Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Kijana usikurupuke,quarantine ni zuio la kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine iwe kwa mnyama ambaye hana ugonjwa au anao. Ndicho kinachofanyika Italy na France. Tofauti na self isolation.
Nenda kasome post yangu ya kwanza ukiwa umetulia na utaelewa. Acha mihemuko. I was referring to mandatory quarantine on traveler's expense na sio self isolation

Kama unachanganyikwa ni hivi: Self-isolation is "the act of isolating or separating oneself from others". Hii Mandatory unawekwa kwenye zuio kwa lazima na hapa ni kawaida kwa law enforcement officers kukaa nje kuhakikisha hatoki mtu. Tumeelewana?

1584947270967.png
 
Tuisikie tu hiyo COVID-19 na hawa wagonjwa wetu tunaofanyia nao simulation lakini ikitua kweli itakuwa ni shida.

Kwa mabeberu sasa hivi kama unahisi una Corona au ni mafua ya kawaida utajua wewe na mungu wako tu hakuna kwenda kwa Dr Zahahanati wala hospitali mtafute ndugu yako wakukuletea dawa unazozijua wewe ujitibie mwenyewe hukohuko na ukijifanya mkaidi ukifika sehemu za kutoa huduma za afya wanakufurumusha urudi huko huko ulipotoka usipelekee maambukizi.

Kupiga simu hospitali mpaka uwe na temperature ya 38-40 degrees kama unauliza ndio ikoje bila ya kipimo wanakwambia utajua tu homa ni kali mwili utatoa majasho na sehemu ya kifua na mgongo vitakuwa vya moto sana.

Tena sio uende hospitali upige simu ndio wakufuate na usiwe na homa tu peke yake wakati unapiga simu hakikisha na kifua juu uwe unakohoa kama mwenye TB.

Ukifika hospitali na kwenyewe ni bahati nasibu ventilators azitoshi kwa sasa za kusaidia upumue wakiona mgonjwa aelekei kupona ananyang’anywa na kupewa mwingine na anaepewa kama mko wawili ni yule wanaedhani most likely ata pona we mwengine subiri body bag.

Serikari iache mzaha kukaa quarantine sio kama vile wanavyoishi wasafi ni kwamba kila mtu anatakiwa kuwa peke yake muda wote. Ukija huu ugonjwa tofauti na hizi sanaa za sasa patachimbika mtu anaumwa COVID 19 ata mafua tu hana.
 
Nianze kwa kusema kwamba mimi siyo mshabiki wa CCM, maana najua wazi kuwa mambo mengi yameharibiwa na CCM katika nchi yetu.

Kwa kusema hivi sina maana kwamba nachukia kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM. Yapo mambo mengi mazuri yanayofanywa na Rais Magufuli, ila yapo mambo mengi mabaya yaliyofanywa na yanayofanywa na serikali inayoongozwa na serikali ya CCM.

Kuhusu hili la kuwaambia watu waendelee kuchapa kazi na kuonyesha udogo wa corona kuliko Mungu tunayemwabudu. Watu wazima na wale waliopevuka kiimani wanajua wazi Corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa ajili ya maovu yaliyokithiri duniani, hakuna namna ya kuweza kuondoa pigo kutoka kwa Mungu kwa kujikinga tu, bali kwa kuomba toba.

Kama ushauri wa wataalamu tu ndio unaohitajika, nchi zote zilizoendelea zingekuwa zimamaliza tatizo hili mapema, kinachowasumbua ni kuwa hawajapata ufahamu wa Kiroho kwamba janga hili limetokana na kuasi Mungu, na hivyo kusababisha maafa duniani.

Njia pekee yakuondoa hili janga ni makutano ya watakatifu wanao omba toba kwa Mungu na kumtaka rehema. Acheni utoto wa kumlaumu Rais, na kutaka ibada zizuiliwe, mtu anayewaza kuzuiliwa kwa ibada ni mpagani tu.

