Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza!

Yaani kwa wiki kadhaa mmekuwa mkitetea upumbavu... ndiyo, UPUMBAVU halafu mnasema tusinyoosheane vidole?!

Ni upumbavu kwa sababu mtu ukielimishwa kwamba 1+1 = 2 halafu bado mtu akawa anang'ang'ania kwamba 1+1 = 11, mtu kama huyo ni mpumbavu tu na si vinginevyo!

Kama ambavyo misukule ya Lumumba ilivyokuwa inanyoonshea watu vidole kuhusu mkopo wa World Bank, ndivyo ambavyo katu hatutaacha kuwanyooshea vidole wale wote waliokuwa wanatetea upumbavu ambao hatimae ndio umetufikisha hapa!

Mlikuwa mnapiga vigelegele kwamba ni kweli kuzuia international flights kutaharibu biashara ya utalii halafu bado mnataka tusiwanyooshee vidole?!

Kila mwenye akili alifahamu kabisa njia nyepesi ya kukabiliana na corona ni kuzuia watalii na ndege kutoka nje kuingia nchini lakini kwa makusudi mkaamua kum-support Magufuli huku hakuna cha maana kinachowakumuma zaidi ya siasa za kipumbavu na ukabila manake kuna baadhi ya Wasukumu wanachukulia urais wa Magufuli ni kama urais wa Wasukuma wote, na kwahiyo wana wajibu wa kuulinda kwa nguvu zote, pamoja na mambo mengine kuunga mkono na kutetea kila kinachosemwa na kufanywa Msukuma mwenzao... SHAME ON Y'ALL!!

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana haikushangaza kusikia mtu kama Gwajima akihamasisha Wasukuma kusimama na Magufuli!!

Katika ku-justify unabii wa kitapeli wa Magufuli mara kwa mara mmemkuwa mki-justify kwa hoja ya lockdown wakati kuna mambo mengi ya kipumbavu bado yanaendelea na bado mnashangalia halafu mnasema tusiwanyooshee vidole?!

Mlikuwa mnamsifia Magu kwamba ni kiongozi wa mfano ktk kupambana na coronavirus wakati kila mwenye akili timamu alifahamu Magu alikuwa anacheza na moto jirani na petrol halafu leo mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Mmhhh
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.

Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.

Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.

As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.

Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.

Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.

Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.

Hii ni mifano

Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.

Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?

Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.

Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.

Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Hii thread inaeneza corona, nashauri ivalishwe mask

Anayetaka kuisoma aoshe mikono kabisa

Acha kukaa kihasara hasara
 
Watu wametoa ushauri sana lakini haujazingatiwa, vyama vya siasa pia vimetoa ushauri lakini hawaeleweki sembuse watoa ushauri wenye akaunti zilizoficha identy yake?

Haya mi nashauri wale wote wanaotoka Dar na Zanzibar kwenye maambukizi mengi wakienda Mikoani wafanyiwe karantini kwa siku 14 kabla hawaajenda kwenye mashughuli yao ili wasieneze mikoani. Na Kwenye vyombo vya usafiri wahakikishe kila abiria anavaa mask na wapimwe joto.
Wakae karantini kwa gharama za nani ?

Acha kukaa kihasara hasara
 
Usa walizuia ndege yoyote kuingia chini kwao. Lakini mpaka sasa kuna vifo zaidi ya vifo elfu 40+. Yaliyopita tuachane nayo. Sasa maambukizi yameongezeka huwezi jua yaliletwa kupitia airports au njia za panya za mipakani. Kwa hiyo jambo la msingi ni kupambana na hili janga kama taifa na kuweka lawama kando.
Ulishawahi kujiuliza hao USA walizuia hizo ndege wakati gani?!

Unapiga ban international flights wakati tayari ugonjwa umeshaingia mtaani halafu bado unatarajia hiyo restriction itasaidia?!

Kwa mfano Tanzania kwa hapa ilipofikia... hata wakipiga ban international flights na kufunga mipaka leo hii unaamini itasaidia wakati ugonjwa umeingia hadi Uswahilini ndani ndani huko?!

