Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wako Pascal Mayalla ni mzuri mimi sina cha kusaidia ila kupitia "COVID-19 World Update" Coronavirus Update (Live): 2,418,592 Cases and 165,741 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer kuna nchi zinafanya vizuri sana katika kutibu watu wao waliokutwa na maambukizi mfano wa hizo nchi ni Austria (71%), German (63%), Iran (69%), Switzerland (64%), Australia (64%), Malaysia (61%), Thailand (72%) na Iceland (73%).Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.
Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Exactly Sasa hivi tulipofika Ni kufanya mass testing kwa kiasi kikubwa ili walioambukizwa wapate msaadaPaskali jambo muhimu ni kuleta maelewano kwa manufaa ya wananchi wa taifa letu.
Na mtu wa kuongoza maridhiano ni Mh.Raisi Magufuli afungue ukurasa mpya katika utawala wake.
Tunatarajia Raisi Magufuli being a scientist he will adress Covid-19, basing on scientific evidence and proved facts not otherwise.
Tunategemea ataogeza nguvu nyingi kwa kufanya Testing,Traising, Treatment na quarantine ikibidi,
ili wananchi wetu waweze kurudi haraka katika kufanya shughuli zao.
Litapita bila madhara makubwa? Hapa tulipofikia unahisi ni padogo? Ukweli serikali kunasehemu iliteleza, kwanini serikali haitaki kufunga mipaka? Kwanini hawataki kufunga nyumba za ibada?Kwenye hii ishu ya corona kuna watu hasa wapinzani wataaibika sana.
Kuna watu sasa hivi wanatamani waanze kuona watu maelfu wanakufa ili wapate cha kusema.
Bahati mbaya sana hili suala litapita bila madhara makubwa, alafu sikilizia watu watakapo pokea kichapo cha mbwa koko ikifika oktoba mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Leo hujaweka ile thread yako ya kumsifia Mzee Magufuli, hebu iweke hapo pia. Tulishauri kuwa ni mapema sana kuanza kumpa mtu sifa, haya sasa! Tujisahihishe, tusijikweze, huu ni ugonjwaWanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.
Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Mkuu Paskali ugumu unakuja zile njia ambazo zinaweza kutuvusha tayari wapinzani wa kisiasa kwa chama tawala ndio wameshauri zitumike sasa chama tawala kinaogopa kufata ushauri wa wapinzani wanahisi watawapa hatua kwenye siasa, amini nakwambia hata hizi nyumba za ibada zinazofungwa ni amri ya serikali ila serikali hawaji wazi kwakuwa wataonekana wamefata ushauri wa wapinzaniWanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote.
Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda.
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Mkuu Paskali, kunyoosheana vidole ni muhimu sana. Wakati watu wanatoa maoni na ushauri, kulikuwa na tambo nyingi sana kwamba watanzania ni watu makini, wana kiongozi makini, shujaa mwenye maono.Wanabodi,

Mass testing ni muhimu,nimesikia huko Italy wanatumia test kits za gharama ndogo na kupata majibu papo hapo,lakini inakupa negative,au positive au kama uliiwahi kuugua kuonyesha kama umejenga kinga yaani antibody.Wameenda mbele na kusema kuna watu walipitiwa na Covid-19 bila wao kuuguwa,bali wamepata antibodies.Exactly Sasa hivi tulipofika Ni kufanya mass testing kwa kiasi kikubwa ili walioambukizwa wapate msaada
I still don't know hizo bilioni 6 zimewekwa kwa ajili ya mapambo au
Mimi kutoipenda CCM imekuwa nongwa wewe kuichukia Chadema sawa! Tuicheze ngoma mnavyotaka ninyi.Huu sio wakati wa kutafuta mchawi tena, kama "mistake" ilishatokea, now lazima tusonge mbele, kupoteza muda mwingi kulaumu hakutasaidia chochote tena.
