Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Unaamanisha umebahatika kukutana na mtu mwenye corona uso kwa uso? lucky man you are.native African na tulionana nae hospital
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaamanisha umebahatika kukutana na mtu mwenye corona uso kwa uso? lucky man you are.native African na tulionana nae hospital
Hakuna aliyemuita hadi sasa? [emoji849][emoji849].Yeye mwenyewe anasema, wakati wa shida zetu tutamuita na atatusaidia.
Jijini DSM makonda yu kimya.. naona wadada watatu wanashare bunda la bissy wanaambiwa acheninwanakuwa wabishi, alimanusura nimzabe nikaona nitagusana naeUpdate hapa Arusha ni kuwa idadi kubwa ya watu wanavaa mask 🎭 kwa sasa, na hata vijana wa boda boda wengi wao nimewaona wamevaa mask.
Na ansema maombi ya waovu ni kama harufu mbaya mbele zake.Hakuna aliyemuita hadi sasa? [emoji849][emoji849].
Ngoja ninyamaze..mjadala uishie hapa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mortality rate < 6%
Wakiugua 100 wanaokufa ni 3 to 5 tena kwa uzembe wa kutowahi kutibu Neumonia, Haya mafua jamani yamekuzwa mno. Tulikuwa nao muda mrefu huku ila sisi hatukuwa na popular media za kuutangazia ulimwengu
Haingii akilini baba aone watoto wanazama baharini na ana uwezo wa kuwaokoa akae tu akitazama kusubiri watoto wamuombe msaada.Na ansema maombi ya waovu ni kama harufu mbaya mbele zake.
Namzungumzia Mungu anayesemekana aliletaga garika likaua kila kilicho hai kilichokuwa nje ya lile safina.Haingii akilini baba aone watoto wanazama baharini na ana uwezo wa kuwaokoa akae tu akitazama kusubiri watoto wamuombe msaada.
Waovu wapo lakini hili janga halichagui muovu na asie muovu.
Kwanini uwatese ambao sio waovu? Angeweza kuleta janga ambalo litateketeza waovu peke yao..au hana uwezo huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotaka kuleta logic kwenye imani unakuwa unafeli.Haingii akilini baba aone watoto wanazama baharini na ana uwezo wa kuwaokoa akae tu akitazama kusubiri watoto wamuombe msaada.
Waovu wapo lakini hili janga halichagui muovu na asie muovu.
Kwanini uwatese ambao sio waovu? Angeweza kuleta janga ambalo litateketeza waovu peke yao..au hana uwezo huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mkazi wa sakina kwann aliamua kufikia hotelini badala ya kwenda kwake moja kwa mojaMbona mkuu wa mkoa aliitaja kuwa ni Temi sijui nini Villa huko. wameitaja bwana.
na jina la mgonjwa ndie Da Isabela Mwampamba mmiliki wa shule sijuni nini hukooo friends, ni mkazi wa Sakina karibu na msikiti sijui na karibu na wapi tena hukooo. Nimechoka mie. Hivi hizo mask ni bei kwani?
Na Mimi hapo nimemzungumzia Mungu huyo huyo.Namzungumzia Mungu anayesemekana aliletaga garika likaua kila kilicho hai kilichokuwa nje ya lile safina.