Corona: Waganda washitushwa na kasi ya maambukizi ya Kenya, washauriana kutotembelea Kenya

Guys corona haihitaji kibri!! Ina namna ya kukuumbua so tuangalie kauli zetu lest we might be a laughing stock in the future.Let's reserve our stupidity kwenye janga hili

Hakuna haja ya kushindana kwenye humanitarian issues this goes beyond economics and culture we are talking about life here peoples lives.

Tuchukue mfano marekani alikuwa akim mock ( akimbeza/dharau ) China wote tunaona mwishoni anguko lao limekuwa kubwa sanaa

So tuache kushindana mambo yasio ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mkianza kuanguka kama nzi ndio mtajua umuhimu wa kupima watu. Sasa hivi Dar watu wanayo virusi vya corona ila hakuna vipimo. Sasa mnangoja watu waanze kuanguka kila mahali ili mjue hali ni tete? Pimeni watu wacheni zogo
Toka mwezi wa pili mnasema hivi!
 
Guys corona haihitaji kibri!! Ina namna ya kukuumbua so tuangalie kauli zetu lest we might be a laughing stock in the future.Let's reserve our stupidity kwenye janga hili

Hakuna haja ya kushindana kwenye humanitarian issues this goes beyond economics and culture we are talking about life here peoples lives.

Tuchukue mfano marekani alikuwa akim mock ( akimbeza/dharau ) China wote tunaona mwishoni anguko lao limekuwa kubwa sanaa

So tuache kushindana mambo yasio ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
One of the most sane comments I have seen.
 
Huu ndio uhalisia asante kwa kuligundua hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kujidanganya, mnapaswa kukubaliana na ukweli kwamba waganda wanachukua hatua thabiti na sahihi za kupunguza maambukizi, wameiweka nchi nzima katika "lockdown".

Siku Kenya ilipopima watu 210 na kupata 7 wenye maambukizi, Uganda siku hiyo hiyo ilipima watu 231 na hawajapata hata mmoja mwenye maambukizi.

Ubishi na kiburi chenu cha kujifanya hamfanyi makosa ili mjifunze toka kwa Jirani zenu, ndicho kinachosababisha muendelee kufanya vibaya na kuchekwa na majirani wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tony254, Mimi nikisema kwamba Kenya hamna akili na wala hamjui mnalofanya hapa duniani unadhani ninasema kiushabiki.

Ninyi wakenya ni watu wa ajabu sana, mnadhani duniani kote hawana akili kama ninyi, mnadhani kwasababu ni matajiri watafanya mambo yasiyokuwa na faida yoyote?.

Kupima watu bila kuonyesha dalili yoyote hasa kwa ugonjwa wenye " Incubation " period fupi na ambao hauna dawa kama Corona, haisaidii lolote zaidi ya kupoteza pesa.

Njia bora inayofaa na inatumika duniani kote ni kuwatenga watu wote ambao wanatia shaka kuwa na nafasi ya kuambukizwa kwa siku 14, na atakayeonyesha dalili ndio unampima ili kuwa na uhakika.

Huyu hapa ni daktari huko Uingereza na pia aliambukizwa Corona, msikilize anasema waingereza hawapimi, nitakuletea na wengine toka nchi ya Sweden na Germany

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani amekuambia Kenya tunapima watu ambao hawaonyeshi dalili?
 
Waulize hao wanaosema sababu ya kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ni kwasababu mnafanya " mass testing" wakati Tanzania hatupimi, waulize wanamaanisha nini?.

Mimi ninauhakika kabisa kwamba Wizara ya Afya ya Kenya, haijui ni inataka kukifikia " Goal", sijui kwanini wanapima watu wengi kila siku. Naomba kama unajua lengo la Kenya kupima watu wengi kwa Mara moja ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys corona haihitaji kibri!! Ina namna ya kukuumbua so tuangalie kauli zetu lest we might be a laughing stock in the future.Let's reserve our stupidity kwenye janga hili

Hakuna haja ya kushindana kwenye humanitarian issues this goes beyond economics and culture we are talking about life here peoples lives.