Tukicheza tutawapoteza mpaka wapendwa wetu, hakuna haja kufika huko, huu ni wakati wa kuwa wamoja kupambana na hili gonjwa, na sio kuendelea kumfikiria mtu mmoja, kumbuka yeye anaweza akabaki, wewe na wenzako mnaweza kuondoka msipochukua tahadhari.
Ukisema huipendi CCM, kumbuka kuna marafiki na jamaa zako wako huko huko CCM, na ukisema huipendi CHADEMA, pia kuna marafiki na jamaa zako wako huko usipopapenda.
Wote kwa pamoja tusingependa kuwapoteza marafiki na jamaa zetu, huu ni wakati wa kujilinda, kushauri, na kufarijiana, ili sote kwa pamoja tuvuke salama kipindi hiki.
Pole kwa wote walioondokewa na ndugu, marafiki, na jamaa zao kutokana na huu ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mayalla naomba tupe mrejesho wa Yale mabilioni yaliyochangwa maana huku uswahilini hatujaona unyunyuziaji sawa wa maana zaidi ya watembea kwa mguu na vitangi vya mgongoni ambavyo hata sisi tunavyo! Tulitegemea serikali ingeweka matangi makubwa ya maji kwenye masoko, vituo vikubwa vya daladala na inao uwezo wa kugawa balakoa bure kama inavyoweza kugawa bure vibendera vya mkononi kwenye mikutano.Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote. Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania, hivyo kama kuna yeyote mwenye uwezo wowote wa kusaidia, asaidie.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda. Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100% - JamiiForums
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Asante sana Paschal, kwa ushauri ulioshiba taarifa sahihi. Ni bahati nzuri sasa hivi kila familia imeshaelewa ubaya na madhara ya janga hili. Japo watu wanamchukia Makonda, pamoja na ushauri wake, lakini juzi katoa ushauri mzuri sana, najua wengi hawakumfuatilia kwa sababu ya chuki. Alishauri wananchi wa Dar, kila familia ifanye kikao cha dharura nyumbani kwa ajili ya ajenda moja tu(EXTRA ORDINARY FAMILY MEETING).Ili kuja na mkakati mahsusi wa kifamilia juu ya nani atoke kwenda kusaka tonge na wengine wabaki nyumbani, na kama anatoka anaepukaje mikusanyiko wakati akisaka mkate na jioni akirudi ajitathmini kama alijichanganya au la. Kama huu ushauri pekee ukifanyiwa kazi naamini vita tutashinda na lawama hazitakuwepo.Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote. Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania, hivyo kama kuna yeyote mwenye uwezo wowote wa kusaidia, asaidie.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda. Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100% - JamiiForums
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Hili ndilo la msingi, kusali siyo lazima tukutane kanisani kila mtu asali nyumbani kwake na familiaWanaojitambua ni wachache kuliko wasiojitambua nadhani bila kufunga kwa amri watu awatoacha kwenda madhabahuni.
Hili ndilo la msingi, kusali siyo lazima tukutane kanisani kila mtu asali nyumbani kwake na familia
Hongera Mayala. Kwa mara ya kwanza nakuona unatoa ushauri uliokwenda shule kwa serikali yetu. Nimekusikia kwa zaidi ya miaka25 lakini miaka yote nilikuona zuzu, sikuwahi kufurahia vipindi vyako wala mada zako. Lakini juzi Star tv nilifurahia ulivyotoa ushauri. Nitaanza sasa kukufuatilia, naweza pata kituWanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na tumetapakaa duniani kote. Kutokana na kutapakaa huku, Watanzania tofauti tofauti tuna uwezo tofauti na exposure tofauti kutokana na experiences tofauti tofauti ya huku tulipo, lakini bado tunawajibu wa kuelekeza uzalendo wetu kwa nchi yetu, Tanzania yetu au Mama Tanzania, hivyo kama kuna yeyote mwenye uwezo wowote wa kusaidia, asaidie.
