Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Kuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.

Alafu hapa anatoa ushauri 😂😂.
 
🎶
Mimi ni msanii
Mimi ni msanii
Kioo cha jamii
Kioo cha jamii
Mimi naona mbali
Mimi naona mbali
Kwa darubini kali
Kwa darubini kali🎶
😀😀😀😀
Waacheni wasanii wetu bwana, hao ni wasanii.
 
Wasanii wangewasiliana na wizara ya afya wakatumia mitandao ya kijamii kusambaza tips za kujikinga na hili janga, wao wnaageuza mzaa.

Nimesikia Rayvanny atleast katoa wimbo kabisa. At least kaonesha kujali.
 
Kuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.
Yaani kakaa kafikiria afanye nini kaamua kuchukua sidiria ya hawala yake kufanya utani ambao alipaswa aufanye kwa huyo hawala yake na si kwenye uuma.

Hilo bichwa lake lingekuwa na akili hadi muda huu angekuwa profesa.
 
Screenshot_2020-03-18-09-47-02-230_com.instagram.android.jpg
 
Wasanii wa bongo akili zao bhana,yani mtu anamwelewesha ndo kwanza eti anapanic.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la hawa wasanii wetu yaani wanajiona wao ni: Madaktari, ni maInjinia, ni Walimu, hao ndio maProfessor, yaani hawataki kabisa kukosolewa

Jana nimecheka, post yake mwenyewe Mwana FA ilimshinda akaamua kuBlock comments pale alipoona walalahoi wanauelewa mzuri wa kujikinga kuliko yeye. Hakuamini macho yake[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huo ndo ukweli,hao jamaa kwenye comment ndo wanauelewa sana kuliko aliyepost.

Kuwa msanii au maarufu wasijione kama wanauelewa zaidi ya wasio maarufu.na oia wanapokosea wakubali kukosolewa.

Back
Top Bottom