Imeonekana wapi kwa hapa Tanzania?Live or die win or lose also Tz we HV corona but is very secret
Aliyeturoga KafaKuna mgonjwa amefia Hoapitali ya Mawenzi Moshi lakini kama kawaida yetu yanataka kuishia chini ya carpet
Nani kafa?Tz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
Kuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.
hapa ndo napoishaangaa tanzania yetu, wanatoa taadhari nying na jinsi ya kujikinga na corona lakin awasemi kama ngoma imeshatua TzTz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
IPO jamaa angu, nchi yako uijui kwenye uozo wenyewe wanapulizia marashi kuua sooKuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.
Inamaana unaiomba sirikale ya awaamu ya faivu ituletee korona?Kwa jinsi awamu ya 5 ilivyoweza kutuletea mambo mengi mazuri, wananchi wanashangaa kwa nini hili halijakamilika ili sifa na utukufu zimuendee mheshimiwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app