Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Kweli kitabu ni cha 1981 But With all due respect... Hiyo page ya kwanza ya mtoa post ya kuhusu prediction za 2020 italipuka sijui nini...its fake nimesoma kitabu hiyo page haipo ni wadau wameongezea yao.
Tukija kwenye ile page ya wuhan-400 na Chinese scientist li chen...ile wuhan400 haipo kwenye original version ya kitabu...original ugonjwa aliuita Gorki-400

Kuhusu hiyo wuhan400 na corona ni vitu viwili tofauti kwasababu
1.wuhan400 ina fatality rate ya 100% while corona ina fatality rate ya 2%

2.Wuhan inamfanya host awe infectious baada ya masaa matatu au manne lakini corona COVID-19 inakaa hadi siku 7-14

3.Wuhan400 mtu anakufa within 24hr while COVID-19 wanakaa hadi mwezi wengine wanapona

4.Wuhan400 imetengenezwa lab na haikai nje ya binadam zaidi ya dakk 1 lakin covid19 imetoka kwa popo
 
Mkuu nina series ya Fringe miaka zaidi ya 8 sijamaliza kuiangalia, nilicheki episode 6 tu nikaacha.
Ngoja nianze tena leo.
Itazame tu...taratibu..kuna vitu vinaongelewa ni iwe kweli au si kweli ila kuna vitu vingi vya kujua.
 
Half of what we have been fed are lies. Mambo mengi yamepangwa katika uso wa dunia hata kama kuhusu hili linaweza lisiwe na ithibati yeyote.

Kikubwa tumia uwezo wako ulionao kuendesha maisha, na siku zote usishindwe kutafakari kabla ya kutia vitu katika ufahamu wako.

Utaweza kuizi maisha na kuyaenenda.
 
Mkuu hebu taja ni pages namba zipi hayo maelezo unayoyatoa yanakopatikana maana Mimi natafuta hata sioni hizo pages zenye hayo maelezo unayoyatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2020-02-19-22-43-54-1.jpeg
Screenshot_2020-02-19-22-45-53-1.jpeg
 
Shushia Maandazi, Hiyo ni genuine page ya hicho kitabu. Nilichoelewa ni kwamba version ya 1981 ya hicho kitabu jina original lilikua ni Gorki-400. Ila version ya 2008 ya hicho kitabu ndio walibadili wakaweka wuhan-400 ingawa prediction ya kitabu haiendi sawa na mashambulizi ya virus huyu kama ulivyoeleza hapo.
Screenshot_2020-02-19-23-02-14-1.jpeg
Screenshot_2020-02-19-23-14-49-1.jpeg
 
Hiyo ni genuine page ya hicho kitabu. Nilichoelewa ni kwamba version ya 1981 ya hicho kitabu jina original lilikua ni Gorki-400. Ila version ya 2008 ya hicho kitabu ndio walibadili wakaweka wuhan-400 ingawa prediction ya kitabu haiendi sawa na mashambulizi ya virus huyu kama ulivyoeleza hapo.View attachment 1363510View attachment 1363513
Huu ndo usomi sasa,siyo watu wa nakuja na mahitimisho yao vichwani kuaminisha watu,k u predict mambo ya Dunia wakati mwingine ni rahisi sana-population ya Dunia inavyokuwa Kwa haraka pia ni rahisi kupredict ukubwa wa usambaaji wa ugonjwa
 
Ficha Ujinga ..penda kufuatilia Mambo kwa Utulivu.Tafuta hicho kitabu.
Come with logical facts to prove your argument otherwise ni kupoteza muda,hiyo predictions ya kitabu it was merely fiction,hata maandiko yalitabiri watu kufa sana siku za mwishoni,unajuaje kama walitumia hv kitabu kama materials kufanya predictions?Au ni factor gan walizitumia kusema hayo?how sure are you kwamba mwandishi aliizungumzia corona specifically and not may be ebola?
 
logical facts to prove your argument otherwise yako ipo wapi? Zaidi umezidi kuandika upumbavu tu hapo.Sikumwekea Kitabu hapo..Unaelewa hata kinachojadiliwa?Au pia umeandika ili uonekane kama unajua.Ficha Upumbavu wako..iwe fiction au isiwe watu wanafananisha vitu kwa maana ya kujifunza.

Kama umeshindwa tu kuelewa kitu kidogo kama hicho hutoelewa nitakalokueleza.Kaa kimya....
 
adrenaline,
Asante sana kwa hili angalizo muhimu. Ila tatizo naliona liko katika ukosefu wa watu kutokuwa na wakati wa kutafuta habari zaidi. Juzi nilikuwa namsikiliza Dr. Mensah Ottabil, Ghanaian amesisitiza sana umuhimu wa kujisomea vitabu na kutaka habari kwa kina ili kuepukana na ulishwaji wa matango pori
 
Come with logical facts to prove your argument otherwise ni kupoteza muda,hiyo predictions ya kitabu it was merely fiction,hata maandiko yalitabiri watu kufa sana siku za mwishoni,unajuaje kama walitumia hv kitabu kama materials kufanya predictions?Au ni factor gan walizitumia kusema hayo?how sure are you kwamba mwandishi aliizungumzia corona specifically and not may be ebola?
Kuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwa
 
Hata kuuita Wuhan-400 mwaka 2008 bado inafikirisha.

Inaonyesha version ya 2008 waliamua waweke China kwa sababu kwa wakati huo Soviet ishaanguka kwa hiyo ilibidi watafute Taifa jingine lenye nguvu ya kuichallenge marekani ili Novel iweze kunoga
Hicho ndicho nilichowaza kwa maana hiyo inaweza ikawa sio prediction bali ni coincidence tu. Waliweka Wuhan na ghafla Wuhan ikatokea huo mlipuko.
 
Kuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwa
Kuna watu wajuaji wasiojua hata kuelewa mambo.Tunajifunza mambo mengi kupitia vitu tunavyoviona na kusikia hata kama si vya kweli.Hata visivyo vya kweli ndio hufanya kweli iwe na Nguvu Daima.

Tunapata shida sana Mitaani na watu wa namna yake.Hawa ndio wanakaa kwenye nafasi nyeti kazi ni kubisha kwa kisingizo cha Logical facts..mwisho wa siku tatizo linakuwa kubwa ndio mtu anaamka na kusema ooh sikujua kama Madhara yangekuwa makubwa hivyo.

Hupenda kupuuzia pasipo kufuatilia na kujifunzaa mambo kwa uangalifu na kutumia Akili.
Hapo naona hata maana nzima ya Logical facts haielewi.Ila ameandika tu..
 
logical facts to prove your argument otherwise yako ipo wapi? Zaidi umezidi kuandika upumbavu tu hapo.Sikumwekea Kitabu hapo..Unaelewa hata kinachojadiliwa?Au pia umeandika ili uonekane kama unajua.Ficha Upumbavu wako..iwe fiction au isiwe watu wanafananisha vitu kwa maana ya kujifunza.

Kama umeshindwa tu kuelewa kitu kidogo kama hicho hutoelewa nitakalokueleza.Kaa kimya....
Brother!you deserve better than this! "Ni heri mjinga anayejielewa kuliko mpumbavu asiyeutambua upumbavu wake" Think this statement critically in reference to your life,hoja hujibiwa Kwa hoja makini na ulichojibu unaonyesha walakini kwenye fikra zako
 
Back
Top Bottom