Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Wao wajenge GDP, sisi tutazalisha chakula, wao wajenge GDP sisi tutahakikisha watanzania wanapata maji safi na salama, wao wajenge GDP sisi tunajenga Hospitals na kununua dawa za kutosha, wao wajenge GDP sisi tunajenga SGR ya UMEME, wao wajenge GDP sisi tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa uhakika na wa bei nafuu, wao wajenge GDP sisi tunajenga BRT. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Do u even know the contributing factors za GDP?., dont be fooled by outward appearence of things and selected media reports, there is more than meets the eye kaka, soma brathe, ignorance itakuuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania watu maajabu sana.. Chakula kinachotoka Tanzania hapa Kenya huletwa kuuzwa Nairobi... Tanzania wakifunga mpaka bei ya bidhaa zingine itapanda kwa sababu ya low supply.. Lakini baada ya miezi kama 6 hivi wakulima wataongeza production. Saa hizi hata chakula cha Tanzania kinachangia kuharibika soko.. Mkifunga mpaka itakuwa furaha kwa wakulima wetu... Tena huku mikoani Kenya hakuna chakula cha TZ kinauzwa huko
Bidha gani itapanda iliyopo Kenya tz haipo???? Au blueband

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba afunge mpaka kwanini? Alishakataa toka corona inasoma 1.tena sio kwa kenya tu,n chi zote tunazopakana nazo.

Sisi hatuna siasa my friend, kama kuna sababu ya msingi kufunga boda, ni kufunga kweli kweli, uliza ishu ya KQ kutua nchini just incase hukuwa umezaliwa[emoji23][emoji23]. Kenya ingekuwa inaijenga tz kiuchumi msingekuwa mnatuogopa namna hii, yaani unajua kabisa tunaleta corona halafu unaruhusu tuingie[emoji38][emoji38]
Jiwe anaiogopa kenya tena vibaya sana, km ana uwezo huo aanzishe safari za kuja nairobi kutumia atcl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do u even know the contributing factors za GDP?., dont be fooled by outward appearence of things and selected media reports, there is more than meets the eye kaka, soma brathe, ignorance itakuuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kuimba GDP huku mnakufa kwa njaa na shida ya MAJI Nairobi ikiambatana na kipindupindu vinaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kuimba GDP huku mnakufa kwa njaa na shida ya MAJI Nairobi ikiambatana na kipindupindu vinaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Isolated media reports on isolated cases ain't a measure of what Kenya is, freedom of media is a good thing, hope u understand that mwana ccm, mficha uchi hazai, it will take ages for your country to reach where Kenya is. Naona uko na mapungufu ya kifikra . Sikulaumu wala sikuhukumu., utapona tu usijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah we buy, a good thing for your poor relatives who are farmers, unfortunately tumewapa soko lakini haiwafaidi. Shukuru kwa soko, na muwaelimishe walio mashambani waache kunyanyaswa na middlemen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poor relatives na hawapiki mawe kutokana na kukosa chakula,

Halafu itakuwa hiyo video imekuuma kweli kweli,

Umulevi umuvuta bangi anatambua hilo ila vibushuti kama wewe hamtambui hilo maana mnapenda kuficha vichwa vyenu kwenye mchanga [emoji23]
 
Tutaelewana tu lazima tuwafundishe hawa wakenya wanaotembea na VVU na malaria mwilini jinsi ya kuishi na corona
 
Isolated media reports on isolated cases ain't a measure of what Kenya is, freedom of media is a good thing, hope u understand that mwana ccm, mficha uchi hazai, it will take ages for your country to reach where Kenya is. Naona uko na mapungufu ya kifikra . Sikulaumu wala sikuhukumu., utapona tu usijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
It will take centuries for Kenya to defeat hunger, poverty. Slums, and tribalism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah we buy, a good thing for your poor relatives who are farmers, unfortunately tumewapa soko lakini haiwafaidi. Shukuru kwa soko, na muwaelimishe walio mashambani waache kunyanyaswa na middlemen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya wiki moja kuanzia Leo mtaanza kupata joto la jiwe baada ya Tanzania kuzuia "Cargo vehicles" kuja Kenya. Kenya bila Tanzania hamuwezi kusurvive .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poor relatives na hawapiki mawe kutokana na kukosa chakula,

Halafu itakuwa hiyo video imekuuma kweli kweli,

Umulevi umuvuta bangi anatambua hilo ila vibushuti kama wewe hamtambui hilo maana mnapenda kuficha vichwa vyenu kwenye mchanga [emoji23]
Heri kupika mawe kuliko kula mafii ya mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom