Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Tatizo nilishahisi wewe ni muajemi.Sio tunahitaji wanahitaji mm Sio MUAJEMI Ila IRAN Hawahitaji Msaada Toka Kwataifa Lakinafiq Kama US kama US Wanania Yakuwasaidia Waondoe Vikwazo Kipindi Hiki Cha CORONA Tu Hata Viongozi Wa IRAN Wanasisitiza Hili
Sent using My COVID-19
Duh, mambo yanazidi kuchachamaa, Mungu atusaidie, na kama ni kweli US ndio alitengeneza hii virus, yatamkuta tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nilishahisi wewe ni muajemi.
Kuwajari = Kuwajali.Mkuu ndio maana huwa ninakudharau kwa sababu una akili za kindezi kwahiyo hapo ushia umeingiaje hapo?
Ninarudia tena kama Trump angekuwa anawapenda na kuwajari sana raia wa Iran asingekuwa anahangaika kila siku kuliwekea vikwazo taifa lao ili lidhohofike.
Yaani mtu aje akuchomee shamba lako la mahindi alafu mtu huyo huyo akuletee msaada wa mahindi?
Shida wanayo ila wanahofia huo msaada usije ukawa msala zaidi. Waitaliano wanapata kila nyenzo za kutokomeza corona lakin bado inawalamba vibaya mno. Iran upatikanaji wa nyenzo ni shida inabidi wasaidiwe but msaada kutoka US wanauhofia utawamaliza zaidi. Labda wakipewa na msaada na assad wanaweza kuuamini na kuukubali.Watu Hawanashida Na Msaada wake Akawape Mashost zake Waitaliano Wanao Anguka Kama Barafu
Sent using My COVID-19
Wewe naye!, akubalije wakati Ayatollah anaona sio msaada bali anaona ni njia ya kueneza virus zaidi.Yangemfika Yashingo Asingekataa Huo Msaada Anaotaka Kupewa
Sent using My COVID-19
Italy haitaji msaada, ana kila nyezo za kupambana lakin vita imekuwa ngumu kwake.huo msaada apeleke ITALY kama kweli anahuruma.. au alete kwa MASIKINI WA EAST AFRICA
Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Kwani Iran ni tajiri?Kumbe Iran ni masikini? Alafu una uhakika gani wameishiwa vifaa, maana ile nchi mambo yao hawatoi hadharani...may be umeipata kwa waswahili wenzio kamanda 😀 😀😀
Kwani Iran ni tajiri?
Kuhusu kuishiwa vifaa haihitaji kusimuliwa, kelele zao za kutaka vikwazo viondolewe ili waweze kuagiza vifaa vinathibitisha hilo.
Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Wakina nani hao wanakufa kama panya Mkuu.Kwann asiwasaidie maswahiba zake mpaka wana kufa kama panya na anganganie kuisaidia Iran?
Eti kuwasaidia raia wa Iran angekuwa anawapenda angekuwa kila siku ana fanya kila mbinu kulidhoofisha taifa lao?
Kuhusu kelele za Vikwazo Nadawa Haja Anza Piga Kipindi Cha Korona Alianza Muda Sana Ila Kwa Sasa Vimekua Zaidi Kutokana Nagonjwa La MripukoKwani Iran ni tajiri?
Kuhusu kuishiwa vifaa haihitaji kusimuliwa, kelele zao za kutaka vikwazo viondolewe ili waweze kuagiza vifaa vinathibitisha hilo.
Akawasaidie ITALY Waajemi Wameshagoma Hawanashida Naupuuzi Wake [emoji12][emoji14][emoji12]Wewe naye!, akubalije wakati Ayatollah anaona sio msaada bali anaona ni njia ya kueneza virus zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wale wanao rambwa sana ndio wasaidiwe iran watasaidiwa ila sio na wamarekani wamarekani wao wenyewe wanataka msaada corona isha anza kuwaramba huko nao kama kumbu kumbi wana anguka tuuuShida wanayo ila wanahofia huo msaada usije ukawa msala zaidi. Waitaliano wanapata kila nyenzo za kutokomeza corona lakin bado inawalamba vibaya mno. Iran upatikanaji wa nyenzo ni shida inabidi wasaidiwe but msaada kutoka US wanauhofia utawamaliza zaidi. Labda wakipewa na msaada na assad wanaweza kuuamini na kuukubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ama hata wewe huna sababu yamsingi nayakueleweka yakwanini jamaa wanaekewa vikwazoKuwajari = Kuwajali.
Kwanza unapaswa kufahamu kwanini America anaiwekea vikwazo Iran pili unapaswa kufahamu historia ya haya yote na tatu kwanini president Trump alizungumza mwezi March mapema yuko tayari kuisaidia Iran.
Ukiyajua yote hayo ukaweka ushia pembeni utakuwa mtu huru sana na pengine ukafika America siku moja!
Mwisho, Kunidharau kwako hakunipunguzii chochote wala kuongeza chochote ila ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF nakusihi uzipitie upya
nimecheka kwasauti kubwa mpaka watu wakaniona kituko asee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji144]Tatizo nilishahisi wewe ni muajemi.
Sawa MYAHUDI kindakindaki[emoji14][emoji12]
Wameishiwa hao, ndiyo maana wanataka vikwazo viondolewe acha ubishi.Je una evidence yeyote inaonyesha Iran nchi masikini!
Pia bado hujathibitisha kama wameishiwa vifaa hivyo...ebu tuwekee huo ushahidi kamanda ili nami nipate kujua hilo!
Hali mbaya anayo sema anaficha tu.Umeyapata wapi hayo mkuu yaani Iran Ana Hali mbaya kuliko Italy!!!? Mwambie Kwanza marekani wako akamsaidie mshirika wake wa NATO Kwanza ndo amgeukie Iran....
Sent using Jamii Forums mobile app