Alafu utadai hauna uhuru wa kuongea ktk nchi hii.Pascal Mayalla sitanyamaza maana hii nchi ni yangu na wewe. Hana hati miliki ya nchi hii.
Wanabodi,
Vinginevyo...Nyamaza!
...
Paskali
Mpo vitani, mmechapika haswa na hakuna dalili yoyote ya kushinda. Mnamshauri mkuu wa kikosi m-retreat hataki anachosisitiza ni kusonga mbele tuu.Dah!....inatakiwa tupambane kwanza na hao Simba na sio kunyoosheana vidole.
Hili povu si bureYaani kwa kadhaa mmekuwa mkitetea upumbavu... ndiyo, UPUMBAVU halafu mnasema tusinyoosheani vidole?!
Ni upumbavu kwa sababu mtu ukielimishwa kwamba 1+1 = 2 halafu bado mtu akawa anang'ang'ania kwamba ni 11, mtu kama huyo ni mpumbavu tu na si vinginevyo!
Kama ambavyo misukule ya Lumumba ilivyokuwa inanyoonshea watu vidole kuhusu mkopo wa World Bank, ndivyo ambavyo katu hatutaacha kuwanyooshea vidole wote mliokuwa mnatetea upumbavu ambao hatimae ndio umetufikisha hapa!
Mlikuwa mnapiga vigelegele kwamba ni kweli kuzuia international flights kutaharibu biashara ya utalii halafu bado mnataka tusiwanyooshee vidole?!
Kila mwenye akili alifahamu kabisa njia nyepesi ya kukabiliana na corona ni kuzuia watalii na ndege kutoka nje kuingia nchini lakini kwa makusudi mkaamua kum-support Magufuli huku hakuna cha maana kinachowakumuma zaidi ya siasa za kipumbavu na ukabila manake kuna baadhi ya Wasukumu wanachukulia urais wa Magufuli ni kama urais wa Wasukuma wote na kwahiyo wana wajibu wa kuulinda kwa nguvu zote, pamoja na mambo mengine kuunga mkono na kutetea kila kinachosemwa na kufanywa Msukuma mwenzenu... SHAME ON Y'ALL!!
Katika ku-justify unabii wa kitapeli wa Magufuli mara kwa mara mmemkuwa mki-justify kwa hoja ya lockdown wakati kuna mambo mengi ya kipumbavu bado yanaendelea na bado mnayaunga mkono halafu mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Mlikuwa mnamsifia Magu kwamba ni kiongozi wa mfano ktk kupambana na coronavirus wakati kila mwenye akili timamu alifahamu Magu alikuwa anacheza na moto jirani na petrol halafu leo mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Nafikiri kama waafrika sio jambo jema kufanya mzaha pale mtu anapokuwa amefariki. Haileti picha nzuri ni kama umefurahi huyu mama kufariki.Mwambie ampigie simu Rwakatare pale Mlima wa Moto!
Usa walizuia ndege yoyote kuingia chini kwao. Lakini mpaka sasa kuna vifo zaidi ya vifo elfu 40+. Yaliyopita tuachane nayo. Sasa maambukizi yameongezeka huwezi jua yaliletwa kupitia airports au njia za panya za mipakani. Kwa hiyo jambo la msingi ni kupambana na hili janga kama taifa na kuweka lawama kando.Yaani kwa kadhaa mmekuwa mkitetea upumbavu... ndiyo, UPUMBAVU halafu mnasema tusinyoosheani vidole?!
Ni upumbavu kwa sababu mtu ukielimishwa kwamba 1+1 = 2 halafu bado mtu akawa anang'ang'ania kwamba ni 11, mtu kama huyo ni mpumbavu tu na si vinginevyo!
Kama ambavyo misukule ya Lumumba ilivyokuwa inanyoonshea watu vidole kuhusu mkopo wa World Bank, ndivyo ambavyo katu hatutaacha kuwanyooshea vidole wote mliokuwa mnatetea upumbavu ambao hatimae ndio umetufikisha hapa!
Mlikuwa mnapiga vigelegele kwamba ni kweli kuzuia international flights kutaharibu biashara ya utalii halafu bado mnataka tusiwanyooshee vidole?!
Kila mwenye akili alifahamu kabisa njia nyepesi ya kukabiliana na corona ni kuzuia watalii na ndege kutoka nje kuingia nchini lakini kwa makusudi mkaamua kum-support Magufuli huku hakuna cha maana kinachowakumuma zaidi ya siasa za kipumbavu na ukabila manake kuna baadhi ya Wasukumu wanachukulia urais wa Magufuli ni kama urais wa Wasukuma wote na kwahiyo wana wajibu wa kuulinda kwa nguvu zote, pamoja na mambo mengine kuunga mkono na kutetea kila kinachosemwa na kufanywa Msukuma mwenzenu... SHAME ON Y'ALL!!
Katika ku-justify unabii wa kitapeli wa Magufuli mara kwa mara mmemkuwa mki-justify kwa hoja ya lockdown wakati kuna mambo mengi ya kipumbavu bado yanaendelea na bado mnayaunga mkono halafu mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Mlikuwa mnamsifia Magu kwamba ni kiongozi wa mfano ktk kupambana na coronavirus wakati kila mwenye akili timamu alifahamu Magu alikuwa anacheza na moto jirani na petrol halafu leo mnasema tusiwanyooshee vidole?!
Uko sahihi mkuu. Ushauri unatolewa, kebehi zinajibu. wengine wanapongeza ujinga. Hapa ni ukweli tu. Hakuna kuoneana hayaPascal Mayalla , mimi narudia, huwezi kusaidia mtu ambaye for sure 100% hasikilizi la mtu. Tunachoweza kufanya ni kumlaumu na kukusanya tuhuma zetu for future reference na kumwajibisha mtu aweye yoyote kwenye hili janga la Corona! Uttachaje upinzani kwenye ishu kama hii, angalau Waziri Kivuli wa Upinzani...