#COVID19 Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

#COVID19 Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

Charity begins at home wengine hawaamini katika maombi watanzania tunaamini
I cant waste my time praying for infidels countries who dont believe that God can remove Cotona in their countries wapambane na hali yao na upagani wao
Yesu alipokua anafanya muujiza wa ku extend wale samaki na mikate miwili ili kulisha maelfu ya watu hakuangalia wengine kwenye kundi hilo la watu kama kuna watu hawaamini kwenye muujiza

Na hata sehemu nyingi ambapo alikua akipita alikua hakubaliki na watu wengi mpaka pale alipowathibitishia kwa kuwafanyia muujiza

Sasa kwanini wewe usijitoe ukafanya maombi kufika asubuhi uwe umeitokomeza korona ulimwenguni kote ili hata wale wssioamini waamini?
 
Huyo ni Yesu mimi sio Yesu usinifananishe na Yesu
 
Huyo ni Yesu mimi sio Yesu usinifananishe na Yesu
Nafananisha power ya maombi sikufananishi we na yesu

Na ndio maana mmepewa authority ya kufanya chochote kwa imani

Sasa inamaana huna imani kwamba ukifanya maombi kufika kesho asubuhi utakua umetokomeza korona ulimwenguni kote?
 
Maombi yana condition hata Yesu kwake nazareth alifanya miujiza michache mno sababu hawakumuamini mimi siwezi ombea mipagani corona iishe nchi zao wakati haimwamini Mungu kuwa aweza ondoa Corona.Wacha ife tu na Corona
 
Tatizo ni kuwa haya maneno makuu kuhusu Mungu tunayasema kama matokeo ya kujifariji dhidi ya hofu iliyo ndani yetu,hatuyasemi kutokana na imani yetu na vile tunavyomjua Mungu,na tunvyompenda,
Hizi ni zama ambazo jina la Mungu linatumika vibaya sana kwa faida binafsi,
Kweli kabisa matapeli,wazinzi,wauaji,wabinafsi wamejificha ktk mwamvuli wa jina la MUNGU tunaona kabisa hawana sifa za kusikiwa na MUNGU.
 
Maombi yana condition hata Yesu kwake nazareth alifanya miujiza michache mno sababu hawakumuamini mimi siwezi ombea mipagani corona iishe nchi zao wakati haimwamini Mungu kuwa aweza ondoa Corona.Wacha ife tu na Corona
Wapi kuna terms&conditions zimeandikwa asiyeamini mungu/mpagani anazuia muujiza kufanyika?

Kwanini usiwafanye wasioamini waamini mungu kwa kuwathibitishia yupo kupitia muujiza huo wa hayo maombi kwa kuitokomeza korona kabisa?

Kwa hiyo wewe huna imani ya kutosha kuweza kufanya maombi na muujiza ukatendeka bila kuangalia wangapi wanaamini au kutokuamini katika mungu?
 
Hilo la wataalamu liweke kwanza pembeni hakuna nchi zenye wataalamu kama ulaya na marekani watu kule wanakufa kama kuku na barakoa zao na pamoja na kuzingatia tahadhari zote za mitaani hadi daktari bingwa wa Papá Vatican kafariki kwa Corona na Vatican inaongoza kwa kuzingatia masharti

Huu ni wakati Wa Mungu dio hopeless wataalamu wameshindwa kukabili Corona na Biblia inatamka wazi amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya tumaini Lake

Hilo sio kipindi cha kuweka tumaink kwa mwanadamu yeyote hata ajiite mtaalamu vipi
Tanzania waliopaswa kufa kwa korona wengi walishakufa kwa matatizo mengine madogo madogo. Ulaya wanakufa wengi kwa sababu kuna wazee wengi.
 
Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa!!!

Hii vita Mungu wa Tanzania ataibuka mshindi tena kwa knock out

Wazungu wajiandae kutushangaa Watanzania kwa ushindi mnono awamu hii tena

Tanzania kwa sasa ndio taifa teule limeibwaga Maka na Medina na Vatican na Israel kwenye vita dhidi ya Corona kwa kumtumia Mungu yaani using God factor on war against Corona a weapon that other countries have rejected
Una akili sana ya rohoni Mungu aendelee kukutunza wengi hawajui siri hii ....
 
Mkuu nipo na shetani hapa namuuliza kama kweli kaleta Korona, anasema acheni ufala yeye hausiki na hayo makorona yenu ya ajabuajabu
 
Hospitali, chanjo na dawa za kazi gani sasa we mbwiga?
Kwa logic yako ya hovyo tukiumwa tushinde nyumba za ibada tukiomba Mungu atuponye.
Bila shaka wewe ni wale wenye kununua sabuni,chumvi,udongo na keki za upako ili uwe tajiri.
 
Kwa kuthibitisha kwamba MAOMBI ni USELESS, PRAY that COVID-19 ends TOMORROW MORNING all over the world.
Wafuasi wa Kristo huwa wanajifunza kwa Kristo.
Wakati Fulani HUYU KRISTO alipokuwa katika safari ya ukombozi wa mwanadamu, maumivu yalikuwa makali.
Na yeye aliomba hivi.
Baba Kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke MAPENZI YAKO YATIMIZWE.
 
Wenye Imani zao walifunga makanisa na misikiti huko uarabuni na israel
 
Hilo la wataalamu liweke kwanza pembeni hakuna nchi zenye wataalamu kama ulaya na marekani watu kule wanakufa kama kuku na barakoa zao na pamoja na kuzingatia tahadhari zote za mitaani hadi daktari bingwa wa Papá Vatican kafariki kwa Corona na Vatican inaongoza kwa kuzingatia masharti

Huu ni wakati Wa Mungu dio hopeless wataalamu wameshindwa kukabili Corona na Biblia inatamka wazi amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya tumaini Lake

Hilo sio kipindi cha kuweka tumaink kwa mwanadamu yeyote hata ajiite mtaalamu vipi
Sacha ujinga , wataalam wote elimu yao aslili yake ni kwa mungu.
Hakuna kuweza asipowezesha mungu.
Ukiona yapo hivi ni yeye MUNGU KAPENDA.

HATA WANAOGUNDUA CHANJO LULUKI NI YEYE NDO ANAWEZESHA.
 
Back
Top Bottom