Kwamba eti sijui kama maambukizi yaliletwa kupitia airport au kwa njia za panya, that explains a big problem we have!

Ina maana hufahamu kwamba hata Patient Zero alipitia KIA, na pale akawa cleared lakini kwa busara zake tu akaamua kujipiga quarantine!!!

Ina maana umeshasahau yule mgonjwa ambae alipitia Uwanja wa Ndege wa Dar lakini akafika hadi Mwanza wakati kumbe tayari ana maambukizi!

The question is: Ni wasafiri wangapi sawa na huyo wa Mwanza ambao wanapitia kwenye viwanja vyetu lakini wanaingia mtaani bila kuwekwa quarantine?!

Jibu analo huyu mama:-
Corona.png

Utaona hiyo ni Tweet ya March 25 na huyo mama akilalamika uzembe wa pale airport!!!

Sasa pamoja na yote mnataka tusiwanyooshee vidole waliotufikisha hapa?!
 
Hayo yameshatokea sio kipindi cha kulaumu yaliyopita. Suala la msingi huu mlipuko wa ndani tunaudhibiti vipi? Na kila mtu aonyeshe uzalendo. Sio kulaumu na kutukana viongozi.
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.

Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.

Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.

As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.

Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.

Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.

Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.

Hii ni mifano

Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.

Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?

Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.

Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.

Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Yaani watu wafanye ujinga ambao unagharimu maisha ya watu halafu tuache kusema.

Hata kama mnatetea matumbo yenu this is too much.
 
Hayo yameshatokea sio kipindi cha kulaumu yaliyopita. Suala la msingi huu mlipuko wa ndani tunaudhibiti vipi? Na kila mtu aonyeshe uzalendo. Sio kulaumu na kutukana viongozi.
Kwanini tusilaumu wakati juzi tu hapa kwa mara nyingine Magufuli ameendelea kuaminisha watu kwamba coronavirus haiwezi kuingia nchini endapo watu wataendelea kwenda makanisani na misikitini?

Hivi Pasaka si imefanyika juzi tu hapa na bado JPM akaendelea kuhamasisha watu waendelee kujitokeza kwenye sala?!

Hivi kuna mtu anayeweza kuamini unaweza kufanya social distancing kanisani, tena wakati wa Pasaka ambao hata yule asiye na utamaduni wa kwenda church, hiyo siku anaenda!!!

Kama hiyo ya pasaka haitoshi, akahamasisha Siku 3 za Maombezi!!

Hivi kwa Rais aliyekuwa anahamasisha watu waendelee kujitokeza kwenye nyumba za ibada, hizo Siku 3 za Maombezi alitaka zifanyike vipi kama sio watu kwenda kujazana tena misikitini na makanisani kwa ajili ya hayo maombi?!
 
Kwanini tusilaumu wakati juzi tu hapa kwa mara nyingine ameendelea kuaminisha watu kwamba coronavirus haiwezi kuingia nchini endapo watu wataendelea kwenda makanisani na misikitini?

Hivi Pasaka si imefanyika juzi tu hapa na bado JPM akaendelea kuhamasisha watu waendelee kujitokeza kwenye sala?!

Hivi kuna mtu anayeweza kuamini unaweza kufanya social distancing kanisani, tena wakati wa Pasaka ambao hata yule asiye na utamaduni wa kwenda church, hiyo siku anaenda!!!
Wewe una chuki zako binafsi.
 
Tumejenga utamaduni wa hovyo kabisa wa kutotaka kuwa sehemu ya majawabu ya changamoto zetu zinazotusonga.
Kila kitu tunageuza ni siasa. Poor us
 
Huu sio wakati wa kutafuta mchawi tena, kama "mistake" ilishatokea, now lazima tusonge mbele, kupoteza muda mwingi kulaumu hakutasaidia chochote tena.

Tukicheza tutawapoteza mpaka wapendwa wetu, hakuna haja kufika huko, huu ni wakati wa kuwa wamoja kupambana na hili gonjwa, na sio kuendelea kumfikiria mtu mmoja, kumbuka yeye anaweza akabaki, wewe na wenzako mnaweza kuondoka msipochukua tahadhari.

