Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Juzi nimeona Mrisho Gambo kaandamana na maaskari waliovaa mask! Wako kwenye press release kuhusu corona!

Nikajiuliza maswali mengi sana!
 
chotera,
Jamii iliyowakuza haijawajengea utamaduni wa kujitolea ndio maana hata wewe unalalama tu hapa jf badala kwenda field kutoa msaada.
 
chotera, Embu acha dharau mkuu... Binafsi naona wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao, we huoni mpaka Rayvany katoa wimbo???...

Kama ni hela unataka wachangie kwa kipato gani walichotengenezewa na basata...?

Kwanza tuanze na wewe album gani umewahi nunua... Just be honest[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta na hii ni KIKI.
SAVE_20200319_195520.jpg
 
Sisi huku kijijini kwanza huo upuuzi wa Corona ,tunaskilizia kwenye redio tu ,ndo kwanza tunatoka shambani ,nyie endeleeni na CORONA yenu huko ,tupo bize na palizi sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona inaingia hata kwenye macho ujue, sasa ukifunga mdomo ukaacha macho unacheza tu.

Nimemuona Speaker anaongelea corona huku akishika shika meza na mic [emoji441] halafu anakuna pua huku akisema wameweka SEMOSITATI [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom