joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Kwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.Ulitamani sana kenya kuwekwe total lockdown ili useme tumewaiga wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinu zetu tunazotumia afrika mashariki pekeyetu