steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Pia hiiBaada ya kukitafuta saana hatimae kitabu nimekipata baadhi ya maandiko haya hapaView attachment 1412025View attachment 1412026
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujinga huu ndio maana watsap wamelimit message za kuforwardBaada ya kukitafuta saana hatimae kitabu nimekipata baadhi ya maandiko haya ambapo kitabu kimetabiri corona itapotea hapaView attachment 1412025View attachment 1412026
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hii covid 19 ni mwisho wa dunia?
Hawakosi sababu hawa.Dunia isipofikia mwisho sijui mtatueleza nini.
Kma alitabil utafik ugonjw na umefik Sasa unabisha Nini kma cyo kujifarijKwa ujinga huu ndio maana watsap wamelimit message za kuforward
Hahaa kwahiyo mkuu hujazaa kabisa? Hiyo ole sijui itafika lini tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefik ndio nini ?Kma alitabil utafik ugonjw na umefik Sasa unabisha Nini kma cyo kujifarij
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli unacho hicho kitabu,hebu funua ukurasa wa 50 then andika jina lako la ki-JF (Steven_Shemeji) kwa kalamu ya wino tuthibitishe kweli kitabu hicho unacho mkononi na sio picha za ku-download mtandaoni.
Hata mimi nipo hapa nasubiri afanye hivyo.Kama kweli unacho hicho kitabu,hebu funua ukurasa wa 50 then andika jina lako la ki-JF (Steven_Shemeji) kwa kalamu ya wino tuthibitishe kweli kitabu hicho unacho mkononi na sio picha za ku-download mtandaoni.