Yaani kwa kadhaa mmekuwa mkitetea upumbavu... ndiyo, UPUMBAVU halafu mnasema tusinyoosheani vidole?!
Ni upumbavu kwa sababu mtu ukielimishwa kwamba 1+1 = 2 halafu bado mtu akawa anang'ang'ania kwamba ni 11, mtu kama huyo ni mpumbavu tu na si vinginevyo!
Kama ambavyo misukule ya Lumumba ilivyokuwa inanyoonshea watu vidole kuhusu mkopo wa World Bank, ndivyo ambavyo katu hatutaacha kuwanyooshea vidole wote mliokuwa mnatetea upumbavu ambao hatimae ndio umetufikisha hapa!
Mlikuwa mnapiga vigelegele kwamba ni kweli kuzuia international flights kutaharibu biashara ya utalii halafu bado mnataka tusiwanyooshee vidole?!
Kila mwenye akili alifahamu kabisa njia nyepesi ya kukabiliana na corona ni kuzuia watalii na ndege kutoka nje kuingia nchini lakini kwa makusudi mkaamua kum-support Magufuli huku hakuna cha maana kinachowakumuma zaidi ya siasa za kipumbavu na ukabila manake kuna baadhi ya Wasukumu wanachukulia urais wa Magufuli ni kama urais wa Wasukuma wote na kwahiyo wana wajibu wa kuulinda kwa nguvu zote, pamoja na mambo mengine kuunga mkono na kutetea kila kinachosemwa na kufanywa Msukuma mwenzenu... SHAME ON Y'ALL!!
Katika ku-justify unabii wa kitapeli wa Magufuli mara kwa mara mmemkuwa mki-justify kwa hoja ya lockdown wakati kuna mambo mengi ya kipumbavu bado yanaendelea na bado mnayaunga mkono halafu mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Mlikuwa mnamsifia Magu kwamba ni kiongozi wa mfano ktk kupambana na coronavirus wakati kila mwenye akili timamu alifahamu Magu alikuwa anacheza na moto jirani na petrol halafu leo mnasema tusiwanyooshee vidole?!