Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Inabidi kuzuia mikusanyiko,mikutano nehi,
Kanisani,msikitini,makongamano ya kidini nehi,
Shule Ni Bora zikafungwa mapema kwa mwezi mzima Sasa,
 
Tulikuwa na muda wa kutosha kuchukua hatua lakini tulikuwa busy na mipango ya kijinga, kwa mfano kuwavizia wapinzani na kuwavunja mikono, kuwatolea michango watu tuliowabambikia kesi na kupeleka magari ya serikali magereza kuwabeba ili tupate kiki na tuonekane kwenye headlines za magazeti.
Haya sasa, sijui tutafanya nini kingine kupata kiki na kuwa centre of attention. Meanwhile wapinzani wametangaza kuanza mikutano nchi nzima, sasa sijui kuna uhusiano na tangazo la virus.
Corona oyee!
 
Suala hili la COVID-19, halina mtu wa kulaumiwa.
Hasira na woga, hazitafanya lolote lile kwenye hili tuepuke.

Huu virusi hivi vinaambukiza bila hata dalili yoyote kwa muathirika. As a matter of fact, kama una afya njema unaweza ukaambukiza wengine bila kujua mwenyewe kama ulikuwa nao.

Airport za mataifa yote duniani zinapima dalili tu kwanza, ndio maana wanashauri watu wanaojihisi kuumwa baadae, waji-isolate. Upimaji wa virusi wenyewe hufanyika katika maabara chache zilizotayarishwa. Hivyo wanadhaniwa peke yake ndio hupimwa. And this is world wide; due to unlimited resources. Kuna nchi kama S.Korea wamejitahidi kidogo kwenye upimaji, containment haijawezekana.

Kwa lugha nyepesi, haiwezekani kuzuia ugonjwa huu kuingia katika nchi yoyote ile unless mmejifungia na mmesimamisha shughuli zoote; which is realistically impractical.

Yaani, kinachofanyika na nchi zote duniani ni kufupisha uharaka wa maambukizi; ili huduma za kiafya zisizidiwe.
Maana hata nchi zenye huduma za kiwango cha juu, hazina uwezo wa kuhudumia mlipuko wa uambukizaji wa haraka namna hii.
Ndio maana hakuna nchi tajiri iliyoweza kuukwepa ugonjwa huu.

Acha niuseme ukweli:
People will die.
Most will survive.

Hatukuwa tayari (kidunia) ku-face epidemic(now pandemic) ya namna hii.

Pray, kwa sababu there will be tears.


Sent using LF Electromagnetic Waves
Ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So long as hakuna mtu mwenye ngozi nyeusi aliyefariki kutokana na ugonjwa huu...Bado nina amani ya kutosha tu.
Kama sisi watanzania tulioko China tupo wazima, tangia mwezi wa 12 mpaka leo mwezi tatu, na sio watanzania tu waafrica wote, basi nyie mlioko TZ mtakua wazima mara 100000. Ebu ondoeni hofu msitishike na matangazo ya redioni, mitandaoni na kwenye TV.

Tunapo sema corona ina enea zaidi kwenye nchi za baridi kali hii point iamini kwa asilimia zote (nchi zenye majira ya WINTER ndizo zinazopata shida. Hiyo ni bayolojia mhimu kwa corona kwa sababu anaenea zaidi kwa njia ya hewa. Kukiwa na baridi kali membrane za kwenye pua zinaingilika kiurahisi na huyo kirusi.

Baridi inayo zungumziwa hapa ni ile kali ambayo inapatikana kwenye nchi za SUBTROPICAL Asia na ulaya. Kwa Africa nchi zake zipo TROPICAL joto lipo juu. Sisi tuliopo China baridi tunayo izungumzia hapa ni ile ya nyuzi centigrade 1, 2, 3 mpaka 10, yaani ikifika 13 hiyo siku mnafurahi. Jua likiwaka basi lazima mfurahi. Hivyo ndivyo navyo elewa kuhusiana na huyo kirusi.

Kama ukisikia mwaafrika kapata corona basi ujue katoka nao nchi mojawapo yenye baridi kali lkn immunity za waafrika zipo very resistive kwa hiyo hawezi chukua muda kupona. Immunity ya Waafrika iko , "resistive" kwa sababu ya hali ya maisha magumu tuliyo pitia. Kwa mfano mazingira tunayoishi Africa ni machafu, tunaishi na vimelea vya magonjwa ya kila aina, mtu anaweza kuumwa mafua na kupona bila kwenda hospitali, maana yake kinga yake imekua ikipambana yenyewe bila kumeza dawa. Vumbi ndio usiseme, vumbi linaingia mwilini likiwa na vimelea kibao lkn mtu anaendelea kuishi. Mazoezi tuliyo fanya kila siku tangia tukiwa wadogo kwa kutembea kwa miguu bila kupanda magari kwenda sehemu mbalimbali labda ni shuleni hayo yote yanaongeza metabolic rate ya mwili. Tofauti na wenzetu wamezaliwa kwenye magari kwa hiyo muda wote ni magari no time ya kufanya mazoezi.

