Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Hahahaha hakuna kugoogle hii inaitwa tukutane namanga ndio kuna habari zote sio Google
Heheheheheeee hii covid imekuja patamu kweli kweli, mwenye msuli tutamuona tu, mana hii ngoma inawezekana tukawa nayo mwaka wote huu ss tutaona tu nani ni middle Income na nani ni ldc, hapa hakuna huruma ya Google kitu uhalisia [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Taifa la waswahili wanapatikana wapi vile Kwenye ramani ya duniani? Hahahaha munajitaiidi kupindisha ukweli lakini ndio hivyo aliepewa kapewa tu ona wasomiwako hao waliokuzidi elimu hata mtoto wa chekechea wa Tanzania hawamfikii
Lugha ya Taifa ipi?

Kiswahili?

Nani kakwambia Kiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzania?

Nyerere kakurupuka kaenda kuchukua lugha halali ya Waswahili kaja wadanganyeni ni lugha yenu?

Wewe ndio unajua Kiswahili sana?Weka tokeo lako la O’Level hapa tuone na mimi niweke langu hapa tuone nani alipata A!

Mlevi nyanya yako mzaa mama yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Taifa la waswahili wanapatikana wapi vile Kwenye ramani ya duniani? Hahahaha munajitaiidi kupindisha ukweli lakini ndio hivyo aliepewa kapewa tu ona wasomiwako hao waliokuzidi elimu hata mtoto wa chekechea wa Tanzania hawamfikii

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo uliyomkoti ni mtanzania, labda haujawahi kukutana naye kwenye nyuzi mbalimbali.

Anachozungumzia jamaa nakubaliana nacho, tuache fikra za ajabu na tuwe wa kweli. Kwa kufanya hivyo tutaisadia nchi yetu. Walichokifanya Kenya si kuikomoa Tz! Walichokifanya Kenya ni njia mojawapo ya kudhibiti covid-19 nchini mwao. Haiwezekani wao watumie gharama na maamuzi mengine waliyoyachukua yana waathiri raia wao lengo likiwa ni kupambana kwa kutokomeza hili janga. Halafu Tz tume relax kana kwamba hakuna kinachoendelea. Halafu tunataka kuingia nchini mwao kama kawaida? Hapana! Nyakati inayoikumba dunia kwa sasa ni tofauti na nyakati zilizopita. Tusiwafanyie uhuni majirani zetu. Si utu na si ubinadamu.

Hata kama ikisemwa tunawalisha lakini kumbuka wanao uwezo wa kutafuta soko mahala pengine. Dunia imebadilika sana! Hii ni miaka ya 2000+, tuache fikra za miaka ya 1980 huko. Wanao uwezo wa kujipanga na kufanya maamuzi magumu.
 
Halafu kingine ni kwamba: Lugha ya Kiswahili si mali ya m-Tanzania pekee. Kama ulikuwa unasoma historia, lugha ya Kiswahili ni lugha iliyokuwa inazungumzwa ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Inapozungumziwa pwani ya Afrika mashariki haiko Tz pekee. Umejaribu kujiuliza kwa nini Wasomalia wanazungumza Kiswahili vilevile? Tumetofautiana kwenye la haja!

Ila wenzetu walikisahau, sisi tulikienzi, lakini haimaanishi kwamba ni lugha ya kwetu pekee! Bali ni lugha iliyofanywa rasmi kwa Tanzania.
 
Wafanye ss kitu gn kinachowafanya wasifanye, af unazungumzia wakenya wanachukua hatua ni hatua gn wanazochukua unazotaka kutuaminisha hapa? Wanafanya target testing ambayo pia tunafanya, wanafanya quarantine ambayo pia tunafanya kasoro lockdown ambayo cc tumeikataa, ss unataka kuwaona wao ni bora kwa lipi? Km vifo kwao vimetokea na kwetu vimetokea, idadi ya wenye corona hakuna tofauti kubwa so unataka kumaanisha nini? Lockdown tumekataa since day one na hata mataifa ambayo nyie mmekuwa mkiyaona yapo sahihi kwa kila jambo nayo yameanza kuikataa lockdown, kuhusu kufunga mipaka wafunge tu kwn shida iko wapi, wao wafunge af tuone km corona itaisha, lkn kwny suala la kuwapatia chakula huo ndiyo ukweli na huwezi kupinga kwamba tunawalisha ila hawajalazimishwa kununua sehemu nyingine but hatutaacha kujisifu kwmb tunawalisha eti tuogope maneno ya kanga km hayo uliyotoa ww never.
 
Mkuu

Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona.

Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona

2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..

