adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Kama ilivyo na walakini pia kwenye fikra zako.Hukujibu hoja yoyote hapo Brother!Umeleta malalamiko.Sio hoja ya kujenga.So kwangu utabaki mpumbavu tu kama ilivyo kwa akili yako.Brother!you deserve better than this! "Ni heri mjinga anayejielewa kuliko mpumbavu asiyeutambua upumbavu wake" Think this statement critically in reference to your life,hoja hujibiwa Kwa hoja makini na ulichojibu unaonyesha walakini kwenye fikra zako
My friend;fiction has no place in real science!😂😂😂 According to some experts inadhaniwa source ni popo,na host aliyepeleka ugonjwa Kwa binadamu ni kakakuonaKuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwa
Nilikwambia think critically abt that statement kujihusu wewe;it was simple,plain and clear.kwa ujenzi wako wa hoja hata sisi vipofu hatuwezi kukubali kuongozwa na fikra kama zako.Kama ilivyo na walakini pia kwenye fikra zako.Hukujibu hoja yoyote hapo Brother!Umeleta malalamiko.Sio hoja ya kujenga.So kwangu utabaki mpumbavu tu kama ilivyo kwa akili yako.
Binafsi pia siwezi kuongozwa na fikra zako.I
Nilikwambia think critically abt that statement kujihusu wewe;it was simple,plain and clear.kwa ujenzi wako wa hoja hata sisi vipofu hatuwezi kukubali kuongozwa na fikra kama zako.
Inatia shaka sana kama wasomi kushindwa kuelewa unahisi mtu ambaye si msomi ataelewa nini?Kweli mkuu kuna LA kujifunza juu ya biological weapons, hata kama haiusiani na coronavid-19, msomi mzuri ni yule anaye fanyia kazi phenomenon kama hii
Acha ujinga biological weapon siyo lazima iwe man made kama unavyoitafsri,
Chapter 39mkuu hii ni page/chapta ya ngapi?
Lakini alitabiri muda ni 2020 na mji ni Wuhan??Hiyo ni genuine page ya hicho kitabu. Nilichoelewa ni kwamba version ya 1981 ya hicho kitabu jina original lilikua ni Gorki-400. Ila version ya 2008 ya hicho kitabu ndio walibadili wakaweka wuhan-400 ingawa prediction ya kitabu haiendi sawa na mashambulizi ya virus huyu kama ulivyoeleza hapo.View attachment 1363510View attachment 1363513
Amna sijaulizia hyo....chapta 39 si inaongelea kina tina na danny wanatoroka wako lab wanasimuliwa na dombey?Chapter 39
Some nigga with some brainsHata kuuita Wuhan-400 mwaka 2008 bado inafikirisha.
Inaonyesha version ya 2008 waliamua waweke China kwa sababu kwa wakati huo Soviet ishaanguka kwa hiyo ilibidi watafute Taifa jingine lenye nguvu ya kuichallenge marekani ili Novel iweze kunoga
Hio ya pneumonia in 2020 wamechomekea ni fakeAmna sijaulizia hyo....chapta 39 si inaongelea kina tina na danny wanatoroka wako lab wanasimuliwa na dombey?
Mi nlkuwa naulzia hiyo picha ya kwanza kabsa aloweka mtoa uzi,,,kuhusu in 2020 pneumonia like disease will....
HapanaLakini alitabiri muda ni 2020 na mji ni Wuhan??
Sijakuelewa, unaweza kuonyesha ni wapi nimetafsiri kwamba biological weapon ni lazima iwe man made?Acha ujinga biological weapon siyo lazima iwe man made kama unavyoitafsri,
Hivi adui akichukua kunguni au chawa kama akapandikiza chumbani kwako baada ya muda wakazaliana wakaleta madhara uta sema ni hiyo ni man made weapon??
Lakini alitabiri muda ni 2020 na mji ni Wuhan??
hata tungekua tunasoma yangetokea tu. kwa mfano angekua ametaja na dawa hapo tungeelewanaDunia ina mengi sana...siri nyingi sana..wachache huibuka na kutoa siri hzo kupitia vitabu
Ila shida inakuja kwa kua watu wengi hatupend kusoma vitabu
Sent using Jamii Forums mobile app