Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndilo niliwazalo pia....Wafunge shule mapema wasisubiri ratiba ya shule.
Yes hili linawezekana sio wengine wanavyoandika wanafikiri nchi ni kama kuongoza familia ya mke aliyeishia la saba na mtoto wa miezi mitatu.Safiri kwenda nje ya nchi kwa ishu maalum sana na mkirudi mtupwe karatini kwa siku 14
Wewe mbeba box beba mizigo hiyo ulipwe acha kupiga story , mtumwa hana kupumzika.Kumbe watu mko waoga eeh [emoji1787]
Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.
Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.
Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
China wenyewe hadi leo bado wanahangaika na watu wanaendelea kufa sisi tutaweza hili?Ni uzembe tena wa kiwango cha juu sana!!
kwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa hizo za kuhuzunisha kuhusu kuwepo kwa mgonjwa wa Corona nchini kwetu .
swali la kujiuliza kwanini serikali haikuchukua hatua za haraka kudhibiti ugonjwa huu ikiwa no pamoja na kufunga mipaka kuzuia ndege na magari yote toka nje ya nchi ?serikali inawezaje kukwepa lawama hizi
Shule zifungwe tu ila kwakuwa serikali kichwa ngumu wataacha ili watoto wafe Kama kumbikumbi
Hapo kwenye mwendokasi serikali iwajibikeSehem za hatari zaidi
-Mwendokasi
-Daladala
-Misikitini
-Makanisani
-Shuleni
-Masokoni(Kkoo)
Watanzania tuko careless Sana
Wenye imani tuombe sana
Wasio na Imani Mnajua cha kufanya
Hali inawez kua viral [emoji17][emoji17]
We nae bhana kila wakati ni Siasa tu huchoki.Ngoja virusi viingie hapo ufipa, ndio mtatafutana na hivyo vijimikutano vyenu vya hadhara.