Tuchukue mfano marekani alikuwa akim mock ( akimbeza/dharau ) China wote tunaona mwishoni anguko lao limekuwa kubwa sanaa

So tuache kushindana mambo yasio ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye Mtanzania wa kwanza anayeongea sense hapa JF
 
Waulize hao wanaosema sababu ya kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ni kwasababu mnafanya " mass testing" wakati Tanzania hatupimi, waulize wanamaanisha nini?.

Mimi ninauhakika kabisa kwamba Wizara ya Afya ya Kenya, haijui ni inataka kukifikia " Goal", sijui kwanini wanapima watu wengi kila siku. Naomba kama unajua lengo la Kenya kupima watu wengi kwa Mara moja ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya inafuata muongozo wa WHO. Kenya inapima mtu aliye na dalili za corona. Akipatikana kuwa ana corona wanafanya contact tracing yaani wanatafuta watu wote waliotangamana na mgonjwa. Iwe ni watu wa hoteli au watu wa familia yake. Mtu anaweza kutangamana na watu hamsini. Lazima wote hamsini wapimwe kama nchi ina huo uwezo kisha watu hao wawekwe karantini kwa siku kumi na nne. Hii ni kulingana na WHO. Ama unapinga mambo ya contact tracing nikuletee evidence kutoka WHO sasa hivi?
 
Wacha kujidanganya, mnapaswa kukubaliana na ukweli kwamba waganda wanachukua hatua thabiti na sahihi za kupunguza maambukizi, wameiweka nchi nzima katika "lockdown".

Siku Kenya ilipopima watu 210 na kupata 7 wenye maambukizi, Uganda siku hiyo hiyo ilipima watu 231 na hawajapata hata mmoja mwenye maambukizi.

Ubishi na kiburi chenu cha kujifanya hamfanyi makosa ili mjifunze toka kwa Jirani zenu, ndicho kinachosababisha muendelee kufanya vibaya na kuchekwa na majirani wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa mbona sijabisha? Soma between lines utanielewa nililenga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya inafuata muongozo wa WHO. Kenya inapima mtu aliye na dalili za corona. Akipatikana kuwa ana corona wanafanya contact tracing yaani wanatafuta watu wote waliotangamana na mgonjwa. Iwe ni watu wa hoteli au watu wa familia yake. Mtu anaweza kutangamana na watu hamsini. Lazima wote hamsini wapimwe kama nchi ina huo uwezo kisha watu hao wawekwe karantini kwa siku kumi na nne. Hii ni kulingana na WHO. Ama unapinga mambo ya contact tracing nikuletee evidence kutoka WHO sasa hivi?
Sio kweli kwamba Kenya inafuata muongozo wa WHO, wala WHO haisemi kwamba " contacts tracing" inahusisha upimaji.
Lengo la kupima watu wenye dalili pekee ni ili kupunguza gharama za upimaji, na kupunguza mzigo wa kazi kwa Taifa.

Muongozo wa WHO unasema kwamba, kila mtu mwenye kutiliwa mashaka kama hajaonyesha dalili, anapaswa kuwekwa chini ya uangalizi/karantini kwa siku zisizopungua 14, kama ndani ya kipindi hicho ataonyesha dalili yoyote, ndia apimwe, ila kama hana dalili, hapaswi kupimwa.

Watu wote waliopatikana katika zoezi la Contacts tracing' wanapaswa kuwekwa chini ya uangalizi kwa siku 14, sio kuwapima kama mnavyofanya ninyi, wale tu watakaoonyesha dalili ndio wapimwe.

Haiwezikani hata kidogo mpime zaidi ya watu 5000 wenye kuonyesha dalili, lakini wenye virusi wapatikane 184, labda kama hizo dalili hamzijui ndio sababu mnapata wengi hawana maambukizi pamoja na kuonyesha dalili.

Ninyi mnapima kila " Contact " na kila mtu ambayo yupo katika karantini, huo sio muongozo wa WHO, huo ni ninyi kwa kukurupuka kwenu mumeamua kufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom