Chanjo ni kitu universal sasa ivi serekali ina kuhadaa ni hiari ila itafika kipindi utakosa huduma za jamii bila chanjo ndio uta jua haujui. Ni kama mama mjamzito kupima ukimwi sasa ivi ni lazima tena uje na mwenza
Mkuu na hiyo fomu umeiona ya kujaza kabla hujachanjwa!?, Kwamba serikali haihusiki na madhara yatayokukuta ukiathiriwa na chanjo!?.. na kuna mtu mwenye akili timamu atachanjwa hizo chanjo za grade ya chini zinazogawiwa bure !??.. halafu hakuna nchi wanayolazimisha chanjo kwa wananchi wake.

Consert form karibia zote ndio zilivo, ila trust me kuna vitu vingi vyenye madhara unakula bila hata iyo consert. Alafu desperate times needs desperate measures
Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu). Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa: "Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya...
www.jamiiforums.com
Tumetwanga sana maji kwenye kinu. Ni wazi kuwa we have some politics to fix:
Tatizo lako kubwa unataka uone ushauri wako kama ndiyo uko sahihi kuliko ushauri wa wengine hapa.
Usiite mtu zuzu au msukule sababu hata hayo unayo yashauri hapa huna uhakika nayo badala yake unataka tufanane na wengine kitu ambacho hakiwezekani.
Najiuliza kama chanjo ina fanya kazi effectively kwa nini mahala ambapo wametoa vifo ni vingi sana? Nikiangalia Tanzania vifo navisoma tu humu JF lakini mtaani hakuna hali ya kutisha namna hiyo.
Jibu watu vizuri usijione au usione mawazo yako ni sahihi kiasi hicho. Mawazo ya wachangiaji wote yaheshimiwe inawezekana wao ndiyo wako sahihi.
Huyu K.enge analipwa na watu kuhimiza Corona Tanzania. Tangu May - 2020 alikomaa tuwekwe lockdown ilipofika kipindi cha kampeni akapoa akawa anamshabikia Lissu. Kilipoisha akaanza tena, hawezi kumaliza siku bila kuleta threads za CORONA. Ni Kama mgonjwa wa akili. Nadhani ana matatizo ya kisaikolojia. Anachotamani hakiwezekani watanzania walishaondolewa hofu ya Corona ndo maana uvaaji wa barakoa umeshindikana. Na hayo machanjo watachanjana wenyewe. Uswahilini kote wanaamini chanjo zinaharibu kizazi mtu mweusi asizae tena. Nakuhakikishia hakuna mtu wa hali ya chini utamshawishi chanjo. Chanjo zenyewe ni bure, zile zinazotolewa na wahisani. Pengine hazijulikani jina gan
Bila shaka una maana hata wale vigogo wakiwamo mwendazake, Maalim Seif, yule katibu mkuu mwenye madaraja, yule bingwa wa madaraja, Mawaziri kadhaa, wabunge nk watakuwa waliukaimu uhai wao kwa majirani.
Bila sote kujikinga hayupo aliye salama na hasa tunapokuwa hatujachanjwa kama hivi tuliyo sasa na labda hadi Desemba.
Huyu K.enge analipwa na watu kuhimiza Corona Tanzania. Tangu May - 2020 alikomaa tuwekwe lockdown ilipofika kipindi cha kampeni akapoa akawa anamshabikia Lissu. Kilipoisha akaanza tena, hawezi kumaliza siku bila kuleta threads za CORONA. Ni Kama mgonjwa wa akili. Nadhani ana matatizo ya kisaikolojia. Anachotamani hakiwezekani watanzania walishaondolewa hofu ya Corona ndo maana uvaaji wa barakoa umeshindikana. Na hayo machanjo watachanjana wenyewe. Uswahilini kote wanaamini chanjo zinaharibu kizazi mtu mweusi asizae tena. Nakuhakikishia hakuna mtu wa hali ya chini utamshawishi chanjo. Chanjo zenyewe ni bure, zile zinazotolewa na wahisani. Pengine hazijulikani jina gani.
Tatizo lako kubwa unataka uone ushauri wako kama ndiyo uko sahihi kuliko ushauri wa wengine hapa.
Usiite mtu zuzu au msukule sababu hata hayo unayo yashauri hapa huna uhakika nayo badala yake unataka tufanane na wengine kitu ambacho hakiwezekani.
Najiuliza kama chanjo ina fanya kazi effectively kwa nini mahala ambapo wametoa vifo ni vingi sana? Nikiangalia Tanzania vifo navisoma tu humu JF lakini mtaani hakuna hali ya kutisha namna hiyo.
Jibu watu vizuri usijione au usione mawazo yako ni sahihi kiasi hicho. Mawazo ya wachangiaji wote yaheshimiwe inawezekana wao ndiyo wako sahihi.
Watanzania ni wabishi sana,wanatumia mda mwingi kukebehi na kupinga chochote kunachohusu corona.Wengi hawataki kujifunza chochote kuhusu huu ugonjwa,matokeo yake wengi wana information mbovu wakifikiri ni sahihi.
Cha kusikitisha ni kuwa huu ugonjwa hauna dawa na hatujui utaondoka lini,watu wanavyochelewa kuelewa huu ugonjwa ndio watu watakavyoathirika kwa wingi tuombe Mungu mambo yasiwe mabaya.
Watanzania ni wabishi sana,wanatumia mda mwingi kukebehi na kupinga chochote kunachohusu corona.Wengi hawataki kujifunza chochote kuhusu huu ugonjwa,matokeo yake wengi wana information mbovu wakifikiri ni sahihi.
Cha kusikitisha ni kuwa huu ugonjwa hauna dawa na hatujui utaondoka lini,watu wanavyochelewa kuelewa huu ugonjwa ndio watu watakavyoathirika kwa wingi tuombe Mungu mambo yasiwe mabaya.
Bila shaka una maana hata wale vigogo wakiwamo mwendazake, Maalim Seif, yule katibu mkuu mwenye madaraja, yule bingwa wa madaraja, Mawaziri kadhaa, wabunge nk watakuwa waliukaimu uhai wao kwa majirani.
Bila sote kujikinga hayupo aliye salama na hasa tunapokuwa hatujachanjwa kama hivi tuliyo sasa na labda hadi Desemba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.