joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #41
Kwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.Ulitamani sana kenya kuwekwe total lockdown ili useme tumewaiga wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinu zetu tunazotumia afrika mashariki pekeyetu
Maoni ya umma huwa hivyo. Kuna baadhi ya watanzania vilevile humkubali Uhuru kwa hivyo Hilo lisikujalishe. Nilikuambia unipe kigezo kimoja kudhibitisha tume copy Maghufuli umeshindwa!Aibu imewakuta kutakana na akili zenu finyu, tukuwaambia ninyi hamna akili mnadhani tunawachukia, soma wakenya wenzako wanavyosema, jinga kabisa wewe.
Magufuli Receives Praises After President Uhuru's Address
Ahsante!Ni kweli, juhudi za kupima tumeziona. Mmechapa kazi haswa.
Magufuli Receives Praises After President Uhuru's AddressPongezi ni maoni pia. Ila hukuelewa maana ya uhusiano wa curfew na korona, sisi wenyewe tumejua faida yake zaidi ya uelewa wako, tuko sawa!
Waulize hao Wakenya wenzako wanaosema Uhuru amemuiga Magufuli watakupa hicho kigezo.Maoni ya umma huwa hivyo. Kuna baadhi ya watanzania vilevile humkubali Uhuru kwa hivyo Hilo lisikujalishe. Nilikuambia unipe kigezo kimoja kudhibitisha tume copy Maghufuli umeshindwa!
Hawa hawajaweka lockdown bali walizuia kumbi za starehe wakacngizia lockdown ili kuwaeidhisha mabwana zao wale yes yes yes ooukey![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lockdown inasaidia sana kupunguza na kuondoa maambukizi ya magonjwa yanayoambukizwa kupitia hewa. Hilo tusibishe.
Ila lockdown ya Kenya was bugus. Unaanza 7pm? Ni bora tu uachie.
That was not a lockdown, that was a jokedown.
Nilifikiri mtafurahi lockdown ikifunguliwa lakini wapi naona mnasaga meno na kuomboleza. Mtaisoma namba mpende msipende.Ukifungua uzi kuhusu Tz itabidi uvumilie na sisi tukifungua nyuzi kuhusu Kunyaland,
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha,
Na sio kwamba eti hamfungui nyuzi kuhusu Tz ni kwamba hakuna habari za kufungulia threads.
Pima pima pima pimaaa mpaka maambukizi yapungue ndio tutafungua kaunti wakenya tujitaidi kujitokeza kupima Kwa hiyarUtapiga kelele all day ukimention Kenya and at the end, Kenya and Tanzania will be like this picture below. Kenya juu, Tanzania chini.
View attachment 1499005
Mlikuwa busy kumtukana JPM lakini naona mnakuja huko huko japo kwa aibu [emoji23][emoji23][emoji23]Nilifikiri mtafurahi lockdown ikifunguliwa lakini wapi naona mnasaga meno na kuomboleza. Mtaisoma namba mpende msipende.
Kama wewe umeshindwa haina haja ya kufuatilia porojo! 🤣🤣Waulize hao wakenya wenzako wanaosema Uhuru amemuiga Magufuli watakupa hicho kigezo.
Ugonjwa huu umekuja kupima upeo wa watu kufikiri, hivi na Kenya nao wanatarajia kushinda hii vita cku moja? Labda ikipatikana dawa ya mzungu .Mh Magufuli alitutangazia siku nyingi HII VITA KUSHASHINDA NDUGU ZANGU hahahaha hatuna habar tunapiga mpunga tu hatuna habar maisha lainiiiiiii. Lakini mkenya uwezo wa kupata tunda tu Kwa cku awezi mudu sasa hivi. Hivi mara ya mwisho Kula matunda lini vile kama unakumbuka? Asant Sana MUHESHIMIWA JPMCurfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Pole Mkuu usilie sana saa zingine ni utani tu!Mlikuwa busy kumtukana JPM lakini naona mnakuja huko huko japo kwa aibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie akili hamna, mnatumia makalio kufikiri. Hivi umechukua hatua hizo una cases 10,000+ umekomboka vipi sasa na hatua ulizo chukua? BogusCurfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Utani ee , tunawakumbusha tu tulichowaambia kua viongozi wetu wamepoteza dira mukawa munashabikia tu upumbavu. Huu uPole Mkuu usilie Sana saa zingine Ni utani tu!
Si nyinyi ndio mlisema viongozi wenu wamepoteza dira? Sasa unalialia nini?Utani ee , tunawakumbusha tu tulichowaambia kua viongozi wetu wamepoteza dira mukawa munashabikia tu upumbavu. Huu Sio ugonjwa ni mapinduzi ya kiuchumi Yani ni vita kama vita zingine na ndio maana Tanzania imeshinda Kwa ulahisi kabisa kwasababu TZ haina sifa ya kushindwa vita.
Muhimu ni nyie kujijua kwamba hamna akili, ili next time msubiri kile Tanzania tutakachofanya ili muige, punguzeni mikurupuko.Kama wewe umeshindwa haina haja ya kufuatilia porojo!.. [emoji1787][emoji1787]
Yani hapo unapiga kelele tu, lkn ukweli unaujua hapo yani hatujaiga mtu yyte katika hzo dirwctives zetu. Kwahyo punguzua shombo jomba.Kwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.
Soma kwa makiniYani hapo unapiga kelele tu, lkn ukweli unaujua hapo yani hatujaiga mtu yyte katika hzo dirwctives zetu...
Kwhyo punguzua shombo jomba
Haya majinga ya kikenya yako wapi yasome hii?Hii umeona.