Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Mkuu ndio maana huwa ninakudharau kwa sababu una akili za kindezi kwahiyo hapo ushia umeingiaje hapo?
Ninarudia tena kama Trump angekuwa anawapenda na kuwajari sana raia wa Iran asingekuwa anahangaika kila siku kuliwekea vikwazo taifa lao ili lidhohofike.
Yaani mtu aje akuchomee shamba lako la mahindi alafu mtu huyo huyo akuletee msaada wa mahindi?
Kuwajari = Kuwajali.
Kwanza unapaswa kufahamu kwanini America anaiwekea vikwazo Iran pili unapaswa kufahamu historia ya haya yote na tatu kwanini president Trump alizungumza mwezi March mapema yuko tayari kuisaidia Iran.

Ukiyajua yote hayo ukaweka ushia pembeni utakuwa mtu huru sana na pengine ukafika America siku moja!

Mwisho, Kunidharau kwako hakunipunguzii chochote wala kuongeza chochote ila ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF nakusihi uzipitie upya
 
Watu Hawanashida Na Msaada wake Akawape Mashost zake Waitaliano Wanao Anguka Kama Barafu

Sent using My COVID-19
Shida wanayo ila wanahofia huo msaada usije ukawa msala zaidi. Waitaliano wanapata kila nyenzo za kutokomeza corona lakin bado inawalamba vibaya mno. Iran upatikanaji wa nyenzo ni shida inabidi wasaidiwe but msaada kutoka US wanauhofia utawamaliza zaidi. Labda wakipewa na msaada na assad wanaweza kuuamini na kuukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.

Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.

Kumbe Iran ni masikini? Alafu una uhakika gani wameishiwa vifaa, maana ile nchi mambo yao hawatoi hadharani...may be umeipata kwa waswahili wenzio kamanda 😀 😀😀
 
Kwani Iran ni tajiri?

Kuhusu kuishiwa vifaa haihitaji kusimuliwa, kelele zao za kutaka vikwazo viondolewe ili waweze kuagiza vifaa vinathibitisha hilo.
 
Je una evidence yeyote inaonyesha Iran nchi masikini!

Pia bado hujathibitisha kama wameishiwa vifaa hivyo...ebu tuwekee huo ushahidi kamanda ili nami nipate kujua hilo!
 
Umeyapata wapi hayo mkuu yaani Iran Ana Hali mbaya kuliko Italy!!!? Mwambie Kwanza marekani wako akamsaidie mshirika wake wa NATO Kwanza ndo amgeukie Iran....
Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.

Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann asiwasaidie maswahiba zake mpaka wana kufa kama panya na anganganie kuisaidia Iran?
Eti kuwasaidia raia wa Iran angekuwa anawapenda angekuwa kila siku ana fanya kila mbinu kulidhoofisha taifa lao?
Wakina nani hao wanakufa kama panya Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Iran ni tajiri?

Kuhusu kuishiwa vifaa haihitaji kusimuliwa, kelele zao za kutaka vikwazo viondolewe ili waweze kuagiza vifaa vinathibitisha hilo.
Kuhusu kelele za Vikwazo Nadawa Haja Anza Piga Kipindi Cha Korona Alianza Muda Sana Ila Kwa Sasa Vimekua Zaidi Kutokana Nagonjwa La Mripuko

Ila nahisi Nivyema sana US Akaenda Kuwasaidia Wataliano Maana kwasasa wanapindia Kipindi Kigumu Zaidi Ya Waajemi

Sent using My COVID-19
 
Shida wanayo ila wanahofia huo msaada usije ukawa msala zaidi. Waitaliano wanapata kila nyenzo za kutokomeza corona lakin bado inawalamba vibaya mno. Iran upatikanaji wa nyenzo ni shida inabidi wasaidiwe but msaada kutoka US wanauhofia utawamaliza zaidi. Labda wakipewa na msaada na assad wanaweza kuuamini na kuukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wale wanao rambwa sana ndio wasaidiwe iran watasaidiwa ila sio na wamarekani wamarekani wao wenyewe wanataka msaada corona isha anza kuwaramba huko nao kama kumbu kumbi wana anguka tuuu

Sent using My COVID-19
 
Kuwajari = Kuwajali.
Kwanza unapaswa kufahamu kwanini America anaiwekea vikwazo Iran pili unapaswa kufahamu historia ya haya yote na tatu kwanini president Trump alizungumza mwezi March mapema yuko tayari kuisaidia Iran.

Ukiyajua yote hayo ukaweka ushia pembeni utakuwa mtu huru sana na pengine ukafika America siku moja!

Mwisho, Kunidharau kwako hakunipunguzii chochote wala kuongeza chochote ila ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF nakusihi uzipitie upya
Hakuna ama hata wewe huna sababu yamsingi nayakueleweka yakwanini jamaa wanaekewa vikwazo

wanachokitaka wao nikuwazorotesha jamaa kiuchumi ila wanapambana sana lakini wanaona jamaa bado wamekaza nawashachemka tena maana hawatakaa waweze tena milele

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo nilishahisi wewe ni muajemi.
nimecheka kwasauti kubwa mpaka watu wakaniona kituko asee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji144]

Sent using My COVID-19
 
Je una evidence yeyote inaonyesha Iran nchi masikini!

Pia bado hujathibitisha kama wameishiwa vifaa hivyo...ebu tuwekee huo ushahidi kamanda ili nami nipate kujua hilo!
Wameishiwa hao, ndiyo maana wanataka vikwazo viondolewe acha ubishi.
 
Back
Top Bottom