Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Every living thing has the characteristic of perishing, what do you fear ? With me whatever it comes,kama ni wakufa wacha nikufe,cause I have no power of stopping death,my fellow Tanzanians get ready as it is not known what will take your soul

Sent using Jamii Forums mobile app
kirahisi tu? we mwenyewe ulipambana kwenda dar kwa matibabu zaidi leo umesahu
 
Suala hili la COVID-19, halina mtu wa kulaumiwa.
Hasira na woga, hazitafanya lolote lile kwenye hili tuepuke.

Huu virusi hivi vinaambukiza bila hata dalili yoyote kwa muathirika. As a matter of fact, kama una afya njema unaweza ukaambukiza wengine bila kujua mwenyewe kama ulikuwa nao.

Airport za mataifa yote duniani zinapima dalili tu kwanza, ndio maana wanashauri watu wanaojihisi kuumwa baadae, waji-isolate. Upimaji wa virusi wenyewe hufanyika katika maabara chache zilizotayarishwa. Hivyo wanadhaniwa peke yake ndio hupimwa. And this is world wide; due to unlimited resources. Kuna nchi kama S.Korea wamejitahidi kidogo kwenye upimaji, containment haijawezekana.

Kwa lugha nyepesi, haiwezekani kuzuia ugonjwa huu kuingia katika nchi yoyote ile unless mmejifungia na mmesimamisha shughuli zoote; which is realistically impractical.

Yaani, kinachofanyika na nchi zote duniani ni kufupisha uharaka wa maambukizi; ili huduma za kiafya zisizidiwe.
Maana hata nchi zenye huduma za kiwango cha juu, hazina uwezo wa kuhudumia mlipuko wa uambukizaji wa haraka namna hii.
Ndio maana hakuna nchi tajiri iliyoweza kuukwepa ugonjwa huu.

Acha niuseme ukweli:
People will die.
Most will survive.

Hatukuwa tayari (kidunia) ku-face epidemic(now pandemic) ya namna hii.

Pray, kwa sababu there will be tears.


Sent using LF Electromagnetic Waves
 
haya sasa ! asingeamua kujitenga mwenyewe na ikiwa mlimpima na hamukuona na virusi ?

je wale waliongia juzi mkasema ni wazima ?


hatari sana hii...
 
Kupitia hili tangazo na comments za wanajf, nimegundua kati ya forums zote duniani,hii ni forum ambayo imejaa watu wanapenda kuchukulia mambo kisiasa zaidi.Mbaya zaidi kuna kikundi cha watu wapumbavu na hayawani wanaodhani Covid-19, ipo kwaajili ya kuwakomboa wao,na kutimiza matakwa yao ya kisiasa.Watu wa aina hiyo wanaofurahia utawapata Jf tu, na sio kwenye platform nyingine za kijamii.Narudia tena Huo ni upumbavu na upunga wa hali ya juu.Na kama haya madudu mnayo yaandika humu, ndo yale yaliojaa mioyoni mwenu,Anapokaa sizonje mtapasikia tu.
Neno la Mungu linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Wasalaam,

Sawa ndio mgeni CORONA keshaingia Tanzania.

Lakini nafikiri hatutakiwi kupanic.

Maana HAMAKI ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.

Tuendelee kujikinga huku tukiomba hili nalo lipite.

Mbona hata EBOLA ilitingisha lakini nayo ilipita.

Mungu ibariki Dunia
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hatari sana na huu usafiri wa Daladala na Treni watu wanavyobanana vile ni jambo la kuangaliwa sana.
 
Mipumbavu mingine bhana, serikali ifiche ili iweje? Rwanda wako 5 mpaka sasa na Kenya 3, hivi hili janga ni la kufichwa na Rais kwani ye ndo tabibu? mineno ya kishenzi hiyo leo kuna mkenya anaenda kunyea debe.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
niliandika hii kitu hivi karibuni baada ya rwanda kutangaza uwepo wa mtu mwenye corona. wametema ndoano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ndio mgeni CORONA keshaingia Tanzania.Lakini nafikiri hatutakiwi kupanic.Maana HAMAKI ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.Tuendelee kujikinga huku tukiomba hili nalo lipite.Mbona hata EBOLA ilitingisha lakini nayo ilipita.
Mungu ibariki Dunia
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania.
 
ila akina mama ni wabishi kinoma, yaani waliamniwa msiende kuzurura zurura lakini wapi ona sasa 'danga' la ubeligiji na Denmark litakavyo tupukutisha…….
😂😂😂😂😂 Wabongo bhana....
 
Ummy anajipa moyo ati ni imported case. Kwani ugonjwa ungefika vipi bila ya kutoka nje ya nchi.

Maonyo yote hawakuyasikia sasa majuto ni mjukuu.

Ati sasa wakawatafute waliokutana na mgonjwa. Si hao tu hata na waliokutana na waliokutana na waliokutana na... ... waliokutana na mgonjwa. Hiyo chain ndiyo inawapa taabu ulaya.

Acha tuone sasa sote yetu macho.
 
Nazani wakati #umewadia wa kila mtu kujinunulia mbao zake kwa wakat huu na kuziweka ndani zivuje maji taratibuuuu

Kwa ajili ya majeneza yetu huku tukisubir kifo toka kwa malaika mtoa roho mzee mzima corona maaaaaaa f*cker virus
 
Bongo kitambo wanatuzuga hawa CCM
999FC190-DB06-41CF-9C00-2B921CFD66B9.jpeg
 
Ummy anajipa moyo ati ni imported case. Kwani ugonjwa ungefika vipi bila ya kutoka nje ya nchi.

Maonyo yote hawakuyasikia sasa majuto ni mjukuu.

Ati sasa wakawatafute waliokutana na mgonjwa. Si hao tu hata na waliokutana na waliokutana na waliokutana na... ... waliokutana na mgonjwa. Hiyo chain ndiyo inawapa taabu ulaya.

Acha tuone sasa sote yetu macho.
Lakini kama haujafa utaona tu.
 
Back
Top Bottom