Solution ni simple. Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic
Narudia kuwashauri jamani. Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuandika. unaweza aibika bure.
Ipo hivi, madereva watanzania wanapimwa tz then wanaruhusiwa kusafiri wakiwa na kibari cha kuonyesha hawana maambukizi. Kinachotokea ni kuwa kenya hawavitambui hivyo vipimo hivyo kuwapima tena. Hii inachukua muda mrefu na usumbufu kwa madereva coz wanakaa muda mrefu kusubiri majibu, na mengi yakija ni +. Lakini huo muda wanaokaa si wanachangamana na watu, ina maana wanasambaza tena bila kujijua.
Hilo ndio tatizo mkuu, sio kwamba tz hawapimi maderva wao kama fake nyuzi za kenya zinavyosema.
 
Halafu kingine ni kwamba: Lugha ya Kiswahili si mali ya m-Tanzania pekee. Kama ulikuwa unasoma historia, lugha ya Kiswahili ni lugha iliyokuwa inazungumzwa ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Inapozungumziwa pwani ya Afrika mashariki haiko Tz pekee. Umejaribu kujiuliza kwa nini Wasomalia wanazungumza Kiswahili vilevile? Tumetofautiana kwenye la haja!

Ila wenzetu walikisahau, sisi tulikienzi, lakini haimaanishi kwamba ni lugha ya kwetu pekee! Bali ni lugha iliyofanywa rasmi kwa Tanzania.
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.
 
Mkuu

Unaongelea makala aliyoandika mpumbavu biased kama mimi na wewe?

Buahahahaaaa

Brother tangu kuumbwa kwa dunia Kenya ina out trade Tanzania by far!

Always and always!
Lete huo ushahidi wako unaoonyesha kwamba kuanzia 2014 hadi 2017 kwamba Kenya imeuza bidhaa nyingi kuliko Tanzania, ikiwezekana tumia data za "Central Bank of Kenya".

Kaka tatizo ninaloliona ni kwamba wewe huendi na wakati kabisa, wewe unachukulia mambo ya miaka kumi iliyopita enzi za Kikwete. Sasa hivi mambo yamebadilika sana.

Ninakushauri tena ujipe muda ili uweze kujifunza na kupata taarifa mpya kila wakati, hata Computer huwa zinaji " update" karibu kila siku, vipi wewe binadamu umebaki kuwa Nyuma?.

Kukudhihirishia kwamba wewe upo nyuma sana ya wakati, lete data za Benki kuu ya Kenya ya mwaka 2014 hadi 2018 zenye kuonyesha balance of trade kati ya Kenya na Tanzania kama hutojificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo uliyomkoti ni mtanzania, labda haujawahi kukutana naye kwenye nyuzi mbalimbali.

Anachozungumzia jamaa nakubaliana nacho, tuache fikra za ajabu na tuwe wa kweli. Kwa kufanya hivyo tutaisadia nchi yetu. Walichokifanya Kenya si kuikomoa Tz! Walichokifanya Kenya ni njia mojawapo ya kudhibiti covid-19 nchini mwao. Haiwezekani wao watumie gharama na maamuzi mengine waliyoyachukua yana waathiri raia wao lengo likiwa ni kupambana kwa kutokomeza hili janga. Halafu Tz tume relax kana kwamba hakuna kinachoendelea. Halafu tunataka kuingia nchini mwao kama kawaida? Hapana! Nyakati inayoikumba dunia kwa sasa ni tofauti na nyakati zilizopita. Tusiwafanyie uhuni majirani zetu. Si utu na si ubinadamu.

Hata kama ikisemwa tunawalisha lakini kumbuka wanao uwezo wa kutafuta soko mahala pengine. Dunia imebadilika sana! Hii ni miaka ya 2000+, tuache fikra za miaka ya 1980 huko. Wanao uwezo wa kujipanga na kufanya maamuzi magumu.
Hakuna anayepinga wala kulaumu Kenya kwa hatua walizochukua, lakini pia Kenya hawapaswi kupinga wala kulaumu Tanzania kwa hatua walizochukua za kusema mizigo yote ifaulishwe mpakani.

Tatizo la wakenya ni kuona kwamba hatua wanazochukua wao ni sahihi na zinauhalali lakini nchi zingine zikiamua kuchukua hatua wanasema sio halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye ss kitu gn kinachowafanya wasifanye, af unazungumzia wakenya wanachukua hatua ni hatua gn wanazochukua unazotaka kutuaminisha hapa? Wanafanya target testing ambayo pia tunafanya, wanafanya quarantine ambayo pia tunafanya kasoro lockdown ambayo cc tumeikataa, ss unataka kuwaona wao ni bora kwa lipi? Km vifo kwao vimetokea na kwetu vimetokea, idadi ya wenye corona hakuna tofauti kubwa so unataka kumaanisha nini? Lockdown tumekataa since day one na hata mataifa ambayo nyie mmekuwa mkiyaona yapo sahihi kwa kila jambo nayo yameanza kuikataa lockdown, kuhusu kufunga mipaka wafunge tu kwn shida iko wapi, wao wafunge af tuone km corona itaisha, lkn kwny suala la kuwapatia chakula huo ndiyo ukweli na huwezi kupinga kwamba tunawalisha ila hawajalazimishwa kununua sehemu nyingine but hatutaacha kujisifu kwmb tunawalisha eti tuogope maneno ya kanga km hayo uliyotoa ww never.
Mjadala nimeufuatilia kwa kadri ya nilivyoweza kwa kusoma kurasa kwa kurasa. Unachozungumza (Andika) ni kipi?

