#COVID19 Corona: Ushauri wa Bure kwa Wizara ya Afya na Serikali

Chanjo ni kitu universal sasa ivi serekali ina kuhadaa ni hiari ila itafika kipindi utakosa huduma za jamii bila chanjo ndio uta jua haujui. Ni kama mama mjamzito kupima ukimwi sasa ivi ni lazima tena uje na mwenza
Mkuu na hiyo fomu umeiona ya kujaza kabla hujachanjwa!?, Kwamba serikali haihusiki na madhara yatayokukuta ukiathiriwa na chanjo!?.. na kuna mtu mwenye akili timamu atachanjwa hizo chanjo za grade ya chini zinazogawiwa bure !??.. halafu hakuna nchi wanayolazimisha chanjo kwa wananchi wake.
 
Consert form karibia zote ndio zilivo, ila trust me kuna vitu vingi vyenye madhara unakula bila hata iyo consert. Alafu desperate times needs desperate measures
 
Tatizo lako kubwa unataka uone ushauri wako kama ndiyo uko sahihi kuliko ushauri wa wengine hapa.
Usiite mtu zuzu au msukule sababu hata hayo unayo yashauri hapa huna uhakika nayo badala yake unataka tufanane na wengine kitu ambacho hakiwezekani.
Najiuliza kama chanjo ina fanya kazi effectively kwa nini mahala ambapo wametoa vifo ni vingi sana? Nikiangalia Tanzania vifo navisoma tu humu JF lakini mtaani hakuna hali ya kutisha namna hiyo.
Jibu watu vizuri usijione au usione mawazo yako ni sahihi kiasi hicho. Mawazo ya wachangiaji wote yaheshimiwe inawezekana wao ndiyo wako sahihi.
 
Lengo la dunia ni wote tufikie herd immunity nakumbuka wana chukua mpaka gps code waki suspect polio au surua etc
 
Ili kuwafurahisha watoa pesa utasikia Watanzania wagombania chanjo,kumbe kundi la wahuni wamepewa mshiko.
 
Uhai wako ulinde wewe kama wewe ukitegemea majirani na marafiki utaupoteza tu.

Bila shaka una maana hata wale vigogo wakiwamo mwendazake, Maalim Seif, yule katibu mkuu mwenye madaraja, yule bingwa wa madaraja, Mawaziri kadhaa, wabunge nk watakuwa waliukaimu uhai wao kwa majirani.

Bila sote kujikinga hayupo aliye salama na hasa tunapokuwa hatujachanjwa kama hivi tuliyo sasa na labda hadi Desemba.
 

Ngoja tu fix katiba kwanza watu kama nyie ni wastage of time kupoteza muda nanyi.
 
Ili kuwafurahisha watoa pesa utasikia Watanzania wagombania chanjo,kumbe kundi la wahuni wamepewa mshiko.
Kwa vile wewe unanunuliwa kwa pesa kama changudoa tu usidhani hilo ni kila mtu.

Ngoja tu fix katiba mpya kwanza kupoteza muda na wajinga si option tena.
 

1 + 1 = 2 (base 10) bila kujali wapumbavu wangapi wanasema ni 5. Sayansi haiendi kwa kura.

Ndiyo maana katiba mpya ni muhimu sana. Maisha ya watu hayawezi kuachwa kupotea hivi.

Nilisha kukwambia unasomeka pia:

 
Watanzania ni wabishi sana,wanatumia mda mwingi kukebehi na kupinga chochote kunachohusu corona.Wengi hawataki kujifunza chochote kuhusu huu ugonjwa,matokeo yake wengi wana information mbovu wakifikiri ni sahihi.
Cha kusikitisha ni kuwa huu ugonjwa hauna dawa na hatujui utaondoka lini,watu wanavyochelewa kuelewa huu ugonjwa ndio watu watakavyoathirika kwa wingi tuombe Mungu mambo yasiwe mabaya.
 

Kwa hali iliyopo ninajua binafsi nafasi ya ku-survive dhidi ya Corona ni ndogo sana. Ila angalau nilifanya sehemu yangu. "For that I am happy."

Kwenye mada unapaona hapa:



Chimbuko la hapo juu kwenye blue ni hapa chini palipoonyeshwa sasa kwenye red:



Panataka jitihada haswa kuwabadili wajinga waliopotoshwa na rais wa nchi aliyejitanabaisha kuwa ni wa wanyonge.
 
Nashangaa sana watz kama walilogwa na mwendazake,yani hawaelewi kitu kabisa inapohusu kuchukua tahadhari.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…