Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

hII NCHI BWANA WATU WALIWAAMBIA WAFUNGE NJIA ZA USAFIRI WA ANGA NA WA MAJI SISI TUNAFUNGULIA TUUU
 
ndio maana magufuli amezuia mbio za mwenge mara na makonda nae kazuia mikusanyiko ya watu kwenye daladala mara jf nao wamewapa likizo wafanyakazi wao nikajua tu kuna jambo linakuja
Hata Sisi kampuni yetu imesitisha watu wasiingie ofisini kuanzia Leo. Tangazo lilitoka tokea Jana. Nahisi wanajua Siri
 
Kumbe watu mko waoga eeh [emoji1787]

Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.

Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.

Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
[emoji3][emoji3][emoji3]wabongo siunatujua tulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwana wane sasa ule wakati wa kuindoa CCM madarakani tena kwa nguvu ndiyo umewadia sasa mwana wane! tusha pata kianzio mwana wane
 
Umesahau na kwenye viwanja vya mpira ni vyema ligi zote zikasimama na matokeo yoote ya ligi yafutwe tu
Sehem za hatari zaidi
-Mwendokasi
-Daladala
-Misikitini
-Makanisani
-Shuleni
-Masokoni(Kkoo)

Watanzania tuko careless Sana
Wenye imani tuombe sana
Wasio na Imani Mnajua cha kufanya

Hali inawez kua viral [emoji17][emoji17]

In God we Trust
 
hII NCHI BWANA WATU WALIWAAMBIA WAFUNGE NJIA ZA USAFIRI WA ANGA NA WA MAJI SISI TUNAFUNGULIA TUUU
tamaa mbaya sana ku ma ma ke , subiri pale hotelini uyo mwanamke alipofikia, wale wafanya usafi wanauchukua ule kama ulivyo na kuupelekwa uswazi
 
Najaribu tu kufikiria vile system ya huduma za afya ilivyo ya kizembe...

Vile unapofika hospitali unavyosubirishwa na wahudumu/madokta ukiwa kwenye vile vibenchi...

Huyo mama atakuwa alikaa karibu na watu wangapi?

Atakuwa alihudumiwa na manesi wangapi waliokuwa wamejiweka kizembe zembe...
 
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.

Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.

Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.



View attachment 1389929

View attachment 1389983



Hapo ndipo tabuu inapoanzia sasa kama nimesoma vizuri huyo mgonjwa alijihifadhi katika hotel je huko hotelini alikuwa pekeyake na hakuhudumiwa? ama kuruhusu muingiliano na watu wengine? hapo ndipi kilipo kizazaa kwa mtu mweusi kwa kuficha mambo. N hata alipokwenda hospitali contamination na watu au wauguzi kabla ya kuthibitika kwamba ana maambukizi napo imekaaje?!! Aiseeeee na je ni hoteli gani hiyo???
 
Back
Top Bottom