Hakuna mahali nilipoandika Mkenya ni mbora zaidi ya sisi! Hakuna mahala nilipoandika kuna mataifa nayaona ni sahihi! Nilichokiandika ni jitihada waliyoifanya dhidi ya huu ugonjwa wa mlipuko. Nilichokiandika ni kuhusu yaliyomo kwenye tanbihi ya muanzisha Uzi. Ijapokuwa kama ulivyoandika kwa muktadha wako na nauheshimu.

Uliyonikadiria sipo nayo! Na hisiya ama falsafa unayokwenda nayo ni tofauti na ya kwangu. Sipo kwenye usisi! Ubinafsi na majivuno kwangu ni dhambi, na ninachofungamana nacho ni mustakabali wenye tija kwa jamii na uliyo ubeba utu na ubinadamu.

Tupo sayari tofauti.
 
Watakwambia English lugha ya dunia hahaha
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati inajulikana mwenye lugha ya kingereza ni UK ingawa mmarekani amejifanya kuikumbatia Kama yake kumbe mtumwa tu
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Tanzania upo juu kuliko ule wa Kenya
Elfu moja ya Tanzania
Kenya ni 20000 Kwahiyo wakenya wataisoma namba
CCM MBELE KWA MBELE
 
Uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko ule wa Kenya, 1Zambian Kwacha = 6 Kenyan Shillings.

Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Tanzania

1 RWf = 2.5 Tsh.

Rudi shule ukasome uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala nimeufuatilia kwa kadri ya nilivyoweza kwa kusoma kurasa kwa kurasa. Unachozungumza (Andika) ni kipi?

Hakuna mahali nilipoandika Mkenya ni mbora zaidi ya sisi! Hakuna mahala nilipoandika kuna mataifa nayaona ni sahihi! Nilichokiandika ni jitihada waliyoifanya dhidi ya huu ugonjwa wa mlipuko. Nilichokiandika ni kuhusu yaliyomo kwenye tanbihi ya muanzisha Uzi. Ijapokuwa kama ulivyoandika kwa muktadha wako na nauheshimu.

Uliyonikadiria sipo nayo! Na hisiya ama falsafa unayokwenda nayo ni tofauti na ya kwangu. Sipo kwenye usisi! Ubinafsi na majivuno kwangu ni dhambi, na ninachofungamana nacho ni mustakabali wenye tija kwa jamii na uliyo ubeba utu na ubinadamu.

Tupo sayari tofauti.
Uandishi wako nshakuelewa wa wapi ww [emoji3][emoji3]
 
Pwani ya Afrika ya mashariki ni wapi hyo pwani? Acha unafki ndg, lugha yyte ina historia yake japo hilo halifichi ukweli wa asili ya lugha, eti walikisahau [emoji3][emoji3] tafuta popote kwenye maandishi ukikuta kuwa lugha ya kiswahili asili yake ni kenya nitag mm, hata English imesambaa mataifa mengi enzi na enzi lkn asili yake inajulikana wazi, acheni ufala Kiswahili kinatokea Tz km hamtaki kunyeni.
Unachokiandika ni kipi ndugu?

Kuna namna mbili; kuna asili ya lugha na chimbuko lake. Asili ni jinsi jambo lilivyoanza. Ukisema chimbuko maana yake ni mahali kitu kilipoanzia ama jambo lilipoanzia.

Unachomaanisha wewe ni chimbuko la Kiswahili (ijapokuwa umeandika asili). Kiswahili kimetokana na neno la kiarabu Sahil, ni neno la kiarabu na moja ya maana yake ni pwani. Kumbuka tuna lugha zetu za kibantu na nyinginezo. Ustaarabu katika miji na nchi zetu ulianzia ukanda wa pwani kwa sababu ni ukanda ambao ulikuwa na muingiliano na mataifa ya bara Asia kwa muda mrefu hususan waarabu. Hii lugha ilikuwa inatumika kibiashara ya kimataifa kwenye pwani ya Afrika Mashariki.

Tanzania kuna pwani na ipo Afrika Mashariki. Kenya kuna pwani na ipo Afrika Mashariki. Somalia kuna pwani na ipo Afrika ya Mashariki. Kwa hiyo kanda za pwani hizo zote zilikuwa zikizungumza Kiswahili. Sisi kwa watu wa bara kimeenezwa tu hususani kipindi cha Nyerere. Waulize wazee wetu, Kiswahili kilifanywa ni lazima kuzungumzwa kipindi hicho watu wananzungumza lugha ya makabila ya kwao tu.

Sisi ni jitihada ya kukitumia na kukienzi tukairasimisha rasmi. Lakini mmiliki wa hii mali ya lugha ya Kiswahili ni watu wa ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom