Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

areafiftyone, Hapo mwishoni nakubaliana na wewe huu si wa kugusana wala nini but something fishy inaendelea kwa hawa wajanja wa dunia. I think tunapelekwa kwa new phase ya mipango yao or wako wanafanya majaribio on what they r going to do next.

Mfano by now kwa jinsi walivyoweza kuigopesha dunia kupitia media zao kuhusu huu ugonjwa ni rahisi kuwaweka watu ndani via lockdown.

Pia ni rahisi kuwachoma watu vaccine ambazo ndio zitaleta madhara zaidi na watu watakubali maana washapaniki.

What about sanitizer hizi are they safe now? Or washaweka vitu humo? Maana nimeona sehemu denmark wamepitisha bungeni lazima kuchoma vaccine hata ikibidi kutumia police.

Note: wakiamua hawa jamaa usidhani serikali itashindana nao utashangaa na roho yako siku serikali ikakuletea chanjo ya haohao mabeberu na kuwa ni lazima kuchoma.......na ndio zitakuwa na athari kuliko hii corona.

Kama ambavyo arvz zina mashida the same na ugonjwa.

Am out!!

Sent using Jamii Forums mobile app
You have a point
IMG_20200317_170440.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule waziri alisema hatuwez kuzuia wageni kutoka nje. Kwasababu ni rafiki zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watu waliostaarabika hii ilikuwa sababu tosha sana ya yeye kujitafakari, kujipima na kupisha watu wengine. Lakini kwa kuwa hapa ni kwa Wadanganyika, yupo anaendelea kudunda. Sijui nani alituloga...
 
lembu,
Wewe corona virus is 10x to 20x more lethal than the flu.

Top US health official says the coronavirus is 10 times 'more lethal' than the seasonal flu

Asilimia 0.1 ya flu na 1.0 ya corona ni utofauti mkubwa sana mathematically.
Ni mapema mno kusema Coronavirus mortality rate ni 3% hata WHO wao wenyewe wamekiri kuwa ni mapema mno kwa sababu virusi ni vipya na blablaa
Baada ya mwaka or so ndio tutauelewa vizuri
Mfano flu ina vaccine na hiyo imepunguza kasi kwa kiwango kikubwa, coronavirus haina vaccine kwa sababu ni ugonjwa mpya, naamini kabla mwaka haujaisha vaccine itakuwa imepatikana
Na ikifikia wakati huo
Ngoma itakuwa draw kati ya Influenza na Corona virus, Yaani itakuwa 1:1
 
Jamani tunachezewa akili na hawa wapumbavu. Korona ni ugonjwa wakawaida sana. WHO wanasema death rate ya korona ni 3%. Ugonjwa hatari af hauna dawa kwenye watu 100 wafe watatu tu? Hao wengine wanaponaje wakati hauna dawa? Na kwa maelezo yao jinsi ya uambukizanaji wake ulivyo sizani km Kuna ambae atakuwa salama. Hii ni Hadithi km hadithi nyingine
 
Hahahahahahaaaaaaaa kumbe tz vichaa wengi siamini aisee...
So kuna watu hawajui kua haya ni mafua ya kawaida???
Hakya mungu vita ya tatu ya dunia itasababishwa na social media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So last year 37,000 Americans died from the common Flu. It averages between 27,000 and 70,000 per year. Nothing is shut down, life & the economy go on. At this moment there are 546 confirmed cases of CoronaVirus, with 22 deaths. Think about that!

— Donald J. Trump (@realDonaldTrump) March 9, 2020
 
From the Desk of Simon Murray, MD
The fact remains that this strain of coronavirus is not highly contagious; it behaves very similarly to other infectious viruses by targeting mainly the weak and/or immunocompromised portions of the population.

For most of us, contracting coronavirus infection will lead to a flu-like syndrome, and the majority of patients will most likely survive—very similar to the majority of people who get flu.
.....
.....
The fact is, influenza is an illness that is far more deadly but also far more familiar to us. The current coronavirus outbreak, which originated in China, serves as a surrogate for a good deal of xenophobia and fear of the country itself.
The Fear of the Coronavirus, and the Reality of the Flu
 
Kama ni mkazi wa sakina kwann aliamua kufikia hotelini badala ya kwenda kwake moja kwa moja
mh! ukipata muda utafuatilia hiki kisa mitandaoni. Alivyohojiwa alikiri kwamba alihisi anaweza kuwa nao kulingana na nyumba aliyofikia huko Ubeligiji mume wa mwenye nyumba alikuwa nao, hivyo aliona asiende kwake ili kuponesha familia yake. Aliona ni bora wafe wengine lakini sio familia yake, ndioo maana alivyohisi dalili akaenda Mount Meru Hospitali.
 
Back
Top Bottom