Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Baniani mbaya kiatu chake dawa!

Vikwazo vinalenga kudhoofisha urutubishaji wa uranium.
Ayatola mbumbumbu.
 
Atakuwa amesha changanyikiwa. Anakataaje msaada ambao wala hajaahidiwa kupewa?
Kama ni kweli ameitoa hiyo kauli basi atakuwa anarumbana na wananchi wake, huenda kuna shinikizo kutoka ndani kwamba akaombe msaada Marekani na yeye anawajibu kuwa hatawaomba msaada. Lwa hivyo hapo sioni kama anawajibu Marekani bali ni malumbano yao ya ndani.
 
Iran wako sahihi, kama Marekani anataka kuwasaidia aanze kwanza kwa kuwaondolea vikwazo alivyowawekea ili waweze kununua vitu sehemu nyingine ili wapambane na Korona na huo ndo msaada mkubwa kabisa unaohitajika kwa Iran.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo dingi linafikiri huo msaada unaweza kuwa ni njia ya kueneza zaidi virus. Kwa fikra zake hata ningekuwa Mimi ningekataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani wamesema wapo tayari kutoa msaada jamaa ndio kawajibu

Dunia Imekua Kiganja Kwenye Masuala Mazima Yahabari Ila Naona Bado Upo Tiro Juu Yahabari Husika

Pole sana

Sent using My COVID-19
 
Mashia sijui mnaumwaga nini, embu rudia kusoma nilichoandika na usome ulichoandika wewe tena.
Mkuu ndio maana huwa ninakudharau kwa sababu una akili za kindezi kwahiyo hapo ushia umeingiaje hapo?
Ninarudia tena kama Trump angekuwa anawapenda na kuwajari sana raia wa Iran asingekuwa anahangaika kila siku kuliwekea vikwazo taifa lao ili lidhohofike.
Yaani mtu aje akuchomee shamba lako la mahindi alafu mtu huyo huyo akuletee msaada wa mahindi?
 
huo msaada apeleke ITALY kama kweli anahuruma.. au alete kwa MASIKINI WA EAST AFRICA
 
Yaan mkuu una chekesha sana ,ebu fikiria mtu kakuchomea shamba la heka 10 la mahindi alafu mtu huyo huyo anakuletea debe moja la mahimdi eti kuwasaidia watoto wako wasife njaa hivi ukiwa ni mtu mwenye akili Timamu unaweza kulipokea hilo debe la mahindi?
Ninacho taka kumaanisha ni kwamba Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran vinavyo isababishia hasara ya mabilioni ya dora kila mwaka alafu leo eti uje kujifanya una pereka msaada wa dora milion 100?ili usaidie nn sasa?
Kama kweli marekani inawajari sana raia wa Iran basi iondoe vikwazo na isitishe kampeni na propagandanda zake chafu dhidi ya Iran.
Hata hivyo marekani ingewasaidia maswahiba wake Kwanza badara ya kuangaika na Iran.
Hata kwake hali ni mbaya sana asaidie raia wake kwanza.
 
Sio tunahitaji wanahitaji mm Sio MUAJEMI
Lakini mnahitaji msaada kwa ajili wa watu wenu.
Ila IRAN Hawahitaji Msaada Toka Kwataifa Lakinafiq Kama US kama US Wanania Yakuwasaidia Waondoe Vikwazo Kipindi Hiki Cha CORONA Tu Hata Viongozi Wa IRAN Wanasisitiza Hili

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…