Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Hiyo ndo lugha ya baba hanaga unafiki wa kuwabembeleza, kama hutaki uhame, tena hamia Italy watahitaji watumishi wengi.
 
Hapa ndio dini zinakuja kuonekana takataka.

Yaani nchi zinamiliki Biomedical labs, wanatengeneza magonjwa halafu mnakuja kumsingizia Mungu?

Well said mkuu, kinacho sikitisha na kukasirisha zaidi baadhi ya maabara hizo za Biomedical zimesambaa mpaka kwenye moja wapo ya Nchi ya Afrika mashariki, some former Soviet Republics, Continental Europe and UK, Latin America.

Dunia ilazimishe Taifa husika lifungilie mbali maabara hizi hatarishi - halafu wakumbuke kwamba what goes around comes around, tinkering around with Corona gnome ndio imetufikisha hapa tulipo, ujinga jinga wa wana sayansi wa Kijeshi wenye taaluma za virusi wasipo kuwa makini na tafiti zao hatarishi Dunia itakuja kuangamia na wao hawata salimika to tell the tale the mornig after, Corona virus should serve as a wakeup call.
 

Nchi gani hio ya E/Africa na malengo ya wao kua na hio Lab ni nini boss?
 
Kuonesha na sio KUONYESHA

Senti bai yuzingi tecno T301

mkuu put the silly jokes aside, corona is for real and mangufuli wont be there to rescue you, be wise to understand this. Stay safe, [emoji441] drop


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Gf
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
watu wachape kazi. hizo kazi ni zipi wakati serikali yake imefulia haina uwezo wa kuzalisha ajira?
Hata zilizokuwapo imeziuwa ili tulimie meno,sijui ni faidi IPI aipatayo mwanadamu kuwalimisha meno wenzake
 
The president of Tanzania says that "he will not shut down churches because Jesus is bigger than the coronavirus the world is facing."

According to The President of Tanzania John Magufuli, "The Church is the body of Christ, so the COVID-19 can never overpower it."

While other countries are on Lockdown and have paused all social gatherings , The President of Tanzania said his Government will not be closing down churches and mosques because the diseases are of the Devil and cannot survive while in the "Body of Christ".



This now now brings us to a number of 20 out of 17 still continuing treatment in Tanzania and 2 have healed. Tanzanian president believes that as the country they can defeat the virus by connecting themselves with God and going to churches/Mosques to pray as the Bible says "For where there is two or more gathered together in my name, There am i with them [Mathew 18:20].

 
Let the World expose our stupidity

Covid-19 is Death Penalty
 
Hii ni chumvi imeongezwa. Ile hotuba nilisikiliza yote na hakuna sehemu aliyosema haya. Hii habari ambayo ni uongo na yenye lengo ovu ilishawekwa hapa siku nyingi na tukaidharau hivyo wewe unaokoteza makombo yaliyokwisha oza
 
Andiko lako limekaa kiroho sana, madhara yake kama hili sio pigo la Mungu ni maambukizi ya kawaida tu kama ilivyo ya mafua, basi kwa ushauri wako wengi watateketea wakiendelea kukusanyika. Ila kama ni pigo la mungu ushauri wako ni mzuri
Pamoja na yote bado kufunga ibada ni jambo la busara na watanzania wavae magunia na kuanza toba.
 
UTI WA MGONGO WA PART LA KIMYA KIMYA NA WEKA GAMBE TOA GAMBE COVID-19 NJE NJE TUANDAE SHULE YA KUWAWEKA

Hapa naona kama marais wote hawakupoteza muda

JK - kilimo uti wa mgongo (wakasahau bar, kilabu, ugonjwa, nyumba nao ulikuwa uti wa mgongo kwa wengine)

Mwinyi (ruksa fanya utakavyo ili tujue uti wa mgongo wako)

Mkapa (kuplant those inspiration)

Jakaya (kilimo kwanza full kununua matrector labda saizi yatakuwa kama VX full services kila week)

Magufuli (hapa kazi tu labda watategeneza kazi)

Ajaye baibai kwa sabau ya steel mnaharibu


Fursa 2020 - JamiiForums


NANI MWENYE THAMANI KWENYE UTI WA MGONGO WA IMAGINATION NA KUPINGA KILA KITU -- COVID ITAKUWA MSAADA KUWAMULIKA NDIYO TAHADHARI YENYEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…