa
Brother tangu kuumbwa kwa dunia Kenya ina out trade Tanzania by far!
Always and always!
Hakuna anayepinga wala kulaumu Kenya kwa hatua walizochukua, lakini pia Kenya hawapaswi kupinga wala kulaumu Tanzania kwa hatua walizochukua za kusema mizigo yote ifaulishwe mpakani.Huyo uliyomkoti ni mtanzania, labda haujawahi kukutana naye kwenye nyuzi mbalimbali.
Anachozungumzia jamaa nakubaliana nacho, tuache fikra za ajabu na tuwe wa kweli. Kwa kufanya hivyo tutaisadia nchi yetu. Walichokifanya Kenya si kuikomoa Tz! Walichokifanya Kenya ni njia mojawapo ya kudhibiti covid-19 nchini mwao. Haiwezekani wao watumie gharama na maamuzi mengine waliyoyachukua yana waathiri raia wao lengo likiwa ni kupambana kwa kutokomeza hili janga. Halafu Tz tume relax kana kwamba hakuna kinachoendelea. Halafu tunataka kuingia nchini mwao kama kawaida? Hapana! Nyakati inayoikumba dunia kwa sasa ni tofauti na nyakati zilizopita. Tusiwafanyie uhuni majirani zetu. Si utu na si ubinadamu.
Hata kama ikisemwa tunawalisha lakini kumbuka wanao uwezo wa kutafuta soko mahala pengine. Dunia imebadilika sana! Hii ni miaka ya 2000+, tuache fikra za miaka ya 1980 huko. Wanao uwezo wa kujipanga na kufanya maamuzi magumu.
Mjadala nimeufuatilia kwa kadri ya nilivyoweza kwa kusoma kurasa kwa kurasa. Unachozungumza (Andika) ni kipi?Wafanye ss kitu gn kinachowafanya wasifanye, af unazungumzia wakenya wanachukua hatua ni hatua gn wanazochukua unazotaka kutuaminisha hapa? Wanafanya target testing ambayo pia tunafanya, wanafanya quarantine ambayo pia tunafanya kasoro lockdown ambayo cc tumeikataa, ss unataka kuwaona wao ni bora kwa lipi? Km vifo kwao vimetokea na kwetu vimetokea, idadi ya wenye corona hakuna tofauti kubwa so unataka kumaanisha nini? Lockdown tumekataa since day one na hata mataifa ambayo nyie mmekuwa mkiyaona yapo sahihi kwa kila jambo nayo yameanza kuikataa lockdown, kuhusu kufunga mipaka wafunge tu kwn shida iko wapi, wao wafunge af tuone km corona itaisha, lkn kwny suala la kuwapatia chakula huo ndiyo ukweli na huwezi kupinga kwamba tunawalisha ila hawajalazimishwa kununua sehemu nyingine but hatutaacha kujisifu kwmb tunawalisha eti tuogope maneno ya kanga km hayo uliyotoa ww never.
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.
Uchumi wa Tanzania upo juu kuliko ule wa Kenya
Elfu moja ya Tanzania
Kenya ni 20000 Kwahiyo wakenya wataisoma namba
CCM MBELE KWA MBELE
Uchumi wa Tanzania upo juu kuliko ule wa Kenya
Elfu moja ya Tanzania
Kenya ni 20000 Kwahiyo wakenya wataisoma namba
CCM MBELE KWA MBELE
Japan wapo vzr zaidi
Uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko ule wa Kenya, 1Zambian Kwacha = 6 Kenyan Shillings.Uchumi wa Tanzania upo juu kuliko ule wa Kenya
Elfu moja ya Tanzania
Kenya ni 20000 Kwahiyo wakenya wataisoma namba
CCM MBELE KWA MBELE
Uandishi wako nshakuelewa wa wapi ww [emoji3][emoji3]Mjadala nimeufuatilia kwa kadri ya nilivyoweza kwa kusoma kurasa kwa kurasa. Unachozungumza (Andika) ni kipi?
Hakuna mahali nilipoandika Mkenya ni mbora zaidi ya sisi! Hakuna mahala nilipoandika kuna mataifa nayaona ni sahihi! Nilichokiandika ni jitihada waliyoifanya dhidi ya huu ugonjwa wa mlipuko. Nilichokiandika ni kuhusu yaliyomo kwenye tanbihi ya muanzisha Uzi. Ijapokuwa kama ulivyoandika kwa muktadha wako na nauheshimu.
Uliyonikadiria sipo nayo! Na hisiya ama falsafa unayokwenda nayo ni tofauti na ya kwangu. Sipo kwenye usisi! Ubinafsi na majivuno kwangu ni dhambi, na ninachofungamana nacho ni mustakabali wenye tija kwa jamii na uliyo ubeba utu na ubinadamu.
Tupo sayari tofauti.
Unachokiandika ni kipi ndugu?Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.