Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Update hapa Arusha ni kuwa idadi kubwa ya watu wanavaa mask 🎭 kwa sasa, na hata vijana wa boda boda wengi wao nimewaona wamevaa mask.
Jijini DSM makonda yu kimya.. naona wadada watatu wanashare bunda la bissy wanaambiwa acheninwanakuwa wabishi, alimanusura nimzabe nikaona nitagusana nae
 
Kwangu mimi nachukulia motarity rate ni number of death over the sum of recoveries and death
Mortality rate < 6%
Wakiugua 100 wanaokufa ni 3 to 5 tena kwa uzembe wa kutowahi kutibu Neumonia, Haya mafua jamani yamekuzwa mno. Tulikuwa nao muda mrefu huku ila sisi hatukuwa na popular media za kuutangazia ulimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ni Mtanzania mwenye asili ya wapi?This is important kwa kuwa upo ushahidi kwamba race bio-weapons zipo.Sasa mnapoleta taarifa hizi please be exhaustive,we want to make some correlations.

Naomba nikumbushe pia kwamba watu hawa wakati mwingine ni what are called "sleeper agents." These people at an opportune time wanatumika kutekeleza jambo lengwa in this case kusambaza COVID-19 baada ya kukaa eneo lengwa,kwa mfano Tanzania kwa muda mrefu,hata 20 years,kwa niaba ya nchi fulani au shirika fulani.Naamini hatujasahau ile issue ya Ebola.

Nashauri huyo mgonjwa kama atapona,asichukuliwe kama mtu wa kawaida tu,ila uchunguzi wa kina ufanyike,ili tujue her real motives na yeye ni nani hasa.Narudia,she could be an agent for spreading COVID-19,kwa kuwa the reason for doing that is there.

Mwisho naomba pia nikumbushe kwamba usambaaje wa COVID-19 tunao uona sio through person to person contact,hapana.Upo mpango mahususi wa kusambazwa COVID-19,ndio maana unaibuka kama mzamiaji bahari.Ipo haja kwa hiyo ya kulinda mipaka yetu kweli kweli na kuwa makini sana na wageni wote wanaoingia Tanzania.

Kwa hapa nadhani Waziri Ummy Mwalimu na timu yake wametuangusha sana,naomba wajitathmini.Haiwezekani mtu apite uwanja wa ndege aonekane hana COVID-19 halafu baada tu ya kupita aonekane anao.Something fishy is going on.Wajitathmini.Wameingiza maisha ya Watanzania kwenye hatari kubwa sana.Mungu aepushie mbali.
 
Na ansema maombi ya waovu ni kama harufu mbaya mbele zake.
Haingii akilini baba aone watoto wanazama baharini na ana uwezo wa kuwaokoa akae tu akitazama kusubiri watoto wamuombe msaada.
Waovu wapo lakini hili janga halichagui muovu na asie muovu.
Kwanini uwatese ambao sio waovu? Angeweza kuleta janga ambalo litateketeza waovu peke yao..au hana uwezo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namzungumzia Mungu anayesemekana aliletaga garika likaua kila kilicho hai kilichokuwa nje ya lile safina.
 
Unapotaka kuleta logic kwenye imani unakuwa unafeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mkazi wa sakina kwann aliamua kufikia hotelini badala ya kwenda kwake moja kwa moja
 
lembu,

Nitakubaliana na wewe kuwa panicking is not helping. Hata hivyo ni vyema pia kuwa makini na kujikinga. Ubaya wa Corona ni kuwa it's highly contagious na unaweza kutembea nao na kuambukiza wengine bila kuonyesha dalili.

Tatizo kubwa ni pale unapomwambukiza mtu mwenye kinga hafifu au complications nyingine za kiafya. Kama wewe ni kijana na kinga yako ni safi, utapona ila utakuwa umemletea madhara mwingine. Ikiwa mtu au watu wanapata respiratory complications kutokana na pneumonia, je hospitali zetu zitakidhi kuwahudumia? Tusipodhibiti mapema, cases za namna hii zikawa nyingi, system yetu ya afya haitaweza kuhimili. Hii ndio concern kubwa, na ndio maana nguvu nyingi inawekezwa kwenye kudhibiti na kujikinga.

Let's not panic but let's not play it down too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…