Tusubiri tuone.Itaanza kuwapukutisha nyinyi wanafiki wakubwa
In God we Trust
Hata Sisi kampuni yetu imesitisha watu wasiingie ofisini kuanzia Leo. Tangazo lilitoka tokea Jana. Nahisi wanajua Sirindio maana magufuli amezuia mbio za mwenge mara na makonda nae kazuia mikusanyiko ya watu kwenye daladala mara jf nao wamewapa likizo wafanyakazi wao nikajua tu kuna jambo linakuja
Ni kweli mkuu kumbuka tupo dunia ya tatu huku
Mambo mazito yanatushinda hili la covid 19 si lakuja na marungu na magari ya kuwasha
Ni mtihani huu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]wabongo siunatujua tulivyo.Kumbe watu mko waoga eeh [emoji1787]
Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.
Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.
Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
Hebu tusihamishe magoli hapa, kuna watu wanapaswa wawajibike, huyo mgonjwa aliingia na hakuwekwa karantini, kama angekaa karantini tusingekuwa tunamzungumzia leo. Watu wanafanya kazi kwa mazoea, uongozi wa airport uwajibike.
Duh! Uko serious?Bora labda CCM itaacha kutuonea
Sehem za hatari zaidi
-Mwendokasi
-Daladala
-Misikitini
-Makanisani
-Shuleni
-Masokoni(Kkoo)
Watanzania tuko careless Sana
Wenye imani tuombe sana
Wasio na Imani Mnajua cha kufanya
Hali inawez kua viral [emoji17][emoji17]
tamaa mbaya sana ku ma ma ke , subiri pale hotelini uyo mwanamke alipofikia, wale wafanya usafi wanauchukua ule kama ulivyo na kuupelekwa uswazihII NCHI BWANA WATU WALIWAAMBIA WAFUNGE NJIA ZA USAFIRI WA ANGA NA WA MAJI SISI TUNAFUNGULIA TUUU
Atakuwa tu ni mtanzania mweupe. Mweusi aingefanya hivyoHuyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.
Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.
View attachment 1389929
View attachment 1389983