2Mambo ya nyakati 7:13-15
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;

14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

15 Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. Kwa hiyo tujue kuwa solution ya pigo hili ni ibada na maombi ya toba. Mungu anataka watu wamrudie yeye
 
Nianze kwa kusema kwamba mimi siyo mshabiki wa ccm, maana najua wazi kuwa mambo mengi yameharibiwa na ccm katika nchi yetu. Kwa kusema hivi sina maana kwamba nachukia kila kitu kinachofanywa na serikali ya ccm. Yapo mambo mengi mazuri yanayofanywa na Rais Magufuli , ila yapo mambo mengi mabaya yaliyofanywa na yanayofanywa na serikali inayoongozwa na serikali ya ccm.Kuhusu hili la kuwaambia watu waendelee kuchapa kazi na kuonyesha udogo wa corona kuliko Mungu tunayemwabudu. Watu wazima na wale waliopevuka kiimani wanajua wazi Corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa ajili ya maovu yaliyokithiri duniani, hakun namna ya kuweza kuondoa pigo kutoka kwa Mungu kwa kujikinga tu, bali kwa kuomba toba. Kama ushauri wa wataalamu tu ndio unaohitajika, nchi zote zilizoendelea zingekuwa zimamaliza tatizo hili mapema, kinachowasumbua ni kuwa hawajapata ufahamu wa Kihoro kwamba janga hili limetokana na kuwasi Mungu, na hivyo kusababisha maafa duniani. Njia pekee yakuondoa hili janga ni makutano ya watakatifu wanao omba toba kwa Mungu na kumtaka rehema. Acheni utoto wa kumlaumu Rais, na kutaka ibada zizuiliwe, mtu anayewaza kuzuiliwa kwa ibada ni mpagani tu.

2Mambo ya nyakati 7:13-15
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;

14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

15 Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. Kwa hiyo tujue kuwa solution ya pigo hili ni ibada na maombi ya toba. Mungu anataka watu wamrudie yeye

Kaka ujue ni kosa la jinai kuelewesha watu hotuba ya rais,

Ww acha kila mtu aelewe alivyoelewa mambo mengine sio ya Kujifanya ujuaji Unaacha tu yapite
 
Kaka ujue ni kosa la jinai kuelewesha watu hotuba ya rais,

Ww acha kila mtu aelewe alivyoelewa mambo mengine sio ya Kujifanya ujuaji Unaacha tu yapite

Wewe soma vizuri my thread, halafu usiniite kaka, just comment if you don't have any comment leave it
 
Nianze kwa kusema kwamba mimi siyo mshabiki wa CCM, maana najua wazi kuwa mambo mengi yameharibiwa na CCM katika nchi yetu.

Kwa kusema hivi sina maana kwamba nachukia kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM. Yapo mambo mengi mazuri yanayofanywa na Rais Magufuli, ila yapo mambo mengi mabaya yaliyofanywa na yanayofanywa na serikali inayoongozwa na serikali ya CCM.

Kuhusu hili la kuwaambia watu waendelee kuchapa kazi na kuonyesha udogo wa corona kuliko Mungu tunayemwabudu. Watu wazima na wale waliopevuka kiimani wanajua wazi Corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa ajili ya maovu yaliyokithiri duniani, hakuna namna ya kuweza kuondoa pigo kutoka kwa Mungu kwa kujikinga tu, bali kwa kuomba toba.

Kama ushauri wa wataalamu tu ndio unaohitajika, nchi zote zilizoendelea zingekuwa zimamaliza tatizo hili mapema, kinachowasumbua ni kuwa hawajapata ufahamu wa Kiroho kwamba janga hili limetokana na kuasi Mungu, na hivyo kusababisha maafa duniani.

Njia pekee yakuondoa hili janga ni makutano ya watakatifu wanao omba toba kwa Mungu na kumtaka rehema. Acheni utoto wa kumlaumu Rais, na kutaka ibada zizuiliwe, mtu anayewaza kuzuiliwa kwa ibada ni mpagani tu.

