niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Watanzania walio wengi wanaishi kiusanii sanii.Kama serikari tu imekaa kisanii una expect nini
Time is a drug. Too much of it kills you
Platform yetu bado sana... Tunashindwa na Uganda, kule msanii anaheshimika na mziki unalipa kuliko Bongo
Alikuwa sahihi kuvaa kumbe ni mgonjwa kwelindiyo kichaa kapewa rungu
Sio wasanii wote.wanamajina tu ila hawana hela,umaarufu na pesa ni vitu viwili tofauti,wakienda kuzikwa kwao ndo utajua wanahali gani za kiuchumi ni makabwela kama mm tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Smart rangi na mavazi tu ila akili ni ndogo kama ukubwa wa kichwa chake.
Anawahi kupanik sana, hata kileleni anawahi hivyohivyo nadhani.
Hahahahaha!!Lemutuz sijamuona au kakosa size ya mask mana kichwa chake kikubwa sana kama mpumbu za tembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inaingia hata kwenye macho ujue, sasa ukifunga mdomo ukaacha macho unacheza tu.