Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
You have a pointareafiftyone, Hapo mwishoni nakubaliana na wewe huu si wa kugusana wala nini but something fishy inaendelea kwa hawa wajanja wa dunia. I think tunapelekwa kwa new phase ya mipango yao or wako wanafanya majaribio on what they r going to do next.
Mfano by now kwa jinsi walivyoweza kuigopesha dunia kupitia media zao kuhusu huu ugonjwa ni rahisi kuwaweka watu ndani via lockdown.
Pia ni rahisi kuwachoma watu vaccine ambazo ndio zitaleta madhara zaidi na watu watakubali maana washapaniki.
What about sanitizer hizi are they safe now? Or washaweka vitu humo? Maana nimeona sehemu denmark wamepitisha bungeni lazima kuchoma vaccine hata ikibidi kutumia police.
Note: wakiamua hawa jamaa usidhani serikali itashindana nao utashangaa na roho yako siku serikali ikakuletea chanjo ya haohao mabeberu na kuwa ni lazima kuchoma.......na ndio zitakuwa na athari kuliko hii corona.
Kama ambavyo arvz zina mashida the same na ugonjwa.
Am out!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app