2Mambo ya nyakati 7:13-15
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;

14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

15 Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. Kwa hiyo tujue kuwa solution ya pigo hili ni ibada na maombi ya toba. Mungu anataka watu wamrudie yeye
Mkuu najua bandiko lako hili zuri litapata wapingaji wengi Sana,

Lakini umeandika ukweli, Nami nakolezea hivi, Binadamu ameumbwa ili amwabudu aliyemuumba, na ikiwa hawezi kumwabudu aliye muumba na Kwa kuwa kusudi la mtu kuumbwa ni kumwabudu aliyemuumba, Basi ataabudu miungu ya kuchonga, ataabudu Ushirikina, ataabudu makabuli, ataamini kwenye njia panda kwamba upo msaada wa Maisha yake n.k

Hivyo, Kwa kuwa Wapo wanaomwabudu Mungu aliye hai, maombi ya watakatifu yanahitajika kuliko Wakati wowote ule

Kuna mwingine aweza kusema, Ibada zipigwe stop, kufanya hivyo ni kuinua mikono kwamba Shetani tufanye utakavyo, kama ni hivyo,ingelikuwa ni rahisi Sana Daniel kutokumwabudu Mungu kisa aliambiwa atatupwa Motoni

Je, watakatifu Wapo tayari kusalenda Lisa Mbele Yao kuna Corona???
 
Huko Jerusalem ambako jesu alizaliwa wamezuia ibada,

Italy kwenye base ya Roman catholic kote wamezuia ibada

Ww unakaa Tanzania kivuruge huko unataka watu waende kanisani, haya nendeni mkafe kwa kukosa maarifa
 
Dada umesikia mapadre 30 Italia wamekufa na walikuwa mstari wa mbele kusali na kuomba pia?

Usishauri watu vibaya. Watu wasali sana waombe sana ila lazima kuchukua hatua kuukwepa ugonjwa huu! Kwa kusali pekee hatuwezi kuushinda huu ugonjwa, acha watu wasali na wajikinge.

By the way kwani kusali ni lazima kuwe na majumuiko? Haiwezekani kusali kila mtu kwa nafsi yake na popote alipo akamlilia Mungu na kuomba msaada kwa Mungu?
 
Dada umesikia mapadre 30 Italia wamekufa na walikuwa mstari wa mbele kusali na kuomba pia?

Usishauri watu vibaya. Watu wasali sana waombe sana ila lazima kuchukua hatua kuukwepa ugonjwa huu! Kwa kusali pekee hatuwezi kuushinda huu ugonjwa, acha watu wasali na wajikinge. By the way kwani kusali ni lazima kuwe na majumuiko? Haiwezekani kusali kila mtu kwa nafsi yake na popote alipo akamlilia Mungu na kuomba msaada kwa Mungu?

Acha wajazane ujinga tu
 
Hapa ndio dini zinakuja kuonekana takataka.

Yaani nchi zinamiliki Biomedical labs, wanatengeneza magonjwa halafu mnakuja kumsingizia Mungu?
Mwenye mamlaka ya kuzuia na kuruhusu jambo lolote litokee ni Mungu kwa hiyo aliyeruhusu ni Mungu.
 
Salary Slip,
Mpaka sasa hivi kama kuna mtu anasafiri nje ya nchi amejitakia mwenyewe, Rais yuko sahihi Karantini ya siku 14 kwa gharama zake mwenyewe!

Kuzuia ibada kwa sababu ya taharuki ya wengine nje mimi sioni kama ni sahihi
Kuchukua tahadhari na maelekezo ya kutoshikana, social distancing inatosha kwa sasa.

