Kwani dhambi?Huko ni kumjaribu Mungu.
Yesu alipokua anafanya muujiza wa ku extend wale samaki na mikate miwili ili kulisha maelfu ya watu hakuangalia wengine kwenye kundi hilo la watu kama kuna watu hawaamini kwenye muujizaCharity begins at home wengine hawaamini katika maombi watanzania tunaamini
I cant waste my time praying for infidels countries who dont believe that God can remove Cotona in their countries wapambane na hali yao na upagani wao
Huyo ni Yesu mimi sio Yesu usinifananishe na YesuYesu alipokua anafanya muujiza wa ku extend wale samaki na mikate miwili ili kulisha maelfu ya watu hakuangalia wengine kwenye kundi hilo la watu kama kuna watu hawaamini kwenye muujiza
Na hata sehemu nyingi ambapo alikua akipita alikua hakubaliki na watu wengi mpaka pale alipowathibitishia kwa kuwafanyia muujiza
Sasa kwanini wewe usijitoe ukafanya maombi kufika asubuhi uwe umeitokomeza korona ulimwenguni kote ili hata wale wssioamini waamini?
Sikujua hivi kumbe kila nchi ina Mungu wake, oukeyyyy.
Nafananisha power ya maombi sikufananishi we na yesuHuyo ni Yesu mimi sio Yesu usinifananishe na Yesu
Maombi yana condition hata Yesu kwake nazareth alifanya miujiza michache mno sababu hawakumuamini mimi siwezi ombea mipagani corona iishe nchi zao wakati haimwamini Mungu kuwa aweza ondoa Corona.Wacha ife tu na CoronaNafananisha power ya maombi sikufananishi we na yesu
Na ndio maana mmepewa authority ya kufanya chochote kwa imani
Sasa inamaana huna imani kwamba ukifanya maombi kufika kesho asubuhi utakua umetokomeza korona ulimwenguni kote?
Kweli kabisa matapeli,wazinzi,wauaji,wabinafsi wamejificha ktk mwamvuli wa jina la MUNGU tunaona kabisa hawana sifa za kusikiwa na MUNGU.Tatizo ni kuwa haya maneno makuu kuhusu Mungu tunayasema kama matokeo ya kujifariji dhidi ya hofu iliyo ndani yetu,hatuyasemi kutokana na imani yetu na vile tunavyomjua Mungu,na tunvyompenda,
Hizi ni zama ambazo jina la Mungu linatumika vibaya sana kwa faida binafsi,
Wapi kuna terms&conditions zimeandikwa asiyeamini mungu/mpagani anazuia muujiza kufanyika?Maombi yana condition hata Yesu kwake nazareth alifanya miujiza michache mno sababu hawakumuamini mimi siwezi ombea mipagani corona iishe nchi zao wakati haimwamini Mungu kuwa aweza ondoa Corona.Wacha ife tu na Corona
Tanzania waliopaswa kufa kwa korona wengi walishakufa kwa matatizo mengine madogo madogo. Ulaya wanakufa wengi kwa sababu kuna wazee wengi.Hilo la wataalamu liweke kwanza pembeni hakuna nchi zenye wataalamu kama ulaya na marekani watu kule wanakufa kama kuku na barakoa zao na pamoja na kuzingatia tahadhari zote za mitaani hadi daktari bingwa wa Papá Vatican kafariki kwa Corona na Vatican inaongoza kwa kuzingatia masharti
Huu ni wakati Wa Mungu dio hopeless wataalamu wameshindwa kukabili Corona na Biblia inatamka wazi amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya tumaini Lake
Hilo sio kipindi cha kuweka tumaink kwa mwanadamu yeyote hata ajiite mtaalamu vipi
Una akili sana ya rohoni Mungu aendelee kukutunza wengi hawajui siri hii ....Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa!!!
Hii vita Mungu wa Tanzania ataibuka mshindi tena kwa knock out
Wazungu wajiandae kutushangaa Watanzania kwa ushindi mnono awamu hii tena
Tanzania kwa sasa ndio taifa teule limeibwaga Maka na Medina na Vatican na Israel kwenye vita dhidi ya Corona kwa kumtumia Mungu yaani using God factor on war against Corona a weapon that other countries have rejected
Wafuasi wa Kristo huwa wanajifunza kwa Kristo.Kwa kuthibitisha kwamba MAOMBI ni USELESS, PRAY that COVID-19 ends TOMORROW MORNING all over the world.
Sacha ujinga , wataalam wote elimu yao aslili yake ni kwa mungu.Hilo la wataalamu liweke kwanza pembeni hakuna nchi zenye wataalamu kama ulaya na marekani watu kule wanakufa kama kuku na barakoa zao na pamoja na kuzingatia tahadhari zote za mitaani hadi daktari bingwa wa Papá Vatican kafariki kwa Corona na Vatican inaongoza kwa kuzingatia masharti
Huu ni wakati Wa Mungu dio hopeless wataalamu wameshindwa kukabili Corona na Biblia inatamka wazi amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya tumaini Lake
Hilo sio kipindi cha kuweka tumaink kwa mwanadamu yeyote hata ajiite mtaalamu vipi
Sir God huwa hawahi wala kuchelewa kujibu maombi.Kwa kuthibitisha kwamba MAOMBI ni USELESS, PRAY that COVID-19 ends TOMORROW MORNING all over the world.
Jinga mkubwa weweKila mtu apambane kivyake kwanza kwenye hili la Corona sisi tumeamua tutumie Mungu
Ndio uko sahihi