Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tatizo la hawa wasanii wetu yaani wanajiona wao ni: Madaktari, ni maInjinia, ni Walimu, hao ndio maProfessor, yaani hawataki kabisa kukosolewa
Jana nimecheka, post yake mwenyewe Mwana FA ilimshinda akaamua kuBlock comments pale alipoona walalahoi wanauelewa mzuri wa kujikinga kuliko yeye. Hakuamini macho yake[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa aliamua kuzima comments.? Hahaha dah jamaa kanifanya nimuone wa ajabu sana. Much-know sana wanajiona kumbe kawaida tu.