Hizi tahadhari na maelekezo Watanzania wakizifuata huu ugonjwa utapotea wenyewe. Kwa bahati mbaya hali ikizidi kuwa mbaya ndio hata ibada itabidi zisimamishwe kwa muda
Mimi naona pointi zote alizoongea Magufuli ni sahihi kabisa
 
Hakuna mahali taarifa zinasema wagonjwa hupona kwa siku 14,bali dalil za ugonjwa Kama uko ndani hujionyesha kwenye vipimo in 14 days jitahid Sanaa kuwa mwelewa mkuu, kupona even in single day covid can be killed ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Korona haina tofauri na Influenza kuanzia maambukizi, incibation na kupona
Mwili na kinga ya mtu ndiyo inayoamua incubation iwe siku 10, 3, 1, 20, 30 nk
Mwili na kinga ya mtu ndio inaamua mgonjwa apone ndani ya siku, wiki au hata mwezi
Mwili na kinga ya mtu ndio inaamua mgonjwa afe au apone.

Kuna cases mtu anapata virusi na kuambukiza wengine na yeye kupona virusi hata bila ya kuonyesha dalili za kuumwa. Mfano hao waliopimwa kama Isabella asingepimwa asingejulikana ana virusi Kwani tangu apimwe na kupona hajaonyesha dalili (Symptoms)
 
Tafiti zisizo rasmi (Computer Modeling) zinaonyesha kuwa Coronavirus haziambikizwi kwa kasi kwenye maeneo ya Poles na Equator regions kwa sababu ya baridi kali na joto kubwa
Wanadai hawa virusi hawakai muda mrefu kwenye joto na unyevunyevu mkubwa. Pia hawawezi kukaa muda mrefu kwenye sehemu za baridi kali kama za kule North na South Poles
___________________________________________________________________________________
A study uploaded to medical pre-print server MedRxiv Monday plots recorded cases against climate conditions to suggest that there is indeed a significant correlation between outbreaks and the weather. In extreme cold and very hot and wet conditions the virus is “largely absent,” the researchers from Spain, Portugal and Finland wrote, meaning that people in tropical and polar climates are unlikely to see local transmission of cases.

Arid regions will see a higher rate of infections but the worst-hit areas will be temperate countries and high-altitude areas closer to the equator. The period between June and September should see a slowing rate of infections in much of Europe and North America, they wrote, although areas closer to the poles in Scandinavia, Russia and Canada may see worsening conditions as the climate warms enough to support local infections.

Another pre-print study by four Beijing-based researchers uploaded to the arXiv server last week comes to a similar conclusion after analyzing the infection rates in 100 Chinese cities. That rate, known as the R0, is a key determinant of an infection’s propensity to spread. For Covid-19 it’s currently estimated to be around 2.2, but moving it below 1 should, if sustained, be enough to turn the current out-of-control epidemic into an outbreak that goes extinct on its own.

Increasing the temperature by one degree centigrade reduces the R0 by 0.0383 and increasing humidity by 1% pushes it down by 0.0224, the researchers found. That should be particularly significant in places with hot, wet summers, they wrote: In the event the Tokyo Olympics goes ahead, the R0 in the city would likely be at extinction levels below 1, given normal summer conditions.

The results shouldn’t be too surprising. The mechanism that causes influenza and colds to spread faster in the winter isn’t perfectly understood. It appears to relate to the way virus particles can stay active on surfaces such as elevator buttons and door handles for longer in mild weather; the way people show greater susceptibility to throat infections when breathing cold, dry air; and to our tendency to congregate in warm, close conditions where diseases spread easily during winter weather. Still, it would be remarkable if Covid-19 really behaved in a manner different from every other coronavirus, or indeed almost every other common respiratory virus.

Don’t start planning any summer holidays on the expectation this disease will vanish with the sun. For one thing, both studies are still just computer models, and neither has been through peer review. On top of that, even a reduced rate of infection will only slow, rather than halt the spread of this pandemic. In most places, it won’t even be sufficient to push the R0 below 1, in the absence of other measures such as social distancing.

Bloomberg - Are you a robot?
 
Back
Top Bottom