Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Ulitamani sana kenya kuwekwe total lockdown ili useme tumewaiga wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinu zetu tunazotumia afrika mashariki pekeyetu
Kwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.
 
Maoni ya umma huwa hivyo. Kuna baadhi ya watanzania vilevile humkubali Uhuru kwa hivyo Hilo lisikujalishe. Nilikuambia unipe kigezo kimoja kudhibitisha tume copy Maghufuli umeshindwa!
Waulize hao Wakenya wenzako wanaosema Uhuru amemuiga Magufuli watakupa hicho kigezo.
 
Lockdown inasaidia sana kupunguza na kuondoa maambukizi ya magonjwa yanayoambukizwa kupitia hewa. Hilo tusibishe.
Ila lockdown ya Kenya was bugus. Unaanza 7pm? Ni bora tu uachie.

That was not a lockdown, that was a jokedown.
Hawa hawajaweka lockdown bali walizuia kumbi za starehe wakacngizia lockdown ili kuwaeidhisha mabwana zao wale yes yes yes ooukey![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukifungua uzi kuhusu Tz itabidi uvumilie na sisi tukifungua nyuzi kuhusu Kunyaland,

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha,

Na sio kwamba eti hamfungui nyuzi kuhusu Tz ni kwamba hakuna habari za kufungulia threads.

Nilifikiri mtafurahi lockdown ikifunguliwa lakini wapi naona mnasaga meno na kuomboleza. Mtaisoma namba mpende msipende.
 
Nilifikiri mtafurahi lockdown ikifunguliwa lakini wapi naona mnasaga meno na kuomboleza. Mtaisoma namba mpende msipende.
Mlikuwa busy kumtukana JPM lakini naona mnakuja huko huko japo kwa aibu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Curfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Ugonjwa huu umekuja kupima upeo wa watu kufikiri, hivi na Kenya nao wanatarajia kushinda hii vita cku moja? Labda ikipatikana dawa ya mzungu .Mh Magufuli alitutangazia siku nyingi HII VITA KUSHASHINDA NDUGU ZANGU hahahaha hatuna habar tunapiga mpunga tu hatuna habar maisha lainiiiiiii. Lakini mkenya uwezo wa kupata tunda tu Kwa cku awezi mudu sasa hivi. Hivi mara ya mwisho Kula matunda lini vile kama unakumbuka? Asant Sana MUHESHIMIWA JPM
 
Curfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Nyie akili hamna, mnatumia makalio kufikiri. Hivi umechukua hatua hizo una cases 10,000+ umekomboka vipi sasa na hatua ulizo chukua? Bogus
 
Pole Mkuu usilie Sana saa zingine Ni utani tu!
Utani ee , tunawakumbusha tu tulichowaambia kua viongozi wetu wamepoteza dira mukawa munashabikia tu upumbavu. Huu u
Sio ugonjwa ni mapinduzi ya kiuchumi yani ni vita kama vita zingine na ndio maana Tanzania imeshinda Kwa ulahisi kabisa kwasababu TZ haina sifa ya kushindwa vita.
 
Utani ee , tunawakumbusha tu tulichowaambia kua viongozi wetu wamepoteza dira mukawa munashabikia tu upumbavu. Huu Sio ugonjwa ni mapinduzi ya kiuchumi Yani ni vita kama vita zingine na ndio maana Tanzania imeshinda Kwa ulahisi kabisa kwasababu TZ haina sifa ya kushindwa vita.
Si nyinyi ndio mlisema viongozi wenu wamepoteza dira? Sasa unalialia nini?
 
Kwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.
Yani hapo unapiga kelele tu, lkn ukweli unaujua hapo yani hatujaiga mtu yyte katika hzo dirwctives zetu. Kwahyo punguzua shombo jomba.
 
Back
Top Bottom