joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
FA na mwenzake AY hawapendi kukosolewaga kabisa kwenye post ..mtu k. AY ndo anablock kabisa ...Mwana FA nilikua namuona smart sana, cheki reply yake alivopanic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Smart rangi na mavazi tu ila akili ni ndogo kama ukubwa wa kichwa chake.
Anawahi kupanik sana, hata kileleni anawahi hivyohivyo nadhani.
Hapo alishapanic tayari [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hataki kukosolewaHuyu jamaa ni panzi sana, angalia anavyojibuView attachment 1391242
Sent using Jamii Forums mobile app
Usmart autoe wapi mswahili yule?Mwana FA nilikua namuona smart sana, cheki reply yake alivopanic.
Corona inaingia hata kwenye macho ujue, sasa ukifunga mdomo ukaacha macho unacheza tu.
Steve Nyerere ni bwege kweli afu ana njaa kaliKuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.
Aibu naona mimiKuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.
Yaani kakaa kafikiria afanye nini kaamua kuchukua sidiria ya hawala yake kufanya utani ambao alipaswa aufanye kwa huyo hawala yake na si kwenye uuma.Kuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.
Tatizo la hawa wasanii wetu yaani wanajiona wao ni: Madaktari, ni maInjinia, ni Walimu, hao ndio maProfessor, yaani hawataki kabisa kukosolewaWasanii wa bongo akili zao bhana,yani mtu anamwelewesha ndo kwanza eti anapanic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la hawa wasanii wetu yaani wanajiona wao ni: Madaktari, ni maInjinia, ni Walimu, hao ndio maProfessor, yaani hawataki kabisa kukosolewa
Jana nimecheka, post yake mwenyewe Mwana FA ilimshinda akaamua kuBlock comments pale alipoona walalahoi wanauelewa mzuri wa kujikinga kuliko yeye. Hakuamini macho yake[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app