Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

Kama sio mshindani wake vikwazo anavyomuekea vyakazi gan ?! IRAN Mshindani Wamarekani kwakila Nyanja Kisiasa Kijeshi Nampaka Kiuchumi Naukitaka Kufahamu Hili Hamna Hata Nyanja Moja Katika Hizi Nlizozitaja Ambazo US Hajamuekea Vikwazo IRAN

IRAN Anavikwazo Vyakutoka Marekani Vyakisiasa Vyakijeshi Nampaka Vyakiuchumi

Sent using My COVID-19
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iran ni mshindani wa US kisiasa, kiuchumi na kijeshi! [emoji23][emoji23]Kupata kichekesho kama hiki bonyeza * kitakuwa Cha kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.

Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
charity unapaswa kuanzia nyumbani.... usa wasaidie wananchi wao kwanza... Kabla ya kutaka kuyasaidia mataifa m engine... Was I take kuutumia huu ugonjwa Kama opportunity ya kuingia majasusi iran
 
Watu Hawanashida Na Msaada wake Akawape Mashost zake Waitaliano Wanao Anguka Kama Barafu

Sent using My COVID-19
Asaidie kwanza raia wake wa US kuwaongezea vitanda vya ICU maana nchi yake yahitajia vitanda 40,000 wakati yeye mtoa misaada anavyo 3,000 (elfu 3) tu.

Kashindwa hata kutengeneza hospitali za kutosha kumudu wagonjwa, anaishia kutumia mabweni, mahosteli na nyumba za wauguzi.
 
Miezi muchache iliyopita US ilijigeuza Pepo na kutangaza kuzuia Raia wa mataifa kadhaa kuingia kwao, sasa hivi maji ya Koromeo wanatangaza wanafungulia Viza kwa Mgeni toka popote pale, cha msingi awe na taaluma ya Sector ya Afya
Asaidie kwanza raia wake wa US kuwaongezea vitanda vya ICU maana nchi yake yahitajia vitanda 40,000 wakati yeye mtoa misaada anavyo 3,000 (elfu 3) tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Marekani si isaidie watu wake kwanza?

Unataka kuzima cheche kwenye nyumba ya mwenzio wakati kwako moto umeshafika kwenye linta?
 
charity unapaswa kuanzia nyumbani.... usa wasaidie wananchi wao kwanza... Kabla ya kutaka kuyasaidia mataifa m engine... Was I take kuutumia huu ugonjwa Kama opportunity ya kuingia majasusi iran
Russia wanasaidia Italy
Ujerumani wanasaidia Ufaransa
China wanasaidia nchi nyingine pamoja na kuwa wagonjwa nchini kwao
 
Russia wanasaidia Italy
Ujerumani wanasaidia Ufaransa
China wanasaidia nchi nyingine pamoja na kuwa wagonjwa nchini kwao
Hao wanao wasaidia wenziwao ambao ume wataja kesi zao zamaambukizi zipoje ukilinganisha na US Wanaojifanza Mama Huruma Wakati Kwao Kwenyeww Kwasasa Halitete... ?!

Sent using My COVID-19
 
Kwenye majanga tofauti za kisiasa ziwekwe pembeni
Russia anapeleka msaada wa madawa na madaktari Marekani, ni baada ya mazungumzo kati ya Trump, Putin na Xi
 
Kwenye majanga tofauti za kisiasa ziwekwe pembeni
Russia anapeleka msaada wa madawa na madaktari Marekani, ni baada ya mazungumzo kati ya Trump, Putin na Xi
US Washenzi Hawajui Hayo Waliwaambia Albania Cjui Taifa Gani lile Wazizuie Ndege Za RUSSIA Zilokua Zaelekea ITALY Kupeleka Msaada

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom