Itazame tu...taratibu..kuna vitu vinaongelewa ni iwe kweli au si kweli ila kuna vitu vingi vya kujua.Mkuu nina series ya Fringe miaka zaidi ya 8 sijamaliza kuiangalia, nilicheki episode 6 tu nikaacha.
Ngoja nianze tena leo.
Hata kifo cha Kobe brynt kilitabiriwa kupitia cartoonMKUU KILA JAMBO KATIKA DUNIA HII LIKO PLANNED TOKA KWA WANAOIENDESHA DUNIA
Mkuu hebu taja ni pages namba zipi hayo maelezo unayoyatoa yanakopatikana maana Mimi natafuta hata sioni hizo pages zenye hayo maelezo unayoyatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo usomi sasa,siyo watu wa nakuja na mahitimisho yao vichwani kuaminisha watu,k u predict mambo ya Dunia wakati mwingine ni rahisi sana-population ya Dunia inavyokuwa Kwa haraka pia ni rahisi kupredict ukubwa wa usambaaji wa ugonjwaHiyo ni genuine page ya hicho kitabu. Nilichoelewa ni kwamba version ya 1981 ya hicho kitabu jina original lilikua ni Gorki-400. Ila version ya 2008 ya hicho kitabu ndio walibadili wakaweka wuhan-400 ingawa prediction ya kitabu haiendi sawa na mashambulizi ya virus huyu kama ulivyoeleza hapo.View attachment 1363510View attachment 1363513
Come with logical facts to prove your argument otherwise ni kupoteza muda,hiyo predictions ya kitabu it was merely fiction,hata maandiko yalitabiri watu kufa sana siku za mwishoni,unajuaje kama walitumia hv kitabu kama materials kufanya predictions?Au ni factor gan walizitumia kusema hayo?how sure are you kwamba mwandishi aliizungumzia corona specifically and not may be ebola?Ficha Ujinga ..penda kufuatilia Mambo kwa Utulivu.Tafuta hicho kitabu.
logical facts to prove your argument otherwise yako ipo wapi? Zaidi umezidi kuandika upumbavu tu hapo.Sikumwekea Kitabu hapo..Unaelewa hata kinachojadiliwa?Au pia umeandika ili uonekane kama unajua.Ficha Upumbavu wako..iwe fiction au isiwe watu wanafananisha vitu kwa maana ya kujifunza.Come with logical facts to prove your argument otherwise ni kupoteza muda,hiyo predictions ya kitabu it was merely fiction,hata maandiko yalitabiri watu kufa sana siku za mwishoni,unajuaje kama walitumia hv kitabu kama materials kufanya predictions?Au ni factor gan walizitumia kusema hayo?how sure are you kwamba mwandishi aliizungumzia corona specifically and not may be ebola?
Wewe jamaa unapayuka tu kama umelamba ndimu za moto..Hamna kitabu kilichoandika hayo mkuu...propaganda za westerners hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwaCome with logical facts to prove your argument otherwise ni kupoteza muda,hiyo predictions ya kitabu it was merely fiction,hata maandiko yalitabiri watu kufa sana siku za mwishoni,unajuaje kama walitumia hv kitabu kama materials kufanya predictions?Au ni factor gan walizitumia kusema hayo?how sure are you kwamba mwandishi aliizungumzia corona specifically and not may be ebola?
Hicho ndicho nilichowaza kwa maana hiyo inaweza ikawa sio prediction bali ni coincidence tu. Waliweka Wuhan na ghafla Wuhan ikatokea huo mlipuko.Hata kuuita Wuhan-400 mwaka 2008 bado inafikirisha.
Inaonyesha version ya 2008 waliamua waweke China kwa sababu kwa wakati huo Soviet ishaanguka kwa hiyo ilibidi watafute Taifa jingine lenye nguvu ya kuichallenge marekani ili Novel iweze kunoga
Kuna watu wajuaji wasiojua hata kuelewa mambo.Tunajifunza mambo mengi kupitia vitu tunavyoviona na kusikia hata kama si vya kweli.Hata visivyo vya kweli ndio hufanya kweli iwe na Nguvu Daima.Kuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwa
Brother!you deserve better than this! "Ni heri mjinga anayejielewa kuliko mpumbavu asiyeutambua upumbavu wake" Think this statement critically in reference to your life,hoja hujibiwa Kwa hoja makini na ulichojibu unaonyesha walakini kwenye fikra zakological facts to prove your argument otherwise yako ipo wapi? Zaidi umezidi kuandika upumbavu tu hapo.Sikumwekea Kitabu hapo..Unaelewa hata kinachojadiliwa?Au pia umeandika ili uonekane kama unajua.Ficha Upumbavu wako..iwe fiction au isiwe watu wanafananisha vitu kwa maana ya kujifunza.
Kama umeshindwa tu kuelewa kitu kidogo kama hicho hutoelewa nitakalokueleza.Kaa kimya....