Ukisema huipendi CCM, kumbuka kuna marafiki na jamaa zako wako huko huko CCM, na ukisema huipendi CHADEMA, pia kuna marafiki na jamaa zako wako huko usipopapenda.

Wote kwa pamoja tusingependa kuwapoteza marafiki na jamaa zetu, huu ni wakati wa kujilinda, kushauri, na kufarijiana, ili sote kwa pamoja tuvuke salama kipindi hiki.

Pole kwa wote walioondokewa na ndugu, marafiki, na jamaa zao kutokana na huu ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata baada ya mtihani mnafanya masahiisho...Wanaccm tujifunze usikivu,kushaurika,busara nk Mfalma akivuliwa nguo jamii yake ndiyo inayo pata aibu
 
Kwenye hii ishu ya corona kuna watu hasa wapinzani wataaibika sana.

Kuna watu sasa hivi wanatamani waanze kuona watu maelfu wanakufa ili wapate cha kusema.

Bahati mbaya sana hili suala litapita bila madhara makubwa, alafu sikilizia watu watakapo pokea kichapo cha mbwa koko ikifika oktoba mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ina maana ili ni swala la Kisiasa? Sikujua kabisa...basi kama ni hivyo lazma tuiweke kwenye Ilani kabisa ili Oktoba tuitumie dhidi ya wapinzani uchwara.
 
Huwez
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.

Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.

Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.

As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.

Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.

Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.

Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.

Hii ni mifano

Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.

Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?

Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.

Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.

Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Huwezi sikia Mganda anamlaumu Museven kwa hatua za kuzuia wakazi wa Kampala ndani tangu mapema. Tatizo la waTZ lilianza pale kiongozi wao alipochukulia jambo hili kwa mzaha sana hasa pale aliposema ni kaugonjwa kadogo tusitishane. Huku wapambe wakishangilia bila kujua hili ni janga la kimataifa.

Kwa hatua hii tunamtaka Rais aombe radhi raia kwa upotoshaji na kusababisha wengi kutochukua tahadhari kwa uzito wake jambo linalosababisha janga kuwa kubwa. Na bila hatua mathubuti za yeye kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kila kitu kinakaa sawa mapema tutaisha.
 
Kwamba watanzania ni mamburula kiasi hicho mpaka wapewe amri tu ndio wafanye?
Ndiyo.
Ushahidi: Angalia wito wa watu kutumia barakoa bila shuruti.

Mimi nimekuwa nikivaa barakoa muda mrefu kabla ya tangazo la RC Makonda, nikitoka ndani kila mtu ananishangaa na mwingine anahisi nina mnyanyapaa anapokea pesa yangu kwa kukinga na kitu lakini akija mteja asiekuwa na barakoa anapokea kwa mikono tu.

Watu wengine wote toka nyumbani kwetu nawakumbusha kuvaa barakoa, wakienda sehemu wale wa kike wanaanza kuchekwa na kusimangwa.
 
Wakuu why this panic all of sudden, habari njema survivors ni wengi sana kuliko vifo, we will survive this one.
 
Huyu Paskali leo nimeanza kumwelewa vizuri, siku zote nilikuwa nayathamini sana mawazo yake hapo wengi walikuwa wqnamwita majina mengi MF:- Njaa, Kinyonga, Mnafiki, Tiss nk.

Kiumri ni lazima nimweshimu kwani kanizidi (He is my brother not father)

Ushauri. wangu kwako Paskali, Usipende kutumia elimu na heshima yako uliyonayo kuyumbisha yumbisha watu kisa Title yako ni kubwa humu Jf.
Asubuhi unaandika ukionyesha msimamo huu, jioni unakuja kivingine, kesho unajisahau unarudia ya Jana ilimradi tu utuchanganye kwa faida unazozijua mwenyewe.

Nimeanza kutilia shaka wewe ni mtu wa aina gani, nimewahurumia kina Kabendera.
 
Back
Top Bottom