Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza


Jamaa aliamua kuzima comments.? Hahaha dah jamaa kanifanya nimuone wa ajabu sana. Much-know sana wanajiona kumbe kawaida tu.
 
Nyie mnaosngaika na hao wazee wa kuuza sura ndio mna shida.
 
hii ilinipita , Dah haki ya mungu wasanii ndio vilaza wa kwanza hapa Tanzania na wao ndio wanasambaza corona, utavaaje mask ya gesi tena ya shirika la zimamoto na wale wafagia barabara eti unajikinga corona, pumbav zao, hawa tuwakatae ku wa unfollow.
ask inavaliwa na wagonjwa ili wasiambukize wengine
 
wakuu ile mask aliyovaa MO inapatikana wapi?
 
Hata ukivaa groves bado utakuwa hatarini.. kuna mtego mmoja tu watu wengi wanashindwa kuchomoka, ni kuhusu kujishika shika mfomoni, puani na machoni...

Usipovaa groves wala mask na ukafanikiwa kutojishika shika puani, mdomoni na nachoni mpaka pale utakapo nawa maji na sanitizer yenye 60% alcohol
Nadhani gloves ni muhimu zaidi kuliko mask.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu njiti kichwa yake huwa maji nilimtoa thamani toka kile kipindi alipoingia kwenye bif isiyomuhusu na Lady Jaydee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna video clip moja ,inamwonyesha Steve Nyerere alivyo mpuuzi kachukua sidiria kaivaa.
Alafu hapa anatoa ushauri 😂😂.
STEVE NYERERE ni muuza ngada, hana movie, hana wimbo ,kazi zake ni kama YAHAYA ,anakula hela za rambirambi, lakini anakula wanafunzi wazuri, anaishi pazuri japo kapanga kwenye nyumba ya Mbosso wa yamoto , na ni MSHAMBA
 
Wasanii wa Tanzania ni Mabumunda au Makande yaani akili zao kisoda usanii wenyewe wanaoufanya siioni faida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wasanii wa Tanzania ni Mabumunda au Makande yaani akili zao kisoda usanii wenyewe wanaoufanya siioni faida


Sent from my iPhone using JamiiForums
tumewazoesha, eti ndio wanaa-pewa dili za kutangazza mambo mbalimbali, mtanzania hawezi kununua sabuni mpaka diamond ama mabeto awe ameitangaza, shithole
 
Binafsi tukiacha ushabiki... Naona kuvaa mask kunasaidia kuzuia maambukizi pia, unapovaa mask sio rahisi kushika mdomo, au pua hata ikitokea umegusana na mwenye ugonjwa kwa mikono... Labda uguse macho ambapo pia nimeona kuna waliovaa miwani.

Kwahiyo pamoja na kwamba hiyo mask haizuii maambukizi kwa njia ya hewa... bado inakuwa na uwezo wakuzuia kwa njia ya kugusana.

Hivi mtu akipiga chafya ukarukiwa na vile vi droplets (chembechembe) za chafya itakuaje?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama sio mwanzo wa coronazation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…