Na ndio maana japo kuwa kirusi huyo anaishi kwa baadhi ya wanyama lakini hana uwezo wa kuwadhuru kwa sababu ya miili ya hao wanyama ina high metabolic rate. Na hapa ndipo inapokuja concept ya kunywa MAJI YA MOTO mara kwa mara ili kuongeza metabolic rate ya mwili. MAJI YA MOTO yanazo faida nyingi tu mbali na hiyo ya kuongeza metabolic rate ya mwili.

Pamoja na yote hayo, kila mmoja wetu achukue tahadhali kwa jinsi ya maelekezo ya wataalamu wa afya na tiba.

Asiye sikia la mkuu huvunjika guu
 
Ila kw wenzetu huu ugonjwa unaenda kuleta mabadiliko makubwa Sana,,sijui sisi itakuaje maana watu wanakufa Kama sisimizii huko ulaya
 
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.

Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.

Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.



Dada UMMY , wale watalii wa Norway waliofikia Moshi Kilimanjaro, na walifikia hoteli ya kawa wa CCM na Diwani mmoja Pale Moshi , hoteli ina jina la mnyama, karibu na soko kuu l Moshi je , mnfahamu wale wana KORONA NA VIFAA VYENU HAVIKUONA KAMA KWA HUYU MAMA?

Sasa endeleeni na segedansi zenu na kupiga wabunge wa CHADEM badala ya ku-deal na KORONA.

NAWASHAURI MFANYE HIVI::-

1. KUFUNGA VYUO VYOTE NA SHULE.
2.KUFUNGA MISIKITI YOTE

3. KUFNGA SHUGHULI ZOTE ZA SERIKALI NA MAHAKAMA.
4. KUFUNGA BAA ZOTE NA MATAMASHA YOTE YA WASANII.

5. VOMBO VINAVYOPIGA MUZIKI 24/7 VIPIGE MATANGAZO YA KORONA.

6.MWENDOKASI, yaani huu usafiri utaua robo ya dar es salaam.

7. KIVUKO FERI

8. ZIARA ZA IKULU, BARAZA LA MAWAZIRI,

9.SOKO LA KARUME, BUGURUNI, ILALA, MCHIKICHINI, MWENGE, TEMEKE STEREO,

10. VIBANDA VYOTTE VYA CHIPS , hivi si muhimu maana hawa ma ba'zazi wanapa mlo huko mtaaani huku wake zao wakishindia dagaa za mchanga
 
ndio maana magufuli amezuia mbio za mwenge mara na makonda nae kazuia mikusanyiko ya watu kwenye daladala mara jf nao wamewapa likizo wafanyakazi wao nikajua tu kuna jambo linakuja
Wawape likizo mods tujimwage mwage au mnasemaje
 
Hili dude lilikuwepo kitambo Tuu.

To prove it, hadi kesho utasikia 2 victims Zanzibar, 1 Victim in Mwanza, 3 victims in Dar es salaam.

Huu ni muda wa serikali na kila mmoja wetu kujipanga kupambana na hili gonjwa . Hasa kuchukua Tahadhari .

Kulaumiana wala haitatuponyesha.

Kila mtu achukue Tahadhari na Mungu atusaidie tuu manake , Coronavirus is real.
 
1. kaka mkuu akikusanya watu na kuwahutubia. HII TAARIFA ITAKUA YA KISIASA
2. Kama mkuu wa kambo akipigwa,marufuku kufanya siasa.HII TAARIFA ITAKUA YA KISIASA
3. Shule zisipopewa likizo ya dharura. HII TAARIFA ITAKUA YA KISIASA
4. Mipaka isipofungwa kwa muda airport na bandarini pia. HII TAAARIFA ITAKUA YA KISIASA.


MUNGU TUSAIDIE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kisa cha pili kiwe cha jiwe mwenyewe cha tatu kiwe wewe hapo, maana mliambiwa na kuambiwa lakini mkajiona nyie ni miamba ngozi wajinga kabisa nyie


Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Una maombi kama yangu, kesi ya pili iwe jiwe, halafu ikumbukwe ana miaka juu ya 60 so itapendeza zaidi.
 
Wanawake wa kitanzania wanaombea Corona hivi tutafika kweli
Dear Corona Virus..Tanzanians don't know anything please don't kill us ,sweetheart cori,corobaby,cor bebito,soulmate cori,corodarling,king coro,coro my hubby, corohoney,corodee,coronana,coronizer ,corolife,my only coro, coro one -covd19 .
🤣🤣🤣
 
kuna vitu tuna mkosea sana mungu na ndio maana ana tukumbusha yeye yupo na anaweza kutuadhibu hiki kizaz cha sayansi na technology achilia mbali haya maradhi hata ridhiki imekuwa ngumu sana
 
Back
Top Bottom