As the Corona situation ya maambukizi ya local transmissions is escalating, nimenote huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi yetu tumeanza kunyoosheana vidole vya kulaumu, kuwa hatukufanya hiki au kile ndio maana maambukizi yamefikia kiwango hiki.
Tangu kuibuka kwa janga hili la Corona Mwezi December mwaka jana, kila nchi ilichukua hatua za kuzuia na kujiandaa kukabiliana nayo ki vyake vyake. Sisi Tanzania pia kupitia serikali yetu nasi tulichukua hatua kivyetu. Ziko nchi za jirani zetu wao waliamua kuchukua hatua zao kwa copy and paste ya nchi nyingine walichofanya ikiwemo hatua ya lockdown, Tanzania tukaamua hatuigi, hakuna lockdown na rais wetu Magufuli kutuondoa wasiwasi kwa kusema Tusitishane, na kutuhimiza Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu na kusema haka ka Corona ni ka ugonjwa kadogo, ni kashetani, tuka mkabidhi Mungu, na kwenye Mungu akatenda. Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100% - JamiiForums
Mwanzoni Mungu ametenda na mpaka sasa anaendelea kutenda, jana tumemaliza siku 3 za maombi ya kitaifa dhidi ya janga la Corona, hivyo tunamuomba Mungu huku tunajisaidia.
Kufuatia kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya Corona, huku kwenye mitandao ya kijamii, tunaanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuwa Corona inasambaa kwasababu hatukufanya abcd.
Hii ni mifano
Mkuu Nguruvi3 at this juncture, lets stand as one kusaidia. Je, Watanzania wenye uwezo wa kusaidia, jee tuisaidiaje serikali yetu ili ishindindwe?.
Kwa vile sasa ni April na umma haupukutiki bali unaambukizwa, na kwa vile umeishajua kuwa mwezi May umma utapukutuka, hivyo unashauri tujiandae kuona umma unavyopukutika!, kwanini usisaidie kuzuia umma wa Watanzania usipukutike?
Usaidizi huo, sio lazima uwe kama ule wa Rostam Aziz or Mo Dewji, bali hata kwa kuandika tuu humu jf na vyombo vyetu vya maamuzi watasoma na kufanya uamuzi wafuate au waache, ili itakapofika hiyo May, tutakapo anza kuona na kushuhudia jinsi watu wanavyopukutika, angalau tutasema, tuliona kabla, tukaonya, tukashauri, tukapuuzwa na sasa haya ndio matokeo.
Kwenye situation hii tuliofikia, swali langu hili
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Mkuu Retired, if you can help, just help out, kama una ushauri mzuri wa jinsi ya kusaidia, wewe toa tuu huo ushauri, sasa issue ya kama ushauri wako utapokelewa utakubaliwa au utafanyiwa kazi au laa, hili sio letu, hili ni la ngazi za maamuzi, whether ushauri wako utatekelezwa au utapuuzwa, hili sio lako, wewe utakuwa umetimiza wajibu wako na huu ndio uzalendo wako kwa nchi yako.
Hitimisho
Nimalizie kwa kutoa wito, janga la Corona ni janga letu sote sisi Watanzania, haijalishi uko wapi na unaishi nchi gani, as long as wewe ni Mtanzania, hata kama umejilipua, lakini kwenu ni Tanzania, una wajibu wa kuisaidia nchi yako kwenye nyakati kama hizi. Huu sio wakati wa kulaumiana na kunyoosheane vidole vya we didn't do this and that, huu ni wakati wa kusimama pamoja, kushikamana na kusaidiani, kama unaweza kusaidia kwa lolote, chochote, hali na mali au hata ushauri tuu to help out the situation, please just do!, usisubiri uombwe, msaada na yeyote. Jitokeze tuu saidia!. Vinginevyo...Nyamaza!
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Mkuu walio wengi wanaipenda nchi yaoWanabodi,